Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu dizaini kama umekurupukia post ya Ngwaba
Kwenye michango yake Mara kadhaa anasema mchezaji flani ni wa kawaida sana, sio level ya club hii

Sa me nasimama hapa tu kwny uchezaji wa kawaida sana, je kuna club isio na mchezaji wa kawaida sana?
 
Kwa upande wangu nikiangalia uwezo wa Origi Hata kama ana umri mdogo basi kuuzwa kwake hakuiathiri Liverpool kwa chochote kile kwani Ni mchezaji wa kawaida sana ambaye kwa Timu kama Liverpool si wa Kumtegemea..

Na tukiangalia uwezo binafsi basi Arnatovic ni bora kuliko Origi kwani Arnatovic anOffer mambo mengi zaidi kuliko Origi..

Najua kama Tovic ana miaka 29 lakini atakachoOffer kwa Misimu 2 tu ya umri wake ni bora kuliko atakacoOffer Origi Kwa Miaka 10.
Si kila Mahali kuwa umri unaMatter mkuu!

Ivi Kwakuwa Messi ana miaka 31 ndiyo nimchague Rashford kwenye timu kwasababu ana miaka 19 ?

Sometime inawezekana ukachukua Mchezaji mwenye miaka 33 ukamuacha mwenye 20.
Ulicho maanisha upo sahihi kabisa nakubaliana na hilo.
Tufauti yetu kwa mimi nimuonavyo Anartovic hajamzidi sana Origi ndomana nikatilia shaka.

Team yetu haiamini vijana mara nyingi huuzwa.
Kuna walionyesha uwezo kwenye mechi za maandalizi ya msimu ambao kwa mechi zenye ushindi mkubwa wanastahili kuingizwa ajabu anaamshwa Milner aingie.
 
1: zwazwa ni wewe
2.ranieri hakuachiwa kikosi bali alikitengeneza mwenyewe
3.klopp hakupata transfer window alivyorithi kikosi so alikichukua na mizigo kma akina baloteli na markovic

TURUDI KWENYE UBORA WA VIKOSI:

1.MIGNOLET VS SCHMEICHEL (KASPER BILA UTATA)

2.GLEN JOHNSON VS DANNY SIMPSON (SIMPSON, Glen johson alishazeeka na ndo msimu uliofata akaenda stoke if am not mistaken)

3.MANQUILLO VS ALBRIGHTON (ALBRIGHTON)

4.LOVREN VS HUTH (LOVREN,DEBATABLE)

5.SKRTEL VS WES MORGAN (WES MORGAN,UKIBISHA KUMBUKA MABOKO YA SKRTEL NA SOTON,MANE ANATUFANYA VIBAYA SECOND HALF)

6. LUCAS LEIVA VS NGOLO KANTE ()

7.MAHREZ VS STERLING (MAHREZ,STERLING ALIKUA HANA END PRODUCT KAMA YA MAHREZ)

8.HENDERSON VS DRINKWATER (WOTE SAWA)

9.STURIDGE VS VARDY (VARDY,KUMBUKA HUYU STURIDGE ALISHAANZA KULA PANCHA SIO YULE ALIESIMAMA NA SUAREZ)

10.GERRAD VS OKAZAKI (GERRAD)

11.PHIL COUTINHO VS SCHLUPP (COUTINHO)

Haya niambie kati ya mimi na wewe nani zuzu?
wewe ni zuzu ,maana sioni cha maana ulichoandika hapo
 
Gini: It's not about stats, it's about winning something
 
TAA na Robbo wangekuwa na target at least kama ya Asante Kwasi wangeisaidia sana attacking line.Sadly wote wawili wako poor kwenye hilo.Hasa Robbo,ana pace na kukimbia na mpira vizuri sana.Tatizo ni pale anapoamua kushuti.Hatofautiani sana na Moreno kwenye hilo la kushuti
 
Mnaopiga kelele kuhusu klopp kubeba makombe wakati mkijua alivyoikuta team na hadi hapa ilipofika mlitakaje?
Jiulizeni

1.Alienda pale BVB akakaa mda gani kabla hajanyanyua kwapa?
2.Alikuta kikosi gani pale BVB na alifanya nn?

Kama yeye mwnyw alisema aulizwe baada ya miaka mi3 na club imeendelea kumpa mda na kumwamini nyinyi kinawashangaza nn?

Angalau hatutosumbuka tena kwenda Kuwasoma Liverpool Echo kumbe Echo tunao hapahapa Katika Uzi.
 
Ulicho maanisha upo sahihi kabisa nakubaliana na hilo.
Tufauti yetu kwa mimi nimuonavyo Anartovic hajamzidi sana Origi ndomana nikatilia shaka.

Team yetu haiamini vijana mara nyingi huuzwa.
Kuna walionyesha uwezo kwenye mechi za maandalizi ya msimu ambao kwa mechi zenye ushindi mkubwa wanastahili kuingizwa ajabu anaamshwa Milner aingie.

Kwa Kukukumbusha tu ni Kuwa Liverpool kwa Miaka ya Karibuni (tokea mfumo wa EPL uasisiwe) haijawahi kumuamini Kijana asiyekuwa Mbritish.

Na ndiyomana Wameandaliwa Gomez na TAA, na Solanke alilazimishwa Kubebwa lakini Kafeli...
Na Kuna wengine ambao wanaandaliwa Kuaminiwa kama Wilson na Brewster.

Kwahiyo nadhani ni End of Discussion
 
TAA na Robbo wangekuwa na target at least kama ya Asante Kwasi wangeisaidia sana attacking line.Sadly wote wawili wako poor kwenye hilo.Hasa Robbo,ana pace na kukimbia na mpira vizuri sana.Tatizo ni pale anapoamua kushuti.Hatofautiani sana na Moreno kwenye hilo la kushuti
Ila Robb anatengeneza sana nafasi Taa ndo tatizo
 
Ila Robb anatengeneza sana nafasi Taa ndo tatizo
The kid is very good meen if you know what am talking about.Shooting on target is my main concern here...Amid his pace he get a lot of those chances but all become out of target...
 
The kid is very good meen if you know what am talking about.Shooting on target is my main concern here...Amid his pace he get a lot of those chances but all become out of target...
Jana kafunga team ya taifa.
 
Ok..he is now good in shooting on target just because he scored yestetday....
Haha haa bado sana hua anajarbu tu alishafungaga faulo na Dortmond mpaka leo hajafunga tena na anazikimbilia sana kupiga ila wapi.

Afunge tena na tena ndo tutamuita mzuli
 
Haha haa bado sana hua anajarbu tu alishafungaga faulo na Dortmond mpaka leo hajafunga tena na anazikimbilia sana kupiga ila wapi.

Afunge tena na tena ndo tutamuita mzuli
Alaf nilidhani Scotland wanacheza leo man..na jana wamecheza pia?
 
Kwenye ukuta wa Liverpool nguzo ni Joseph gomes tu wengine wote mizigo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom