Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,152
- 10,682
Ndoto za mchana hazijawahi kuacha my salamaMwisho wa msimu utakuwa hivi
1 Chelsea
2 Tottenham
3 man city
4 Liverpool
Ndoto za mchana hazijawahi kuacha my salamaMwisho wa msimu utakuwa hivi
1 Chelsea
2 Tottenham
3 man city
4 Liverpool
Mine is Allison/milner/matip/vvd/Robertson/gini/keita/fabinho/salah/Bobby/mane
Najua ndezi wasiotutakia mema wanaumia
Mwisho wa msimu utakuwa hivi
1 Chelsea
2 Tottenham
3 man city
4 Liverpool
Mwisho wa msimu utakuwa hivi
1 Chelsea
2 Tottenham
3 man city
4 Liverpool
Chelsea ipi hiyo unayoiongelea itamaliza namba 1 EPL?Mwisho wa msimu utakuwa hivi
1 Chelsea
2 Tottenham
3 man city
4 Liverpool
Sisi hatuna shaka na nyie kuongoza ligi kwa "kipindi hichi" maana huu ni wakati wenu tena mzuri tu. Msipoongoza msimu huu hamtaongoza tena ndani ya misimu miwili/mitatu ijayo. Mpambane maana huu ndo wakati Liverpool ipo kwenye kiwango bora kabisa. Klopp atakuwa na bahati mbaya kama atatoka mtupu msimu huu.Kweli Upenzi Upofu!! Ivi ndiyo umeaminishwa Na Wapiga Ramli kuwa Spurs na Chelsea watamaliza juu ya Liverpool na Mancity?
Kabla ya Kufikiria Nafasi ya Kwanza, Ungelianza Kumfikiria Arsenal kuwa Muda wowote atakushusha
Lakini sikushangai inawezekana nawewe Ni katika Walioyapokea Kwa Mikono Miwili mawazo ya Neymar ya kuwa Liverpool Haitomaliza ndani ya Top 4.
Kuifunga SSC NAPOLI sio rahisi kihivyo. Ni lazima ukubali Ku loose upande mmoja. Angalia ni wap panakufaa zaidi UEfA or EPL..This is Liverpool! Kuna mpuuz nilimwambia humu kuwa december hii licha ugumu wa mechi za EPL hizo 5, but liverpool ataenda kukusanya points zote 15 na kukaa kilele.
Now tumepiga mechi 3 ngumu kabisa na kufanikiwa kujizolea 9 points, na kukaa kilele.
Let'go sasa Napoli ajiandae kwa kipigo cha mbwa koko pale Anfield, The King is Back.
hapo kwenye TAA akae milner the rest are fineMy preferred team against Napoli
Allison-TAA-Matip-VVD-Robertson/Fabinho-Keita/Shaqiri-Mane-Firmino/Salah
but wont be suprised to see Henderson and Milner in the midfield.
Sisi hatuna shaka na nyie kuongoza ligi kwa "kipindi hichi" maana huu ni wakati wenu tena mzuri tu. Msipoongoza msimu huu hamtaongoza tena ndani ya misimu miwili/mitatu ijayo. Mpambane maana huu ndo wakati Liverpool ipo kwenye kiwango bora kabisa. Klopp atakuwa na bahati mbaya kama atatoka mtupu msimu huu.
Wachezaji karibu wote wapo kwenye good moody na wanaongea vizuri na kocha wao Klopp.
Enewei ..karibu sana EUROPA.
Liverpool haina kocha wa kuwapa makombe labda vikombe vya chai tu
twashukuru kwa kutupigia city apunguze makali....Naona saivi mnapeta. Hongereni bana..
Msipobeba kikombe chochote msimu huu, basi hamtabeba tena ..maana mumekuwa na wakati mzuri msimu huu.
dreams are made of thissssssss n we dare dream if Keita, Faby combo imekaa poa sanaa waedelee kuwepo uwanjani.....na Salah acheze kati kati kama central srika kama jana then wonders il keep happening....dreams come trueNow keep playing our best footballers in every game possible and we may have a great shot kwenye EPL title come may.
we cant afford to drop un-necessary points now.
...and we need to add depth kwenye attacking area na 1 good defensive cover
if we can manage to finish really strong kwenye hii busy period, then we can start to dream.
This will be very compact mbele and reduce chance ya open game... Trent and robbo will also suffocate hapo mbeleMine is 4 - 2 - 3 - 1
.............. ALISSON
TAA - MATIP - VVD - ROBBO
............ GINI - FABI
MANE - BOBBY - KEITA
............. SALAH
Nakuhakikishia before HT tunaimaliza game
Watching Barcelona here,
Valverde giving Coutinho a hard time man
Dude used to be a star-man at LFC, and got turned into a bench-warmer at Barca
faked injuries and refused to train with the team for nothing man
think his next move itakuwa ni Serie A.
With Arthur out injured, Valverde going with Bus/Vidal/Raktic, no chance for Coutinho, na akicheza huwa anamchezesha as a Left winger, role ambayo hata wakati yupo LFC alikuwa ana-struggle.
Klopp found him a perfect role and build the team around him, but dude wanted to play with Messi and forgot that grass arent always greener
Klopp said Faby came from a diffrent rythym of futbal wachache walishindwa kuelewa alivyosema Faby il take tym to adapt to th demands of his position..but now he is settling mdogo mdogo n th signs r bright future commandin th center...Keita nae mzee wa nutmeg tricks ile kasi yake iliyofanya tutoe mahela yote inaanza kuonekana..sio rahisi kuvaa ile jezi ya Liverpool na wakatwangusha...so far so good..People really thought Faby and Keita would flop at LFC
Ballers arent made for those occasions man
and the scary thought is, ndiyo kwanza wanaanza kutulia
wait till Ox is back.
This will be very compact mbele and reduce chance ya open game... Trent and robbo will also suffocate hapo mbele
TBH... Trent bado kea critical game Kama hi
Milner experience mattrrs