Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

For sure hata mie nimemiss those moments, pamoja na kuwa tulikuwa na beki mbovu lkn tulikuwa tunapiga mpira mnene na mtamu balaa.
hata leo inawezekana kucheza hivyo, ila kumbuka hii system iliwezekana kwa sababu ya Emre can na Philipe/Chombo...........

ukiwa na middle ya gini,hendo na milner nani atapandisha mashambulizi?
 
acha mbwembwe unaenda kucheza na napoli inayofundishwa na ancelot huyu peke yake ni kikwazo amesha kutana na kelele kama zote uefa kazichukua nyingi tu kama mchezaji na kocha hakuna asichokijua kwenye crual moment kama hiyo kupita Liverpool ni kwa kutoa damu hakuna ushindi mwepesi
tulimpiga Istanbul fainali UCL huyu anceloti tena akiwa ametangulia 3 0...sasa kwa nini asipigwe ndugu tena...
ndani Anfield atapigwa na utakimbia maana ndoto yako tushuke futuhi ila hutuji kabisaaaaaa huko..
 
Napoli anahitajika kupigwa 1-0 tu ili liver tuweze kuvufu. Tatizo sio wachezaj ila Klopp ndio jipu, huyu jamaa kachoka kifikra, nina experience kila anapoweka mildfield flat kama ile ya jana kelele huwa nyingi za mashabiki na mwishon lazima huwa lazima tupoteza mechi tena kibaya mechi muhimu kabisa.

Jumapili na Everton baada ya kelele za jana, Klopp ataweka kikosi kizur hasa pale kati na formation itakuwa nzur ya ushambuliaji. Lakin baada ya mechi hyo utakuja kuona anaweka kikos anachokijua yeye.

Kiufupi huyu kocha ni jipu la majipu yote pale Epl, mi napata hisia huenda anatumika kuhujum team, amespend M200 lakin had leo anachofanya ni usen.g.e tu.

Namuunga Mkono kocha wa Egypt aliyemwambia Salah kuwa endapo liver itakosa kombe mwaka huu ni vyema aondoke coz anajichafulia CV.

3 fonts wetu Salah, Mane, Firmino wanahitaji kuchezeshwa na mildfield zinazojielewa kama Keita Shaqir na fabh na impact huwa kubwa siku zote wakiwepo.

Klopp hana tofauti na Amunike.
kula like
 
1-0 itaivusha liver to the next level, sababu liver atakuwa kamzid Napoli Goal difference kwa 3, Yani Liver ana magoli 8 na Napoli ana goal 5.

Hivyo liver anaitajika kushinda 1-0, au ikishindikana hivyo napoli apige goli ni lazima basi liver ashinde kwa zaid ya goli 1 (3-1).

Lakini endapo pia Psg atadraw na Red star basi ushindi wowote wa Liver hata kama 2-1 basi utaipa liver nafasi kifuzu.

Muhimu tu liver hatakiwi kupoteza kabisa hiyo game.
psg akidraw liver akashinda kwa 2-1 anaweza kutolewa........ maana napoli atakua juu ya liver na psg kwa sabbu ya head-head,....

liver atakua chini ya psg kwa sababu ya head to head..... so liver anatakiwa kushinda tu tena kwa aggr itakayompa edge over napoli, ili kama psg atadraw napoli ndio avuke kwa 2nd pos Coz of head to head yao,(nap vs psg)
 
i was a bit worried of Wolves guys run th show vs manshit, vs manure, vs aseno vs spas...but oflate t like they r loosin thier usual flow i ope by th tym we meet t not back..Burnley, Bono, Newcasto s tricky games bt so far this season we have found a way of beatin this 2nd tier tyms...YNWA

True, and we have lost a way of beating 1st tier teams, thus why we are no match for UEFA.

All in all, this season will be finished without any trophy, why?

Our close rival has it all, he beats all tiers easily (EPL), for UEFA we face 1st tier teams, FA we will advance to a point where we will meet 1st tier team and get knocked out, like what happened to League Cup.
 
