Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Naheshimu mawazo yako! Kwahiyo nakukumbusha tu kuwa Last season Real Madrid alitolewa jasho na kufungwa na Spurs kwenye Makundi lakini kwenye mtoano alimfuga PSG, Juventus, Bayern na Liverpool mpaka akabeba kombe.

So, whta is your point?
Madrid na Liverpool ni timu mbili tofauti.

Kuanzia benchi la ufundi mpaka quality ya players. Kwa mtazamo wako unadhani Liverpool anaweza kufanya alichofanya Madrid msimu uliopita.?
 
kesho Mou anawapunguza kasi ..nafasi ya tatu itakuhusu!
nafasi ya tatu ipi tena maana hio imeikalia Spurs ameshinda leo ana pointi 39, wewe na ndugu yako Dully mna 34 hivyo hata mkishinda mtaaishia nafasi ya 4.... mnagombania nafasi ya nne kwa sasa na Ganaz ukimpiku Spurs tujuze
 
Liverpool Trophies:
League Tittles: 18

First Division Winners: 18 (1900/01, 1905/06, 1921/22, 1922/23, 1946/47, 1963/64, 1965/66, 1972/73, 1975/76, 1976/77, 1978/79, 1979/80, 1981/82, 1982/83, 1983/84, 1985/86, 1987/88, 1989/90)

English Premier League: 0

imefika wakati wa kuondoa huu upotoshaji Mbu afanye marekebisho ya hili bandiko maana linapotosha historia kwa new generations
 
h
nafasi ya tatu ipi tena maana hio imeikalia Spurs ameshinda leo ana pointi 39, wewe na ndugu yako Dully mna 34 hivyo hata mkishinda mtaaishia nafasi ya 4.... mnagombania nafasi ya nne kwa sasa na Ganaz ukimpiku Spurs tujuze
hutoboi huu mwaka bila ya kuwa katika nafasi yako...
 
nafasi ya tatu ipi tena maana hio imeikalia Spurs ameshinda leo ana pointi 39, wewe na ndugu yako Dully mna 34 hivyo hata mkishinda mtaaishia nafasi ya 4.... mnagombania nafasi ya nne kwa sasa na Ganaz ukimpiku Spurs tujuze
mkuu wewe kuwa juu yetu wala hainipi tabu kabisa ..
 
nafasi ya tatu ipi tena maana hio imeikalia Spurs ameshinda leo ana pointi 39, wewe na ndugu yako Dully mna 34 hivyo hata mkishinda mtaaishia nafasi ya 4.... mnagombania nafasi ya nne kwa sasa na Ganaz ukimpiku Spurs tujuze
Hadi mwisho wa msimu ..mimi nitakuwa niko juu yako.!
 
kwani tumepinga?kwa upande wangu mimi sipingi na sibishi lakini hata kama ndio ningekuwa nimeanza kushabikia soka mwaka huo mimi nisingevutiwa na timu kama liverpool kwani haikuwa na wakati mzuri kama nakumbuka ilichukua ndoo ucl lakini ligi kuu walikuwa wanavurunda na kama sikosei walishika nafasi ya 5 katika msimamo chini ya arsenal sina hakika lakini mwenye kumbukumbu nzuri atasahihisha hapo,naikumbuka sana liver ile ya kina hamman,riise na milan baros huku carragher akipiga mkoba lakini haikuwa na wakati mzuri kuvutia watu waishabikie maana inajulikana wazi kuwa mashindano ya ucl tofauti na ligikuu bwana kama wewe kidume beba ligi........ucl ukiwa na bahati tu umelibeba ila epl ule ushibe ndio maana SG ametandika daruga kishingo upande
Kwa hiyo arsenal toka ianzishwe haijawahi kuwa na bahati? Ndio maana mlipigwa 8
 
English Premier League: 0

imefika wakati wa kuondoa huu upotoshaji Mbu afanye marekebisho ya hili bandiko maana linapotosha historia kwa new generations
yaani wewe bado unahangaika na hili swala...

ki sahihi kabisa inaitwa Level 1 nwei kivyovyote vile sie tumeshachukua mara 18 na hatujaridhika ndio maana msimu huu twapambana kuchukua la 19...
 
"Life is different for different people"

Left: Communication inaonekana ipo kwa Mchezaji kusikiliza nini anachoambiwa.

Right: Mchezaji doesn't care about nani anazungumza nae.

0_KloppMour.jpg
 
22Hours and 42minutes to go
yaaani hii ligi raha sana leo Spurs akiwa Wembley kulisotea goli lake moja...Joe Hart leo kakomaa tho Burnley kapigwa Sean atakua kaona mazuri sana kutoka kwa vijana wake leo...

kuna huyu beki wa Burnley jina somebody Torksiky aa jamaa jembe wont mind such a guy joinin th Red army maana yupo very consistent...

22hrs+ to go turudi ushakani wa ligi mazima...
 
Rangers & Liverpool have agreed to terminate Ovie Ejaria’s Ibrox loan period. Ovie will be returning to Liverpool immediately. The midfield player has not settled in Scotland and wishes to continue his career back with his parent club.
( Rangers )

Ovie ana kila dalili ya kuwa hana Future nzuri kwenye Career yake kutokana tatizo la Discipline.

Hope he will not end up like Balotelli.

Ejaria returns to Liverpool early from Rangers loan

0_GettyImages-1023934750.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom