AmarokB
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 893
- 753
Weeee sema kweli!!!Ahahaaah.
Hao Wolves kuwafunga inabidi usimamie ukucha,huwa wanazikamia sana timu kubwa.
Ila Hazard anaweza kubadili matokeo muda wowote.

Ahahaaah.

Niseme Ukweli Furaha Yangu Ya Kushinda Huu Mchezo naona imezidiwa na Furaha Yangu Ya Kufungwa Chelsea 😀😀

Ahahaaah.Weeee sema kweli!!!
Aseee
Wakicheza na jpili nafikir jukwaani tutawaona baada ya mwezi humu
Eden Hazard mkuu,ni mchezaji mzuri sana.Yule Hazard Wa Mechi 5?
Niseme Ukweli Furaha Yangu Ya Kushinda Huu Mchezo naona imezidiwa na Furaha Yangu Ya Kufungwa Chelsea 😀😀
Kwanini kaka,au ndio wapiga ramli😀?Kuanzia Leo Rasmi Mshabiki Wa Chelsea Hatokanyaga kwenye Uzi huu
it helped in the second half, Keita did the unthinkable in midfield.Lol
Klopp naona amei-ditch 433 now
it was peak 442 today.