Kuna watu wanajitekenya na kujipa matumaini ya uongo sana kama sio ya kitoto nasema, Europa ndio tayari hiyo. Ni kujifanya kipofu kuamini kwamba PSG atashindwa kumfunga Red star

Klopp alileta mzaha kwenye upangaji wa kikosi telling you licha ya PSG kucheza vibaya that day aisee Tuchel alifield lineup kali sana ambayo nilimuadmire kwa upangaji. Klopp kama kawaida na propaganda zake za kuwakonga nyoyo waingereza

All in all Take it or refuse EUROPA ndio LFC ameshaenda, sasa wanaojiaminisha kuwa PSG atashindwa kumpiga red star waendelee tu kuamini mpaka mwisho
the destiny of pool lies in their hands......

beat napoli 1-0 or by an aggr of two goals and they are in..........

achana na hayo ya psg na hao watoto huko
 
psg akidraw liver akashinda kwa 2-1 anaweza kutolewa........ maana napoli atakua juu ya liver na psg kwa sabbu ya head-head,....

liver atakua chini ya psg kwa sababu ya head to head..... so liver anatakiwa kushinda tu tena kwa aggr itakayompa edge over napoli, ili kama psg atadraw napoli ndio avuke kwa 2nd pos Coz of head to head yao,(nap vs psg)

Siyo hivyo mkuu, ikitokea PSG akadroo na Liverpool akamshinda Napoli, team zote zitakuwa na 9 points; hapo wataangalia between those 3 teams nani kakusanya points nyingi head to head (vs all 2), Liverpool yatakuwa na 6 points, Napoli atakuwa na 5 points, PSG atakuwa na 5 points. Kwa hiyo mziki utabaki kwa PSG vs Napoli.

NB: PSG atawachakaza wale madogo magoli mengi sana, sisi tuliwadharau yakatucost, PSG hatawadharau.
 
Last season in the CL group stages;

we were on 9 points already by the time tunacheza na Spartak, we just needed a win to finish wakwanza kwenye group ili kuepuka games ngumu kwenye knock-out stages.

This season we MUST beat Napoli ili ku-progress kwenye knock-out, and bad enough if they score, it will be a MUST to beat them by 2 goals.

Sad to see a grown man failing to see the differences here.
its a do or die game!.......

hizi ndio game liver anachukulia ujiko!.........

remember what happened in the final group stage game in 2005? the rest is history......

again, remember what happened in 2007 after 3 group stage games?.................

aaahhh liver hizi ndio game zake!......

comes may sitashangaa nikiwaona the reds pale wanda !!!!!!
 
True, and we have lost a way of beating 1st tier teams, thus why we are no match for UEFA.

All in all, this season will be finished without any trophy, why?

Our close rival has it all, he beats all tiers easily (EPL), for UEFA we face 1st tier teams, FA we will advance to a point where we will meet 1st tier team and get knocked out, like what happened to League Cup.
kweli kabisa, u cant win any trophy selecting th team like klopp did in Paris when th result realy matters...
when u look at our competitors u ask how do we catch n win by those margins lol only last season we were outplayin opponent like bullet trains scoring for fun...come this season even shot on target we do struggle...
Klopp need to keep his talented house in order no trophy this season is not acceptable....
 
well well well.....

an EPL game after every 2 days, with an UCL chilly spice ontop?
quite a tough spell for us, this.

EPL tukipata at least 10 points out of 12 na pia kumfurusha Napoli kwenye UCL, we have the season well placed where we want it to be. but it's one hell of a spell, man.

View attachment 952040
game ngumu ni ya parking the bus utd hapo.........
 
Siyo hivyo mkuu, ikitokea PSG akadroo na Liverpool akamshinda Napoli, team zote zitakuwa na 9 points; hapo wataangalia between those 3 teams nani kakusanya points nyingi head to head (vs all 2), Liverpool yatakuwa na 6 points, Napoli atakuwa na 5 points, PSG atakuwa na 5 points. Kwa hiyo mziki utabaki kwa PSG vs Napoli.

NB: PSG atawachakaza wale madogo magoli mengi sana, sisi tuliwadharau yakatucost, PSG hatawadharau.
didnt know kama huwa wanaangalia nani kakusanya points nyingi btn them.........

ila napoli atakua na bahati mbaya, kuna mwaka ilitokea alikua na point 12 sawa na wenzake enzi za rafa (alikua kundi moja na asernal) akatolewa sababu ya head to head hio hio
 
man how we lost vs Red Star still do puzzle me....4 3 3 has failed but he stick wt 4 2 3 1....that means Fabinho or Keita or Shaqir if not all will start
 
Klopp on Liverpool midfield: "We concede 5 goals [in the league this season] and you talk about how our midfield is overrun? I don’t see that. I don't see any problems in midfield."
 
didnt know kama huwa wanaangalia nani kakusanya points nyingi btn them.........

ila napoli atakua na bahati mbaya, kuna mwaka ilitokea alikua na point 12 sawa na wenzake enzi za rafa (alikua kundi moja na asernal) akatolewa sababu ya head to head hio hio

Ndicho kinachofanyika, ila uwezekano wa PSG kudroo ni mdogo sana, we just need to win by 2+ margin ili kuachana na habari za matokeo ya wengine.

Let's just do our part.
 
We underrated them, tulijua kwa vile walifungwa 6 na PSG, tukawafunga 4, then kwa vyovyote lazima tu tuwafunge.
Ule usenge ndo ambao unatucost now. Ufungwe na kitimu kisichotamkika alafu ukaifunge PSG na NAPOLI. Yani kama Klopp angefanya alichotakiwa kufanya tusingekuwa tunapigapiga mahesabu hapa sijui ya nn na nn. It was our best ever chance
 
We underrated them, tulijua kwa vile walifungwa 6 na PSG, tukawafunga 4, then kwa vyovyote lazima tu tuwafunge.
n here we are now wt all this +2 goals ili tuingie 16 bora....
for the first tym we have lost 3 UCL away games that not so cool guys...
now Klopp is calling on th mighty anfield die hard fans to cheer like there is no tomorow n beat Naple..
the fans il do thier part n him shold choose a winning squad not a bettin like squad....
 
its a do or die game!.......

hizi ndio game liver anachukulia ujiko!.........

remember what happened in the final group stage game in 2005? the rest is history......

again, remember what happened in 2007 after 3 group stage games?.................

aaahhh liver hizi ndio game zake!......

comes may sitashangaa nikiwaona the reds pale wanda !!!!!!

it can happen kama real footballers watapewa nafasi ya kucheza.

but that midfield 3 ya Hendo/Gini/Milner haiwezi kuleta mabadiliko yeyote dhidi ya Napoli.
 
Siyo hivyo mkuu, ikitokea PSG akadroo na Liverpool akamshinda Napoli, team zote zitakuwa na 9 points; hapo wataangalia between those 3 teams nani kakusanya points nyingi head to head (vs all 2), Liverpool yatakuwa na 6 points, Napoli atakuwa na 5 points, PSG atakuwa na 5 points. Kwa hiyo mziki utabaki kwa PSG vs Napoli.

NB: PSG atawachakaza wale madogo magoli mengi sana, sisi tuliwadharau yakatucost, PSG hatawadharau.
Liv atapona tu ikiwa atamshinda Nap 1-0 au amshinde kwa gap ya 2-0 yaani 3-1, 4-2, 5-3 na kuendelea vinginevyo Liv akishinda kwa gap ya 1 goal yaani 2-1, 3-2, 4-3 ,5-4 Nap atapita kwa goli la ugenini
PSG akidroo timu zote 3 zikawa na point 9, sheria ya UEFA ya kuamua matokeo kwa kutumia head to head results itatumika
  • PSG VS Liv = PSG ana advantage ya goli la ugenini kamfunga Liv 2 nyumbani
  • PSG VS Nap, Napoli ana advantage ya goli la ugenini Napoli kamfunga PSG 2
  • Liv vs Nap, Nap ana advantage ya goli la ugenini atakuwa amemfunga goli liv nyumbani
Katika hii sakata muadhirika ni Liv kwa sababu hana advantage popote
Dawa ni kushinda kwa format ile juu ya 1-0 Au kwa tofauti ya sio chini ya goli mbili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom