WIZZY BABILON 94
Member
- Jul 9, 2015
- 35
- 14
Kweli kuna maeneo yameimarishwa but yale maeneo mengine yaliokuwa vizurii kama striker na mido ndo yamedorora sana ndimu huu
Henderson ni mzigo yule
Nimefurahi kuona analysis ya Doyle
he's the biggest Hendo fan, but nadhani amefungua macho
and i'm glad perfomance ya henderson jana imefungua macho ya watu wengi sana even the inbred scousers pale Liverpool City
Mfukuzeni Klopp mpeni timu huyo Buvac kama hajawashusha daraja
Lakini Nina uhakika Game vs Naples ataanza katika FXI kama kawaida ndani ya 4-3-3
Henderson ni trash, uingereza unambeba, kuna jukwaa flani niliona hadi waingereza wanam attack ni dhahiri washaanza kumchoka. Komkosoa haimanishi tuna chuki naye but anachoki deliver uwanjani ni hovyo
Sasa wewe unaenda wapi mech zote za away umekufa hadi kwa red starMan aende wapi nawe hapo ndo mwisho wake.
Naona umeanza kubeti kama mzee wengerJe wajua
Liverpool wanaweza kukosa Hata nafasi ya kucheza Europa league
FK Crvena Zvezda hawajopoteza game yoyote tokea mwezi April 2018 katika uwanja wao wa nyumbani
Hivo game ijayo PSG huenda wakala kipigo ambapo itawafanya wafikishe point 7.
Ikiwa Liverpool atapigwa na Napoli katika uwanja wa Anfield itawafanya waendelee kubakia na point 6 ambapo watashika nafasi ya mwisho kwenye kundi lao C.
Kama matokeo yatakuwa hivo msimamo utakuwa hivi
1.Napoli point 12
2. PSG point 8
3. FK Crvena Zvezda point 7
4.Liverpool point 6
Lakini anayeshuka kwenda Europa ni team ile iliyomaliza nafasi ya 3 kwenye kundi lake,Hivo Crvena Zvezda watashuka kwenda Europa na Liverpool itarudi EPL
Ikumbukwe Liverpool kombe walibakiwa nao kidogo wanashiriki ni FA cup tuu, EPL bingwa ni Man city![]()
Mkuu Radika sijakupa Hongera ya kuingia Round 16 HONGERA SANANaona umeanza kubeti kama mzee wenger
Huyo si ni arsenal mkuu ama nimechanganya??...Sasa wewe unaenda wapi mech zote za away umekufa hadi kwa red star
Asante mkuu.Mkuu Radika sijakupa Hongera ya kuingia Round 16 HONGERA SANA
Wa kwenu huyo mkuuHuyo si ni arsenal mkuu ama nimechanganya??...
Ndiyo...mbna unamwambia mambo ya livaWa kwenu huyo mkuu
Umesoma hesabu zake lakini mkuu?Ndiyo...mbna unamwambia mambo ya liva