ipogolo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 6,280
- 5,987
Tusaidie tu.You Can't be serious bro 😀😀
Tusaidie tu.You Can't be serious bro 😀😀
Never doubted the Italian Brendan Rodgers


italian BR umenifurahisha sana mkuuMan, am not ready for that
but i think its gonna be another annual 0-0
Mourinho w'd rather get beaten by his Wife kuliko kufungwa na Liverpool
Kwa liver hii, man u akipona sana 3-0
Ujue mou alikuwa anavizia sana , anatembea na mapungufu hasa ya beki ya liver, atakaa nyuma, atategemea kaunta , nowdays liver wana beki bora baran ulaya,
Hivo kukaa nyuma hakutamsaidia tena, atapigwa kipigo kibaya sana,
Akipata sare atafanya sherehe kama alivyojinasibu kwa arsenal kuwa yy ndio kacheza mpira, wakat ukweli aliingia kucheza rafu tu,
Tena anfield , mou anapaogopa sana, hivo atakaa nyuma akitegemea miujiza, kitakachompata anajua yy,
Kinachomatter ni tofauti ya point katika hiyo miezi tajwaEPL kwa miaka mingi anayeongoza ligi kabla na baada ya xmass uwa anakuwa bingwa wacha tuone mpka xmass tutakuwa position gani
mr Gunners ile game Morinyo ataweka kikosi cha kupaki treni na kutoa dro na si vinginevyo..yupo radhi afungwe na Cardif n crew lakini sio Majogoo..Mou amebak kusubir miujiza kama ilivyotokea game na arsenal akapata sare,
Mpira wa sasa wa man u, ataadhibiwa tu,
Hata makampun ya kubet yameshaichungulia hiyo mech ,man u anakufa kuanzia 3+
sure he can get another 2yrs to pass his long experience to our comin reds jnrs...Milner is a true proffesional, used to give him a lot of sticks
but, ame-improve sana under Klopp and he deserves an extension.
Naona umeniwekea viungo wa nne mkuu hapa unamaanisha 3-4-3 au vipiTAA akicheza upande mmoja na Shaqir, tunacheza vizuri sana.
Pale Mid wacheze Gin,Fabinho,Keita.
Forwards Mane ( money) Bobby, Mooo.
Napoli Anafia hapa
4-2-3-1
salah
mane firmino shaqir
gin fabinho
robertson vvd matip TAA
Alison
Keita ni fundi sana wa kudrive team na anakua mtamu zaidi akicheza nyuma ya wale watatu wa mbele madhaifu yake ni pindi tunashambuliwa sio mzuri sana kwenye kucover. namuonaga anaperform fresh kwenye 4-3-3 ya holding wawiliIngawa Mimi Nilimueka Keita ahead of Xhaqiri laiki hii Line-Up yako naikubali kwa 100% kuwa haimuachi mtu salama
Napoli Anafia hapa
4-2-3-1
salah
mane firmino shaqir
gin fabinho
robertson vvd matip TAA
alison
Mtazamo wangu tu eroo haiwezekani kupangwa woteBila Keita???
Keita ni fundi sana wa kudrive team na anakua mtamu zaidi akicheza nyuma ya wale watatu wa mbele madhaifu yake ni pindi tunashambuliwa sio mzuri sana kwenye kucover. namuonaga anaperform fresh kwenye 4-3-3 ya holding wawili
mane firmino salah
keita
millie gin
robertson vvd matip TAA
alison
Ila, kwa gemu ya napoli hatuitaji kutembea sana na mpira nadhamni pasi ndefu ndio pekee za kutuvusha na pressing ya hali ya juu, sasa kwa mtazamo kama huo lazima umeweke shaqir coz jamaa ni aggresive sana
Whatever the squad itakavyokuwa muhimu tupate ushindi tu Wa Kusonga Mbele
😀😀😀Nilitemea kuona unamalizia ili mradi tu Henderson asiwepo....