Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,533
- 81,262
Nipo Arusha hapa ShamsiMkuu wewe uko maeneo gani?
Ili ukifungwa nije kukutuliza na Pepsi big..haha
Nipo Arusha hapa ShamsiMkuu wewe uko maeneo gani?
Ili ukifungwa nije kukutuliza na Pepsi big..haha
Mapema tu yaani, kesho kazi kazi, maana inaonekana hakuna wa kutupa favor, inabidi tujihangaikie.
Evaton hii hii kwenye derby waliwasha moto balaa sasa leo Jesus anafanya yake taratibuuuu....Mapema tu yaani, kesho kazi kazi, maana inaonekana hakuna wa kutupa favor, inabidi tujihangaikie.
Evaton hii hii kwenye derby waliwasha moto balaa sasa leo Jesus anafanya yake taratibuuuu....
tupambane kivyetu hakuna namna...huyu City tunae alhamisi Tarehe 3/1/19 Ethad itakua mchakamchaka...
duuuuh mkuu unawakabia juu kama TorreraMm nimeushuhudia ubingwa wa arsenal had wa 2002 ambao liva aliongoza , had zinabak mech 12 anapinduliwa na arsenal
Unaongea nini wewe,
Liva yako mara ya mwisho kubeba taji la EPL lini?
Unatamba sasa hiv et kwakuwa unashiriki ucl
Arsenal ana historia ambayo timu yako haiwez kuifikia ,49 games unbeaten
Na FA wakaamua kuizawadia arsenal ,GOLD EPL TROPHY,
toka 2011 ,had leo ni mwendo wa UKAME TU, bado unapiga kelele hapa, ndio maana mimi nawafananisha na totenham
Mou kawaambia HIZO MBWEMBWE ZENU bila taji lolote ni nothing.
bwana wee ila hawa Evaton gemu ya leo wanakosa wamaliziaji.....Mimi nilisema before kuwa Everton wamekaza kwa Liverpool tu but wataoa free 3 points kwa Man City.
sasa kwani uwongo mkuu?mambo mengine sio lazma kubisha tu ili utetee upande wako,mwisho wa siku utajidharaulisha bureeeeeeeeeeeee....................swali fupiArsenal wana rekodi ambayo liver hawana![]()
nyie mna hata UCL hata moja ambazo liver anazo 5? ... jibu, tangu/toka..
kwani tumepinga?kwa upande wangu mimi sipingi na sibishi lakini hata kama ndio ningekuwa nimeanza kushabikia soka mwaka huo mimi nisingevutiwa na timu kama liverpool kwani haikuwa na wakati mzuri kama nakumbuka ilichukua ndoo ucl lakini ligi kuu walikuwa wanavurunda na kama sikosei walishika nafasi ya 5 katika msimamo chini ya arsenal sina hakika lakini mwenye kumbukumbu nzuri atasahihisha hapo,naikumbuka sana liver ile ya kina hamman,riise na milan baros huku carragher akipiga mkoba lakini haikuwa na wakati mzuri kuvutia watu waishabikie maana inajulikana wazi kuwa mashindano ya ucl tofauti na ligikuu bwana kama wewe kidume beba ligi........ucl ukiwa na bahati tu umelibeba ila epl ule ushibe ndio maana SG ametandika daruga kishingo upande2005 wakati tunabeba ndoo..mnajisahaulisha kinoma
acha dharau mkuu.............unajua aliyezaliwa baada ya mwaka 2005 ana miaka mingapi sasa?au umeropoka tu,isitoshe yeye hoja yake ni kuwa hamjabeba kombe lolote kuanzia mwaka 2011 mpaka leo kama nimekosea atanisahihisha msiwe mnakimbia hoja kwa kugeuza geuza maswali hiyo ni jinaiHuenda alikua hajazaliwa sasa kam hajui
wewe mwenyewe unaujua ukweli lakini pia unajipa faraja so endelea kujifariji ila kimsingi kile kitu kinachoitwa ENGLISH PREMIER LEAGUE nyinyi mpaka muda huu hamna mnashiriki tuUnapoteza muda kubishana na mtu anayejua anachokifanya, so anajichagulia kasehemu ambako anajua katampa faraja.
Man united atakuja kuchukua point tatu kihalali kabisa apo Anfield..Mkuu mliweka kambi humu kuipamba Napoli mara tunashuka Futuhi mara tutapigwa mengi na kadhalika yaliyotokea unayajua....
sasa mmehamia Manure na kuanzia Jumatatu mpaka baada ya gemu ya Ijumaa Vs wambaya wako Wolves utahamia kwao muda tena ..
mtapata taabu sana msimu huu maana ni five star Liverpool kila mechi.
Hahhaha AROON upo kama kinyonga.Mm nimeushuhudia ubingwa wa arsenal had wa 2002 ambao liva aliongoza , had zinabak mech 12 anapinduliwa na arsenal
Unaongea nini wewe,
Liva yako mara ya mwisho kubeba taji la EPL lini?
Unatamba sasa hiv et kwakuwa unashiriki ucl
Arsenal ana historia ambayo timu yako haiwez kuifikia ,49 games unbeaten
Na FA wakaamua kuizawadia arsenal ,GOLD EPL TROPHY,
toka 2011 ,had leo ni mwendo wa UKAME TU, bado unapiga kelele hapa, ndio maana mimi nawafananisha na totenham
Mou kawaambia HIZO MBWEMBWE ZENU bila taji lolote ni nothing.
kesho Mou anawapunguza kasi ..nafasi ya tatu itakuhusu!Huyo mourinho mbona yeye ameshindwa kujua ligi inavyokwenda yupo huko wa saba?