kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,694
- 20,648
Nimemaanisha mkuu Joseph ni balaa tupu
Mkuuu unamaanisha hadi Vvd n mzigo au nimekuelewa vbaya ???
Mkuuu unamaanisha hadi Vvd n mzigo au nimekuelewa vbaya ???
Nimemaanisha mkuu Joseph ni balaa tupu
Gomez anajengwa na VVD. Mpange na Lovren au Matip .Dogo yupo njema sana lkn pia vvd n noma mkuu
Nilikua najarbu kumuelezea huyo meku aliesema beki zote ni mzigo isipokua gomez. Honestly mm nikishamuona vvd kwenye line up nakuaga naamani sanaGomez anajengwa na VVD. Mpange na Lovren au Matip .
tukibishana ivi tutafika mbali sio mtu anakuja hapa na ngonjera "nani hayaogopi majogoo "big up analyzer you nailed it1: zwazwa ni wewe
2.ranieri hakuachiwa kikosi bali alikitengeneza mwenyewe
3.klopp hakupata transfer window alivyorithi kikosi so alikichukua na mizigo kma akina baloteli na markovic
TURUDI KWENYE UBORA WA VIKOSI:
1.MIGNOLET VS SCHMEICHEL (KASPER BILA UTATA)
2.GLEN JOHNSON VS DANNY SIMPSON (SIMPSON, Glen johson alishazeeka na ndo msimu uliofata akaenda stoke if am not mistaken)
3.MANQUILLO VS ALBRIGHTON (ALBRIGHTON)
4.LOVREN VS HUTH (LOVREN,DEBATABLE)
5.SKRTEL VS WES MORGAN (WES MORGAN,UKIBISHA KUMBUKA MABOKO YA SKRTEL NA SOTON,MANE ANATUFANYA VIBAYA SECOND HALF)
6. LUCAS LEIVA VS NGOLO KANTE ()
7.MAHREZ VS STERLING (MAHREZ,STERLING ALIKUA HANA END PRODUCT KAMA YA MAHREZ)
8.HENDERSON VS DRINKWATER (WOTE SAWA)
9.STURIDGE VS VARDY (VARDY,KUMBUKA HUYU STURIDGE ALISHAANZA KULA PANCHA SIO YULE ALIESIMAMA NA SUAREZ)
10.GERRAD VS OKAZAKI (GERRAD)
11.PHIL COUTINHO VS SCHLUPP (COUTINHO)
Haya niambie kati ya mimi na wewe nani zuzu?

Tafuta ( you tube) Chemistry au patnreship ya VVD na Gomez.Nilikua najarbu kumuelezea huyo meku aliesema beki zote ni mzigo isipokua gomez. Honestly mm nikishamuona vvd kwenye line up nakuaga naamani sana
Pole mkuu... Naona na Leo umejinyea tena... Nilikuambia uache kale kamchezo sio kazuri....Mara ya mwisho Liverpool kuchukua Epl ilikua 1990 takribani miaka 28 sasa umri wa mtu mzima
Steven Gerald aliondoka mikono mitupu
Bado mashabiki wa liver wanaishi kwenye ndoto kuwa ipo siku watachukua ubingwa, endeleeni kuishi kwenye hizo ndoto millele hata Gerald na yeye alikua na ndoto kama zenu.
Mtasuffer sana, mtababaika sana lakini Epl hamchukui ng'ooo
kifupi loserfools hawajawahi kubeba EPL.......Pole mkuu... Naona na Leo umejinyea tena... Nilikuambia uache kale kamchezo sio kazuri....
Inakuuma eeeh.... Hahahahahahah..we utakuwa Nyumbu tuuu si bure....!kifupi loserfools hawajawahi kubeba EPL.......
OVER
the boy is enjoying football n so far so goooodI think Gini is currently on the top form of his carrier
so whats ua point Dully, japo ukiangalia rekodi inasema 18time winners asa sijui uzii huu hao looserpol wanatoka wapi...hapa ni kwa majogoo aidha uwapende uwachukie ukweli ni kwamba wapo juu hivyo utazidi kujiumiza kabisaaakifupi loserfools hawajawahi kubeba EPL.......
OVER
TAA ni kama development yake ime stuck this new term.. last season alijitahidi sana n i think kwa nafasi yake anaona hana mshindani so bidii zimepungua n being a local kid ndio kabisaaa...Ila Robb anatengeneza sana nafasi Taa ndo tatizo
Lovren n Matip hawa ni wa kuuzwa tupate young solid guys sio hawa wasiotabirika na injury prone...Gomez anajengwa na VVD. Mpange na Lovren au Matip .
anastahili kabisaaaaa long live Sir King Kenny
Mkuu yawezekana Anartovic ndio wild card kama ile ya Fergie kumsajili Van Persie na kuchukua ubingwa...pengine Klopp kaona ni cheap option ya target zake ambae analeta impact immediatly..Ulicho maanisha upo sahihi kabisa nakubaliana na hilo.
Tufauti yetu kwa mimi nimuonavyo Anartovic hajamzidi sana Origi ndomana nikatilia shaka.
Team yetu haiamini vijana mara nyingi huuzwa.
Kuna walionyesha uwezo kwenye mechi za maandalizi ya msimu ambao kwa mechi zenye ushindi mkubwa wanastahili kuingizwa ajabu anaamshwa Milner aingie.
Huenda ila Klop keshantoka imani mana anaeza asimtumie pia.Mkuu yawezekana Anartovic ndio wild card kama ile ya Fergie kumsajili Van Persie na kuchukua ubingwa...pengine Klopp kaona ni cheap option ya target zake ambae analeta impact immediatly..
kama akisajiliwa lets see how Klopp will use him bt so far ni umbea wa magazeti lets wait....
Uwongo Cloop anapangiwa hata mkataba wa Hendo kapangiwa hapo lengo Hendo awe na hakika kucheza mana akiwepo Faby lawama za mashabiki zitawaelemea kama zilivyo muelemea akajitetea kua hata goundogan alimuweka bechi zika muelemea tena akampanga kwenye nafasi wote tuliona tofauti Faby aka mplove rong kilichofata hakupangwa tena nafasi yake jumlisha maelekezo mabovu ili ionekane hajafiti.kudhibitisha hili muangalie Gini juzi kwenye taifa lake hafu fananisha na hizi mech alizo pangwa na FabyWakuu vipi hili la kumuuza Fabinho Januari/ summer kwenda Ac Milan au Juve..
eti hajaleta impact walivyotegemea...wazungu hamnazo kabisa gossip zao wakti mwingine pasua...the boy hasnt even hit the ground ki sawa sawa leo wanasema auzwe....
pazuri ni pale hata usajili wake waandishi wengi or almost wote wa sport UK hawakuutabiri...so may b this is another dead end story...