DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
HAO NI WASHANGILIAJI WA LUZA PULU SIO MASHABIKI,MASHABIKI WA LUZAPULU HUWEZI KUWAKUTA JF NA FB MANA ZAMA ZAO ZILISHAPITAGANilikuwa najiuliza hii timu huku ndani wanatoafautiana kwa sababu gani kumbe kuna watu wanaoamini wanajua sana wakati hawajui chochote ,kama unashindwa kujua midfield ya timu yako ambayo ni first eleven, Mimi sijakulazimisha ushabikie timu hii,jipange haujui na bahati mbaya haujui kama haujui .