Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hata Ian Doyle ameandika Makala Yake ya Kuhusu Weakness ya Midfielders Yetu kuwa Ni Nothing but Shit ambayo tunaambiwa Wanachezeshwa Kwa Sababu ya Soccer Management na si Kwa Uwezo.
↓↓↓

How Klopp can find the answer to his big midfield question

Tunaposema Klopp anachezesha Formation ya 4-3-3 kwa ajili ya Kuwafavour Hendo na Milner na si Kwa Maslahi ya Timu, watu Wanabisha! Lakini Ian Doyle analithinitisha hili Mwenyewe kuwa Klopp amekiri jambo hilo Kuwa mfumo Wa 4-2-3-1 utawaacha Wachezaji Wake Nje (Hendo na Milner).

Maneno Ni haya → "Klopp admits the form of Xherdan Shaqiri has prompted him to field a formation (4-2-3-1) that ensures most of his top talent is out on the field".
 
Kuna watu wanajitekenya na kujipa matumaini ya uongo sana kama sio ya kitoto nasema, Europa ndio tayari hiyo. Ni kujifanya kipofu kuamini kwamba PSG atashindwa kumfunga Red star

Klopp alileta mzaha kwenye upangaji wa kikosi telling you licha ya PSG kucheza vibaya that day aisee Tuchel alifield lineup kali sana ambayo nilimuadmire kwa upangaji. Klopp kama kawaida na propaganda zake za kuwakonga nyoyo waingereza

All in all Take it or refuse EUROPA ndio LFC ameshaenda, sasa wanaojiaminisha kuwa PSG atashindwa kumpiga red star waendelee tu kuamini mpaka mwisho
 
Kila Siku tunaambiwa Kuwa Klopp anatunyamazisha!

Lakini kiukweli Hatuwezi Kunyamazishwa Kwa Kukumbatia Wachezaji baada ya Mechi.

Sisi tutanyamzishwa Kwa Makombe na si venginevyo.

Siku Klopp atakayotuletea EPL na kuyafanya hii Mizigo miwili Hendo & Louvren Kuwa Ni Benchwarmer ndiyo Siku Klopp atakayotunyamazisha na Kutufunga Midomo.
Kwani yeyote atakayepiga kelele baada Ya Klopp Kuleta EPL Hugo atakuwa Ni Mpumbavu.

Leta Kombe Tunyamaze, Endeleza blah blah tuendelee Kulaumu na Kukosoa.
 
Hata Ian Doyle ameandika Makala Yake ya Kuhusu Weakness ya Midfielders Yetu kuwa Ni Nothing but Shit ambayo tunaambiwa Wanachezeshwa Kwa Sababu ya Soccer Management na si Kwa Uwezo.
↓↓↓

How Klopp can find the answer to his big midfield question

Tunaposema Klopp anachezesha Formation ya 4-3-3 kwa ajili ya Kuwafavour Hendo na Milner na si Kwa Maslahi ya Timu, watu Wanabisha! Lakini Ian Doyle analithinitisha hili Mwenyewe kuwa Klopp amekiri jambo hilo Kuwa mfumo Wa 4-2-3-1 utawaacha Wachezaji Wake Nje (Hendo na Milner).

Maneno Ni haya → "Klopp admits the form of Xherdan Shaqiri has prompted him to field a formation (4-2-3-1) that ensures most of his top talent is out on the field".
Mkuu nakuelewa sanaaaaaaa

Na unajua kueleza mambo yalivyo

Hendo vs keita haha haha
Hendo vs faby hahaha
Huyo faby tu hapo LFC na zaid ya dhahabu thus y PSG wameliona hilo mkuu
 
Last season in the CL group stages;

we were on 9 points already by the time tunacheza na Spartak, we just needed a win to finish wakwanza kwenye group ili kuepuka games ngumu kwenye knock-out stages.

This season we MUST beat Napoli ili ku-progress kwenye knock-out, and bad enough if they score, it will be a MUST to beat them by 2 goals.

Sad to see a grown man failing to see the differences here.
 
Kila Siku tunaambiwa Kuwa Klopp anatunyamazisha!

Lakini kiukweli Hatuwezi Kunyamazishwa Kwa Kukumbatia Wachezaji baada ya Mechi.

Sisi tutanyamzishwa Kwa Makombe na si venginevyo.

Siku Klopp atakayotuletea EPL na kuyafanya hii Mizigo miwili Hendo & Louvren Kuwa Ni Benchwarmer ndiyo Siku Klopp atakayotunyamazisha na Kutufunga Midomo.
Kwani yeyote atakayepiga kelele baada Ya Klopp Kuleta EPL Hugo atakuwa Ni Mpumbavu.

