Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Maneeee
1-1Leo Fabinho kama Messi Wallahi




Kwakweli Foward yetu tu haiko makini lakini leo tulikuwa tuumalize mapema hii game
Tunashindwa kupenyeza pass, tunapiga pass shaifu na Man Utd mpaka sasa wako vizuri kwenye defense.
We are on fire lakini ndiyohivyo tu derby ina ugumu wake