King Ngwaba na wadau wengine wa liverpool nahitaji munipe elimu ya bure inayohusu mwenendo wa klabu yenu.
nimeona comment nyingi sana mukiwazungumzia
liverpool echo kuingilia maswala mbali mbali ya klabu yenu ikiwemo kuwapa sifa wachezaji wanaowapenda wao kama team captain hendo 14.
hivi hilo gazeti lina nguvu kiasi gani ndani ya klabu?
naomba mufunguke ili na sisi wavivu wa kufuatilia habari za liverpool fc tuweze kufahamu yaliopo nyuma ya pazia.
nasubiria ushurikiano wenu na ni matumaini yangu hamutaniangusha.
Liverpool Echo ni local newspaper, ambalo lina-cover habari mbali mbali za Jiji la Liverpool, hasa katika upande wa Sports, Jiji la Liverpool lina clubs nyingi tu za mpira wa miguu, but ni Clubs mbili tu ambazo zimeweza kutoa upinzani mzuri kwenye league ya England, nazo ni LFC na Everton, so ukiachana na LFC, Liverpool Echo pia wanacover habari za Clubs nyingi za Liverpool ikiwemo Everton kwa kiasi kikubwa..
Now, kuna Local newspapers na Local Journos, mfano Neil Jones yupo goals.com but ni journo kutokea LFC, thats why huwa anacover news za LFC na Everton, the same to Paul Joyce wa The Times and Mellissa Reddy wa goals (rumoured to be Mane's girlfriend).
so LFC huwa inapata coverage kubwa kwenye Liverpool Echo na kwa hawa local journos kwasababu ya ukubwa na uwingi wa mashabiki ndani ya Liverpool, UK, Europe na duniani kiujumla, ndiyo maana watu wengi huwa wanahisi kuwa gazeti ya liverpool Echo lipo affiliated na LFC.
Ni kwamba, Club imelifanya hili gazeti kuwa mtoa habari wake wa kwanza, hasa kwa habari zinazohusu club developments/projects/new appointments/injuries/annoucement etc, Club pia huwa inawa-brief Echo kuhusu internal matters za Club, na pia inawatambua rasmi journos kama Pearce/Doyle etc, ambao huwa inawachukua hata kwenye tours kwaajili ya kufanya coverage kwenye gazeti, most of all gazeti ili linatumika na Club kwaajili ya Public relations, so kwa maana hiyo gazeti hili limekuwa na followers wengi globally na limekuwa ni kama sauti ya Club duniani..
Echo pia linatumika sana katika PR za Transfers hasa pale wachezaji wanapotaka kuondoka au kununuliwa, Club's PR team huwa inashirikiana kwa karibu sana na hili gazeti pamoja na other local journos, mfano mchezaji muhimu anapotaka kuondoka na Club ikawa inajua exactly kuwa mashabiki wote duniani wapo against na transfer, huwa wana-leak negative news kuhusiana na mchezaji kwa Echo ambao wanakuwa instructed kuandika kulingana na Club inavyotaka, mfano wanaweza wakasema mchezaji husika anagoma kufanya mazoezi na team etc. rejea PR za kuhusiana na Torres/Mascherano/Alonso/Sterling/Can etc, though its widely known kuwa Cou refused to train with the team and Suarez forced a move, but pia rejea saga za VVD, Fekir, Remy, Willian. Texeira. Cr7, mkhitaryan, Dani Alves, David Silva, Konoplyanka etc, club ikifanya blunder ya usajili huwa ina-leak positive news afterwards either kutoa sababu ya kufail kwa deal au kwamba they will go back in the future, haya yote ni kina Pearce ndiyo wanakuwa wanapewa, different between other journos na kina Pearce ni kwamba wengine wanatafuta habari za LFC na kina Pearce wanaletewa na LFC wenyewe, though siku hizi naona Club inamtumia zaidi Mellisa Reddy kwa exclusive interviews na transfers.
mfano in Tanzania, tuna Clouds and ITV, so Clouds wana uwezo wa kuaminisha halaiki kuwa msanii flani ni bora au chama flani cha siasa ni bora kwa kutumia tu power yao ya PR, or ITV ambao ni the most followed news channel in Tanzania can do the same kwa upande wa siasa kupitia habari zake, and majority of people can believe those PRs, ni same to Liverpool Echo, ni gazeti la muda mrefu sana kwenye jiji la Liverpool, na limekuwa na wasomaji wengi sana hasa scousers, so wana uwezo wa kuleta agendas kwa baadhi ya wachezaji mpaka kuchukiwa kabisa na fans.