Leta Kombe Tunyamaze, Endeleza blah blah tuendelee Kulaumu na Kukosoa.
PUNGUZENI NGONZERA NA MASHAIRI...WEKENI TIPS
 
Klopp anajichimbia kaburi mwenyewe.. Sarri kampiga bench Cahil baada ya kushindwa kuendana na mfumo bila kujali Uingereza na Ucaptain wake anampanga Carabao na Europa League.,

Why Klopp anashindwa kumweka bench JH14 na Milner.!? Bora hata Milner ila Henderson hajui kudribble, kutoa passes, kushoot, kufanya tackle unamng'ang'ania wa nini.!?

Nje una watu wa kazi/shughuli Keita, Fabinho(ambao hawamjui wakaangalia clip akiwa Monaco) na Xherdan Shaqiri unashindwa kuwatumia..

Klopp asiposhinda kombe lolote msimu huu, kwa asilimia 100 nitaunga mkono kufukuzwa kwake..
 
Hata mwaka jana tulitegemea mechi ya mwisho kumfunga Moscow kwenda playoff na tukashinda big
Mbona hatukupata nafasi ya sweet 16 na mechi mkononi wkt Buvac yupo?
acha mbwembwe unaenda kucheza na napoli inayofundishwa na ancelot huyu peke yake ni kikwazo amesha kutana na kelele kama zote uefa kazichukua nyingi tu kama mchezaji na kocha hakuna asichokijua kwenye crual moment kama hiyo kupita Liverpool ni kwa kutoa damu hakuna ushindi mwepesi
 
Klopp aache upuuz wake tunataka Keita, Fabh na Shaqir wawe permanent pale kati, hawa wakina Hendo wazee wa kupass pemben na kwa kipa piga bench wataingia kwenye mechi za fulham lakin sio Uefa
 
well well well.....

an EPL game after every 2 days, with an UCL chilly spice ontop?
quite a tough spell for us, this.

EPL tukipata at least 10 points out of 12 na pia kumfurusha Napoli kwenye UCL, we have the season well placed where we want it to be. but it's one hell of a spell, man.

Screenshot_20181201-062133_Samsung Internet.jpg
 
well well well.....

an EPL game after every 2 days, with an UCL chilly spice ontop?
quite a tough spell for us, this.

EPL tukipata at least 10 points out of 12 na pia kumfurusha Napoli kwenye UCL, we have the season well placed where we want it to be. but it's one hell of a spell, man.

View attachment 952040

You mean tushinde against Everton, Burnley and Bournemouth And draw against Manure?
looks good though
 
Klopp anasema yafuatayo kuhusu kubadili mfumo msimu huu...In part, it was born of necessity. He sensed that opponents had adapted to his team's counter-pressing and he would need another way. "A lot of teams saw that we were good at that and realised they were overplaying," says Klopp. "If the team gives us the opportunity to do it we will still be there with the counter-press. But very often it is not possible" .
 
something like that lakini I want us kumfanya kitu mbaya Manure this time around.
am more worried by the likes of Bournemouth.
i was a bit worried of Wolves guys run th show vs manshit, vs manure, vs aseno vs spas...but oflate t like they r loosin thier usual flow i ope by th tym we meet t not back..Burnley, Bono, Newcasto s tricky games bt so far this season we have found a way of beatin this 2nd tier tyms...YNWA
 
well well well.....

an EPL game after every 2 days, with an UCL chilly spice ontop?
quite a tough spell for us, this.

EPL tukipata at least 10 points out of 12 na pia kumfurusha Napoli kwenye UCL, we have the season well placed where we want it to be. but it's one hell of a spell, man.

View attachment 952040
december is here guys games come in a helter skelter mode...am positive if Midfield is sorted n we see more of Keita best form we wont drop points like we dd on paris...
 
Klopp aache upuuz wake tunataka Keita, Fabh na Shaqir wawe permanent pale kati, hawa wakina Hendo wazee wa kupass pemben na kwa kipa piga bench wataingia kwenye mechi za fulham lakin sio Uefa
mkuu sidhani kama hao watakua permanent sooon...amesema bado Fabinho adapt...Keita arudi fit 100%...Shaqir sijui klopp anamuona squad player lol....
bahati nzuri amekiri defence is sorted na sasa ni midfield anaifanyia kazi hata krismasi haedi ujeramani atakua mzigoni mpaka kieleweke...
yetu kusubir...
 
Shida kubwa ya LFC ni ushambuliaji
Mechi nyingi few or zero shot on target
Hata mechi na Napoli LFC walikuwa na shot on target =0 total 4 wakati wenzao walishoot mara 5 total 19
shida ya liver sio washambuliaji ni kiungo.......

unapomweka gini, hendo na milner hapo unadefend zaidi na hupandishi mashambulizi........

liver hii anam-miss sana Can, Chombo/Coutinho! hawa walikua wanapandisha sana mashambulizi!

labda sasa awe anaanza gini, keita na shaq ndio utauona moto wake!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom