Waliolala waamshwe team inaongoza
Matip anapiga pass ruler very accurate za mashambulizi mbele
Kweli...Mimi nina uhakika Man united lazima watawakalisha.
Matip mpaka sasahivi anamzibia vizuri Gomez
I thought Gomez deputized well for matipMatip mpaka sasahivi anamzibia vizuri Gomez
Nilitaka kulisema hili jamaa yupo vizuri sanaa hana papara na mpira.Matip anapiga pass ruler very accurate za mashambulizi mbele
Nisaidieni link ya kuangalia online mechi hii ya liva na napoli wadau
Huyu One Season Wonder wetu ajitahidi atengenee kwenye First touch tu! Akitengenea hapo basi atakuwa at least One and Half season wonder
Mkuu Hendo ni mzigo thus y rodger hakuwahi kumuelewa kbsNilitaka kulisema hili jamaa yupo vizuri sanaa hana papara na mpira.
Namba sita yetu haizuii ipasavyo na wala haitengenezi ipaswavyo.