Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Naomba unielekeze hiyo ignore button, huwa ni msomaji bila kuandika ktk jukwaa hili.Ila kwa kutokujua soka na ushabiki maandazi usio na tija kwa huyo bwana mdogo naandika kwa mara ya kwanza ili nijue namna ya kumkwepa
Anatujazia page badala ya kwenda kujaza kule kwenye jukwaa lake la timu anayoishabikia
Na kinacho mkumwasha nae ni panic tu anatamaa ya kufunga mpaka anakosa hayupo free kama Boby anatamaa ya kua kila kitu ndo tatizo.Maranyingi watu wanapocomplain kuhusu finishing ya Mane I'm pretend to be a Neutral Coz Sikumbuki Kuwa Kuna Season ambayo Mane alikuwa ni good Finisher.
In all past Season Sadio Mane hakuwahi Kufika goli 15 per season, hii inaonesha Mane sio good Finisher tokea zamani.
So, siwezi kwasasa kumlaumimu Manekatika kumalizia mipira kwasababu tokea zamani ndiyo ucheazaji wake wa kupoteza nafasi.
Namuona Mane akiwa MOMNamuona Naby Keita akiwa man of the match siku ya leo
Namuona Mane akiwa MOM
simu wa kideri huu mkuu si unaona joto lilivyoshamiri,hapa ni kunoa visu tu mwendo wa kuwachinjaMtani upo? Mbona kama jogoo limeanza kutetemeka?
Mkuu umenikumbusha hii ishu yake yakukosa killer chances ni on going kabisa wala sio ishu jipya...Maranyingi watu wanapocomplain kuhusu finishing ya Mane I'm pretend to be a Neutral Coz Sikumbuki Kuwa Kuna Season ambayo Mane alikuwa ni good Finisher.
In all past Season Sadio Mane hakuwahi Kufika goli 15 per season, hii inaonesha Mane sio good Finisher tokea zamani.
So, siwezi kwasasa kumlaumimu Manekatika kumalizia mipira kwasababu tokea zamani ndiyo ucheazaji wake wa kupoteza nafasi.
ni MOTM mkuuNamuona Mane akiwa MOM
Hiyo T ilisahaulika, thanks mzee wa Asenaneni MOTM mkuu
Mtani upo? Mbona kama jogoo limeanza kutetemeka?
Milner will play as a right back (fullback), not Attacking Midfielder that is why I said he must be an outstanding today.
Yaah, i know but we need bobby form to win
Kijana wetu DANIEL INGS ananinyooshea mbwa huko