You know, football ni business siku hizi, Club ina-aim zaidi kwenye faida, and lets be honest, fans wanaochangia kwa kiasi kikubwa pato la LFC ni scousers na other fans across Britain, because these are match-goers and wanafanya activities nyingi sana kuhusiana na club as wapo close sana na club, so LFC as a club will listen to these fans opinions kabla ya opinions zetu sisi wa other part of the world, so Echo can start a PR na hawa fans wakachukua hizo agendas mpaka kwenye matches au kwenye training grounds and many scousers dont use twitter or forums, they use comments sections za kwenye website ya club, so club wont allow the fanbase kuwa divided hasa kwa daily match goers, na mwisho wa siku ili Club iendelee kusurvive inahitaji kutoa na kupata positive reviews kutoka kwa fans. mfano Ishu ya Sakho kuondoka LFC ilikuwa ni pressure from Echo and scousers, Sakho alikuwa cleared na ishu ya kutumia dawa but Echo wakaaminisha watu kuwa Sakho kaonesha utovu wa nidham kwa Klopp, then juzi tumeshuhudia Flanagan akimpiga girlfriend wake but Echo didnt push the agenda at all, same can said kwa Markovic, tangu akatae kuondoka hii summer iliyopita Klopp has moved him kwa u23 and he is not allowed to train na team ya wakubwa at all, if hii treatment angekuwa anapewa Solanke or Lallana ungeona a lot of articles za kumshutumu Klopp from Echo, but Markovic is from Serbia so its fine.
and nimekuwa nikisema hivi kila siku, kuwa Club yenyewe ni ya kujilaumu kwa kuwaruhusu Echo kuwa un-official wasemaji wa Club, Yes under Club they are trying to reduce that power by giving Mellisa Reddy and Joyce the exclusives, but mizizi ishaota tayari, this newspaper is so powerful, and huwa inakuwa mbaya zaidi pale wanapokuwa wanamchukia mchezaji, mfano mdogo Emre Can mara nyingi alikuwa anagoma kufanya interview za kiholela na hawa jamaa, and they hated him for that, now they hate Fabinho because he's a threat to Henderson, but ninachomshukuru Mungu, kwasasa power ya social media imekuwa kubwa sana, and people wanajionea wenyewe hizi agendas, zamani tulikuwa mpaka tuingie directly kwenye official site ya Echo kujionea hizo agendas, people now everybody can see them tena kwa urahisi zaidi.
on the other note, they are doing great job katika upande wa Promotions, and Club huwa inawatumia sana kwenye mambo ya tickets and other business relating projects, thats why its not that easy to wipe them compelety.
and, as a journalist, number 1 rule ni kutokuwa biased, but at ECHO kuna waandishi ambao wapo close na some players (friends), and it gets to a point kuwa wanashindwa kutoa constructive criticims kwa hao wachezaji kisa tu ni marafiki, there is no any other way unaweza ukanambia Doyle ndani ya moyo wake kabisa anafikiria kuwa Henderson ni better DM than Fabinho au Lovren should bench Gomez.
Juzi tu hapa, baada ya kufungwa na Red star, Bascombe wrote an article blaming Fabinho na Keita wakati hawakucheza kabisa, and he blamed faby and keita for not settling early na kumsahau manager ambaye hawachezeshi, and matter of fact how can you blame players ambao walikuwa bench kwenye hiyo mechi? becuase he couldnt blame his friend Lallana ambaye hata mtoto mdogo angeona ni jinsi gani alivyocheza hovyo, but kila Lallana akicheza hovyo huwa tunaambiwa kuwa anarecover from his injuries.
Then you have Echo telling the fans kuwa Lallana huwa anakuwa unfairly scapegoated, but these are the same people who crucified Fabinho for that Arsenal perfomance and called Sturridge "mentally weak" for his injury problems, but when Lallana missed almost msimu mzima na injuries na kuumia tena wakati huu msimu unaanza, huwa tunakutana na articles zinatuambia Lallana akipona majeruhi atakuwa kama new signing.
Liverpool Echo arent going away anytime soon, ni mizizi ambayo Club yenyewe imeshaiweka, wenzetu Barca/Madrid/Utd etc wana limitation kwa local papers za kwao, but LFC ilijisahau, and we can blame kina Houllier for this, but damage tayari imeshatokea, Benitez tried to fight them but they ended up worsened his relationship with Carra and SG. Klopp dont really care about them as he likes to chat more with Mellisa, but at times unaona kabisa the pressure is getting to him, they have started with "we want trophies" propaganda, and huwa wanatumia Legends kwenye this kinda Interviews. if we drop points against PSG bila Henderson kuwepo, suala la "trophies" litakuwa huge, zile articles za "is Klopp the right man to take us forward?" na hapo ndiyo ndugu zetu wanaotetea his weaknesseses wataanza kuturn on him.
few weeks ago baada ya Klopp kumuanzisha Fabinho, niliandika humu kuwa he needs to win Cups as EPL is a long short, because niliona reactions, katika Managers wote duniani hakuna manager ambaye napenda afanikiwe at LFC kama Klopp because alikuja LFC wakati kila kocha akitukataa, but when we try to discuss his weaknesses ili aziondoe na kufanikiwa haraka na kuprove watu wrong tunaonekana 'much knows', Its like wanapenda jinsi Rival fans wanavyomock everyday kuwa 3 years no trophies, soon haya maneno watayaona Liverpool Echo and they will not believe it, kama Rodgers alivyoshindwa kuamini pale "rafiki" aliokuwa anawaalika nyumba for Lunch and Dinner walivyomgeuka completely.
i call people to go and do a comprehensive research on this; Benitez downfall at LFC began wakati kipindi kile anataka kum-drop Carragher as he didnt rate him that much, and wanted to drop him for a foreigner.