Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liv atapona tu ikiwa atamshinda Nap 1-0 au amshinde kwa gap ya 2-0 yaani 3-1, 4-2, 5-3 na kuendelea vinginevyo Liv akishinda kwa gap ya 1 goal yaani 2-1, 3-2, 4-3 ,5-4 Nap atapita kwa goli la ugenini
PSG akidroo timu zote 3 zikawa na point 9, sheria ya UEFA ya kuamua matokeo kwa kutumia head to head results itatumika
  • PSG VS Liv = PSG ana advantage ya goli la ugenini kamfunga Liv 2 nyumbani
  • PSG VS Nap, Napoli ana advantage ya goli la ugenini Napoli kamfunga PSG 2
  • Liv vs Nap, Nap ana advantage ya goli la ugenini atakuwa amemfunga goli liv nyumbani
Katika hii sakata muadhirika ni Liv kwa sababu hana advantage popote
Dawa ni kushinda kwa format ile juu ya 1-0 Au kwa tofauti ya sio chini ya goli mbili

I had the same understanding, ila baadae nimekuja kuona mahali wanasema ikitokea timu zote 3 zikamaliza na 9 points, head to head itahusisha timu zote combined, yaani inakuwa assumed kwamba ile timu ya 4 haikuwepo, kwa hiyo wanaangalia nani alipata points nyingi baina yao?

Unless nilielewa tofauti, ila hivyo ndo ilivyokuwa inaelezea.

Hata hivyo PSG atawafunga jamaa, sisi tuhangaike na Napoli tu.
 
mkuu sidhani kama hao watakua permanent sooon...amesema bado Fabinho adapt...Keita arudi fit 100%...Shaqir sijui klopp anamuona squad player lol....
bahati nzuri amekiri defence is sorted na sasa ni midfield anaifanyia kazi hata krismasi haedi ujeramani atakua mzigoni mpaka kieleweke...
yetu kusubir...
Sitamuamini mpaka alete kombe.
Hivi alijiamini nini kumuachia Emre can?unakumbuka ndo alikuaga mhimili wa mido kipindi beki zetu mbuvu?

Nna zana hii laiti kama hapa Buvac huku Can yupo chini huku VVD NA DOGO naamini mechi zote za ligi tungeshinda kwa namna tunayo taka sisi
 
shida ya liver sio washambuliaji ni kiungo.......

unapomweka gini, hendo na milner hapo unadefend zaidi na hupandishi mashambulizi........

liver hii anam-miss sana Can, Chombo/Coutinho! hawa walikua wanapandisha sana mashambulizi!

labda sasa awe anaanza gini, keita na shaq ndio utauona moto wake!
Coutinho wala sio janga hapa tumemkosa EMRE CAN tu
 
Siyo hivyo mkuu, ikitokea PSG akadroo na Liverpool akamshinda Napoli, team zote zitakuwa na 9 points; hapo wataangalia between those 3 teams nani kakusanya points nyingi head to head (vs all 2), Liverpool yatakuwa na 6 points, Napoli atakuwa na 5 points, PSG atakuwa na 5 points. Kwa hiyo mziki utabaki kwa PSG vs Napoli.

NB: PSG atawachakaza wale madogo magoli mengi sana, sisi tuliwadharau yakatucost, PSG hatawadharau.
Wale wadogo wakiwa nyumbani kwao ni wazuri usiwadharau mkuu, hata Napoli mwenyewe kaambulia Draw tu. Usije shangaa PSG naye akapigwa vile vile.
 
Klopp anajichimbia kaburi mwenyewe.. Sarri kampiga bench Cahil baada ya kushindwa kuendana na mfumo bila kujali Uingereza na Ucaptain wake anampanga Carabao na Europa League.,

Why Klopp anashindwa kumweka bench JH14 na Milner.!? Bora hata Milner ila Henderson hajui kudribble, kutoa passes, kushoot, kufanya tackle unamng'ang'ania wa nini.!?

Nje una watu wa kazi/shughuli Keita, Fabinho(ambao hawamjui wakaangalia clip akiwa Monaco) na Xherdan Shaqiri unashindwa kuwatumia..

Klopp asiposhinda kombe lolote msimu huu, kwa asilimia 100 nitaunga mkono kufukuzwa kwake..
mchezaji tunamjaj kwa kiwango chake cha sasa sio kwa kuangalia clip mkuu.....ingekuwa makocha wanapanga kwa kuangalia clip basi ingekuwa balaa dah maana hata antonio valencia asingekaa bench pale manure na yule hector bellerin angeuzwa paun 90 milion
 
Sitamuamini mpaka alete kombe.
Hivi alijiamini nini kumuachia Emre can?unakumbuka ndo alikuaga mhimili wa mido kipindi beki zetu mbuvu?

Nna zana hii laiti kama hapa Buvac huku Can yupo chini huku VVD NA DOGO naamini mechi zote za ligi tungeshinda kwa namna tunayo taka sisi
to accomodate his prefered player Keita/Fabinho so Emre had so leave.....
in midfield tukikutana na timu wenye midfield inayomiliki mpira na ku press wil continue to suffer...
as i have said kipigo cha Redsta was supposed to wake up Klopp ila hakuamka tena Milner almost gifted PSG a goal like one vs Redsta alivyokua deposessed only for Allison to save us...
Milner is good bt his agings legs av to be managed wen to play n vs who...
Henderson is more of an anthlete than a footballer...
Gini in his good days s classy...bt sometym he jst get lost....
sasa huyu Klopp anatuwekea watu hao dhidi ya pressing n talented PSG midos ni kutumaliza...
 
it can happen kama real footballers watapewa nafasi ya kucheza.

but that midfield 3 ya Hendo/Gini/Milner haiwezi kuleta mabadiliko yeyote dhidi ya Napoli.
Na wakipangwa tusitarajie sana mazuri kutoka kwao mana wanajua kabisa wamepangwa kwa sababu ya shinikizo la mashabiki inaweza kuwapa presha japo si sana.
 
Siyo hivyo mkuu, ikitokea PSG akadroo na Liverpool akamshinda Napoli, team zote zitakuwa na 9 points; hapo wataangalia between those 3 teams nani kakusanya points nyingi head to head (vs all 2), Liverpool yatakuwa na 6 points, Napoli atakuwa na 5 points, PSG atakuwa na 5 points. Kwa hiyo mziki utabaki kwa PSG vs Napoli.

NB: PSG atawachakaza wale madogo magoli mengi sana, sisi tuliwadharau yakatucost, PSG hatawadharau.
yaani toka mfungwe na wale zuwena zubeda mmepoteza dira yaani mmebaki na post za kujipa matumaini tu....................nyinyi ni wa futuhi tu lazma mjikubali bwana....hizi comment zenu zinachekesha yaani mtu unapanga mwenzio apoteze wewe ndio upite pambaneni na hali zenu
 
uki
didnt know kama huwa wanaangalia nani kakusanya points nyingi btn them.........

ila napoli atakua na bahati mbaya, kuna mwaka ilitokea alikua na point 12 sawa na wenzake enzi za rafa (alikua kundi moja na asernal) akatolewa sababu ya head to head hio hio
ukichanganyikiwa unaweza kuongea mengi sana mpaka yasiyokuwepo hivi vipigo viwili vya psg na zuwenazubeda vimewapa hali ngumu sanaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
kabisa wanapiga long balls kwenda mbele to who??...nwa amesema soon ambayo haijulikani ni lini timu itarudi heavy metal way of futbol...hope soon yake is soon as vs Blu jirani
Bado hajitambui haoni tatizo na beki zinafanya kazi kubwa kudhibiti mashambulizi?haoni tatizo na washambuliaji wanakuja nyuma kuchukua mipira ndo wakafunge yani haoni kwali?
 
yaani toka mfungwe na wale zuwena zubeda mmepoteza dira yaani mmebaki na post za kujipa matumaini tu....................nyinyi ni wa futuhi tu lazma mjikubali bwana....hizi comment zenu zinachekesha yaani mtu unapanga mwenzio apoteze wewe ndio upite pambaneni na hali zenu
tunapambana kutokuja futuhi kumpiga Napoli hayo mengine ni by th way...
 
mchezaji tunamjaj kwa kiwango chake cha sasa sio kwa kuangalia clip mkuu.....ingekuwa makocha wanapanga kwa kuangalia clip basi ingekuwa balaa dah maana hata antonio valencia asingekaa bench pale manure na yule hector bellerin angeuzwa paun 90 milion

Point yako ni gani.!? Maana naona mambo mengi, Valencia mara Bellerin mara Paun 90M...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom