Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huenda ila Klop keshantoka imani mana anaeza asimtumie pia.
Iweje mechi dhaifu ushashinda 3 umuingize Milner ambae anatumika sana mechi muhimu bechi kuna chipukizi usiwatumie?

Shaka yangu kocha alikua Buvac huyu hajiamini kabsaa.
sub za Klopp wakati mwingine hua pasua sana Mkuu hata ukiwaza mbona hivyo inakua ngumu kupata picha...
Wana Liverpool ni wavimilivu sana kwa kocha ila sasa pia uvumilivu una mwisho...
Klopp msimu huu priority ni ubingwa EPL na japo pace ya Mancty si ya kitoto hatukumbali nafasi ya pili...
As once said by this Liverpool great Man BILL SHANKLY "FIRST IS FIRST SECOND IS NOTHING"...he never accepted anything less than a win ndio maana he ws successfull...
Klopp should emulate that from him and do away with his mediocre players n subs za ajabu...
 
Uwongo Cloop anapangiwa hata mkataba wa Hendo kapangiwa hapo lengo Hendo awe na hakika kucheza mana akiwepo Faby lawama za mashabiki zitawaelemea kama zilivyo muelemea akajitetea kua hata goundogan alimuweka bechi zika muelemea tena akampanga kwenye nafasi wote tuliona tofauti Faby aka mplove rong kilichofata hakupangwa tena nafasi yake jumlisha maelekezo mabovu ili ionekane hajafiti.kudhibitisha hili muangalie Gini juzi kwenye taifa lake hafu fananisha na hizi mech alizo pangwa na Faby

KOCHA WETU ANAMAPUNGUFU TUSUBIRIE TU KOMBE
Hakika ni kusubiri,..kwa sasa ni kwenda jino kwa jino na Mancity mpaka kieleweke kwa sasa wekedi hii mpaka januari 30 emchi zote ni za kushinda ili kujiweka nafasi nzuri ya kupata kombe lolote...
 
sub za Klopp wakati mwingine hua pasua sana Mkuu hata ukiwaza mbona hivyo inakua ngumu kupata picha...
Wana Liverpool ni wavimilivu sana kwa kocha ila sasa pia uvumilivu una mwisho...
Klopp msimu huu priority ni ubingwa EPL na japo pace ya Mancty si ya kitoto hatukumbali nafasi ya pili...
As once said by this Liverpool great Man BILL SHANKLY "FIRST IS FIRST SECOND IS NOTHING"...he never accepted anything less than a win ndio maana he ws successfull...
Klopp should emulate that from him and do away with his mediocre players n subs za ajabu...
Ligi bado sana nazani team isipo miliki mpira beki zitachoka na tuta fungwa tu.ukiangali vizuli hizi mechi zilipita wapinza walitengeneza nafasi umakini wao tu tushukuru.
Enzi ya Gerard houller tulishi mechi 14 mfululuzo akaumwa akaacha tea kwa muda tukaharibu.
 
Ligi bado sana nazani team isipo miliki mpira beki zitachoka na tuta fungwa tu.ukiangali vizuli hizi mechi zilipita wapinza walitengeneza nafasi umakini wao tu tushukuru.
Enzi ya Gerard houller tulishi mechi 14 mfululuzo akaumwa akaacha tea kwa muda tukaharibu.
yeah ipo shinda timu inavyoshambuliwa sana mabeki watachoka tu na tutafungwo...midfield isipokua makini kuwazima wapinzani ni ngumu kuzuia mashambulizi...kama gemu ya Redsta katikati palipwaya sana hawakuzuia mashambulizi na hawakupeleka mashambulizi mbele....
Keita kupona na apangwe ni wakati mwafaka ili angalau zile pasi zake tuanze kuziona..
YNWA....
 
Media zinazidi Ku-exaggerate transfer ya Pulisic while ukweli Ni Kwamba Dortmund hawana mpango Wa Kumuuza January.. Lakini Summer kuna possibility ya 95% kuuzwa kwani wataogopa kumpoteza bure (Free agent).
 
A surprise signing by former Liverpool FC manager Kenny Dalglish in June 2011 when he signed from his hometown club Sunderland for £16m, talented midfielder Jordan Henderson assumed the Liverpool captaincy after Steven Gerrard's departure for America in 2015.



Nilipoyaona Maneno hayo ↑↑ Kule Liverpool Echo ilinibidi Nicheke tu 😀😀😀
 
John Aldridge: Christian Pulisic can be Liverpool's true replacement for Philippe Coutinho

Pulisic has got pace and he would certainly fit our style. With the way he picks the ball up and goes past players, he's a Coutinho-type.

No Mr. Aldridge! There is no guaranteed for him to success at Liverpool! Kama yeye Ni Coutinho-Type, Remember that we have a British-type.. Look at Keita anavyoishia due to British-type....
 
so whats ua point Dully, japo ukiangalia rekodi inasema 18time winners asa sijui uzii huu hao looserpol wanatoka wapi...hapa ni kwa majogoo aidha uwapende uwachukie ukweli ni kwamba wapo juu hivyo utazidi kujiumiza kabisaaa
YNWA
ok....18time winners wa nini?maana unaweza kuwa mshindi katika mambo mengi ila mimi nazungumzia EPL so najua kuwa point yangu ya msingi unaijua ila ubishi.............kama le capitain SG hajabahatika kugusa hiyo kitu itakuwa wewe mkuu?ndio maana nasemaga mashabiki waukweli wa loserfool ni wale wa enzi za kina K.DAGLISH sio hawa watoto wa juzi juzi
 
18 is 18 aidha za EPL or whatever you may call t haijalishi but th records shows Liverpool r 2nd to Manure ranking the most trophies of UK premier lig sasa kama wewe unataka kuleta ubishi go ahead mkuu..

ok....18time winners wa nini?maana unaweza kuwa mshindi katika mambo mengi ila mimi nazungumzia EPL so najua kuwa point yangu ya msingi unaijua ila ubishi.............kama le capitain SG hajabahatika kugusa hiyo kitu itakuwa wewe mkuu?ndio maana nasemaga mashabiki waukweli wa loserfool ni wale wa enzi za kina K.DAGLISH sio hawa watoto wa juzi juzi
 
VVD entering in the Top 3 - World class Centre back status..

not just because of his football abilities but pia ni kwaajili ya his game- influence and leadership qualities..

but this man plays for LFC and he's captained by a bang average footballer who dont even have the abilities to influence his kids let alone a bigger club like LFC.
 
And Lovren lmaoooo

Dude hajawahi kushinda kombe lolote lile in the Top flight football, and he had the audacity to mock arguably one of the best Centre backs in the last decade ambaye ana makombe si chini ya 20 pale Madrid.

our club is full of trolls, no wonder we're struggling to win titles
 
noticed in the Fulham game, klopp played Salah as a 9 in the 4231 with Mane and Firmino kwenye flanks and Shaqiri as a 10..

could be a downfall to Bobby as he cant play well kwenye wings.

i remember saying what was the point of playing Bobby upfront if we dont press anymore, naona Klopp kaona hiyo ishu and decided to deploy salah upfront, but again playing Bobby on the wings kutazidi kupunguza his goal scoring chances, need to stick him kwenye his old number 10 and play Shaqiri kwenye RW position, (understandably Shaqiri lacks that needful pace and pressing ability in the half spaces to be as a RW in Klopps 4231), but you cant just stick Firmino there because of his halfspaces pressing abilities kwasababu he needs goals and he is the only one who can create for us

theres absolute no need for bobby to play upfront if we dont press from the midfield, but also no need to put Bobby wide kwaajili ya kucover channels and pressing from deep wide areas, let Robertson and Milner do that, because Firmino needs goals now to turn his form around.

been saying on here kuwa Gini is so good in advanced roles (10), even when we missed on Fekir, i suggested in my opinion kuhusu a midfield of Faby/keita and Gini as a 10. and now Koeman is proving me right, playing Gini as a 10 and you can see his impact in Netherlands team, but at LFC klopp plays him as a 6/8 and restrict him to dribble or move the ball into the lines, he's just a runner and high volume passer which siyo kabisa his technical side of the game, thats why he always fell short kwenye suala la passing volume in the mid (though he's adopted vizuri kwenye suala la "Refuge midfielder" kama Hendo and Millie) in short Klopp has turned him into a workhorse, something which he's trying to do kwa Faby and keita which will be impossible kama ilivyokuwa kwa Gundogan (ambaye alimweka nje kwa zaidi ya miezi 6 baada ya kumsajili) but at the end he shaped his midfield to Gundogan own strenghth because Gundp didnt change his style of play, could be the same to Keita whos main strenght is dribbling, so dont think atafanikiwa kumfanya awe runner or high volume passer in the middle, Always watching Fabinho and Laugh, dude keep on playing his usual calmness football (the long legged bastard hahaha)

what happened to Gini could very well happen to Firmino, turn a well established false number 9 into channels covering merchant, TITE (Brazil coach) said last week kuwa he sees Firmino as a real number 9, not just a fals number 9, think it was a slight dig at Klopp.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom