Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hivi Origi kapangwa mechi ngapi akashindwa kufunga?

Origi umri 21 Arnautovic 29

Rogers alirundika wachezaji asio watumia ama akiwatumia anawapanga nafasi wasizo zoea ngoja tuone.

All in all usajili muhimu bado halafu kwa nini Firmino asirudi kiungo kama Left center midfield halafu huyo dogo Origi akapiga 9 ? Dah! kumbe tunaforce 9 ya mtu ambae hana mbio wala nguvu bila sababu tu!
 
Mimi Klopp Ninamjua tokea wewe hujaanza Kupenda Mpira.

Kumbuka:
1) Huu si uzi wa Dortmund

2) Huu ni uzi wa Liverpool

3) Tunachojadili hapa ni mafanikio ya Liverpool

4) Hapa hatujadili mafanikio ya Dortmund

5) Mafanikio ya Dortmund hayatusaidii chochote sisi Liverpool

6) Ni ujinga wa kupindukia kwa washabiki wa Liverpool kujivunia mafanikio ya Dortmund

7) Hivi wewe unaweza kujivunia kushiba kwa pilau iliyopikwa na kuliwa kwa jirani?

Note: Klopp alichokipata Dortmund sisi hakituhusu wala hatupo hapa kukijadili!! Tunachojadili hapa ni kuwa alete mafanikio Liverpool kwani mpaka sasa ndani ya Liverpool ni Zero Trophy.
Ishu inayoongelewa ni kua klopp hana uwezo wa kuchukua makombe.
Na ndo mana nimekukumbusha kua amechukua ligi na dortmund mara 2 mbele ya bayern.

Na kwa liverpool,klopp tum judge mwisho wa msimu huu. Sababu hamna kocha duniani angeweza kuchukua ligi na team aliyoachiwa klopp.

Klopp kaachiwa team mbovu kupindukia, na ukitaka ku prove hilo nitajie starter wa kikosi cha rodgers ambae yupo kwnye xi hii ya liverpool?jibu ni HAMNA.

CONCLUSION: KLOPP SIO HAWEZI KUCHUKUA MAKOMBE BALI KIKOSI ALICHOACHIWA KLOPP KISINGEWEZA KUCHUKUA KOMBE LOLOTE.

NOTE: NIKISEMA KOMBE NA MAANISHA LIGI NA UCL.
 
All in all usajili muhimu bado halafu kwa nini Firmino asirudi kiungo kama Left center midfield halafu huyo dogo Origi akapiga 9 ? Dah! kumbe tunaforce 9 ya mtu ambae hana mbio wala nguvu bila sababu tu!
Watu kazi kusifia tu hata mapungufu hayasemi.
Huyu dogo alichangia tukafika fainal
Huyo dogo kabla ya kuumizwa na yule fuji Mory alikua na wastan mzuri tu wa goli kama chipukizi
Huyu dogo alitolewa kwa mkopo kwa figisu tu ili solanke acheze na amepangwa mechi zote hakuambulia hata goli huu ni udhaifu wa kocha wetu hawaoni kazi kusifia tu.

Kocha akishakua na matabaka ya wachezaji kufanikiwa ni ndogo sana

TUKUMBUKE MWISHO WA MSIMU WAKE DORTMOND
 
Kumbe Mjerumani amesha weka na mambo mambo ya kizungu pale LFC

Solanke kiukweli sijaweza kumkubali pia, Dah aisee

Unaweza kuta probable reason ni mambo ya u'Uingereza' pia kwenye hili nalo
 
Ishu inayoongelewa ni kua klopp hana uwezo wa kuchukua makombe.
Na ndo mana nimekukumbusha kua amechukua ligi na dortmund mara 2 mbele ya bayern.

Mkuu rudia kusoma tena, hakuna aliyesema kwamba Klopp hana uwezo wa kuchukua kombe, isipokuwa ni kwamba hajachukua kombe akiwa Liverpool, na ili apate heshima kwa Liverpool ni lazima awe amechukua kombe/makombe.
 
Wtf!! Nimekaa kimya siku mbili tatu hizi lakini kukaa kimya nashindwa asee...

Klopp tumekubali umetuaminisha taa ni mzuri kulko clyne na kutudanganya Solanke ni bora mbele ya sturidge na origi lakini unakoelekea nakudharau

Arnautovic wanini wakati unakiungo mbunifu mmoja tu shaqiri na ox ndio aieleweki atarudi mzima au marehemu!! Embu sajiri watu muhimu

Huyu Mtu ataiacha Liverpool kama alivyoiacha Dort
 
Huna Football Management, Klopp anajua zaidi yako.

Hahaha...
 
Ishu inayoongelewa ni kua klopp hana uwezo wa kuchukua makombe.
Na ndo mana nimekukumbusha kua amechukua ligi na dortmund mara 2 mbele ya bayern.

Na kwa liverpool,klopp tum judge mwisho wa msimu huu. Sababu hamna kocha duniani angeweza kuchukua ligi na team aliyoachiwa klopp.

Klopp kaachiwa team mbovu kupindukia, na ukitaka ku prove hilo nitajie starter wa kikosi cha rodgers ambae yupo kwnye xi hii ya liverpool?jibu ni HAMNA.

CONCLUSION: KLOPP SIO HAWEZI KUCHUKUA MAKOMBE BALI KIKOSI ALICHOACHIWA KLOPP KISINGEWEZA KUCHUKUA KOMBE LOLOTE.

NOTE: NIKISEMA KOMBE NA MAANISHA LIGI NA UCL.
Team mbovu kupindukia mbona kafika nayo fainal?
Hii yake tayali keshatolewa carabao na chealsea yenye kocha mpya

Tunasubiri hayo makombe
 
Wtf!! Nimekaa kimya siku mbili tatu hizi lakini kukaa kimya nashindwa asee...

Klopp tumekubali umetuaminisha taa ni mzuri kulko clyne na kutudanganya Solanke ni bora mbele ya sturidge na origi lakini unakoelekea nakudharau

Arnautovic wanini wakati unakiungo mbunifu mmoja tu shaqiri na ox ndio aieleweki atarudi mzima au marehemu!! Embu sajiri watu muhimu

Huyu Mtu ataiacha Liverpool kama alivyoiacha Dort
Hizo rumours tu mzee,relax.
 
Ishu inayoongelewa ni kua klopp hana uwezo wa kuchukua makombe.
Na ndo mana nimekukumbusha kua amechukua ligi na dortmund mara 2 mbele ya bayern.

Na kwa liverpool,klopp tum judge mwisho wa msimu huu. Sababu hamna kocha duniani angeweza kuchukua ligi na team aliyoachiwa klopp.

Klopp kaachiwa team mbovu kupindukia, na ukitaka ku prove hilo nitajie starter wa kikosi cha rodgers ambae yupo kwnye xi hii ya liverpool?jibu ni HAMNA.

CONCLUSION: KLOPP SIO HAWEZI KUCHUKUA MAKOMBE BALI KIKOSI ALICHOACHIWA KLOPP KISINGEWEZA KUCHUKUA KOMBE LOLOTE.

NOTE: NIKISEMA KOMBE NA MAANISHA LIGI NA UCL.
Punguza uzwazwa mkuu hivi unataka kutuaminisha kikosi alichoachiwa KLOPP ni dhaifu kuliko alichoachiwa RANIELLI pale LEICESTER na akabeba nacho EPL???????? kuwa serios basi maana point yako ni zaidi ya dhaifu
 
1: zwazwa ni wewe
2.ranieri hakuachiwa kikosi bali alikitengeneza mwenyewe
3.klopp hakupata transfer window alivyorithi kikosi so alikichukua na mizigo kma akina baloteli na markovic

TURUDI KWENYE UBORA WA VIKOSI:

1.MIGNOLET VS SCHMEICHEL (KASPER BILA UTATA)

2.GLEN JOHNSON VS DANNY SIMPSON (SIMPSON, Glen johson alishazeeka na ndo msimu uliofata akaenda stoke if am not mistaken)

3.MANQUILLO VS ALBRIGHTON (ALBRIGHTON)

4.LOVREN VS HUTH (LOVREN,DEBATABLE)

5.SKRTEL VS WES MORGAN (WES MORGAN,UKIBISHA KUMBUKA MABOKO YA SKRTEL NA SOTON,MANE ANATUFANYA VIBAYA SECOND HALF)

6. LUCAS LEIVA VS NGOLO KANTE ()

7.MAHREZ VS STERLING (MAHREZ,STERLING ALIKUA HANA END PRODUCT KAMA YA MAHREZ)

8.HENDERSON VS DRINKWATER (WOTE SAWA)

9.STURIDGE VS VARDY (VARDY,KUMBUKA HUYU STURIDGE ALISHAANZA KULA PANCHA SIO YULE ALIESIMAMA NA SUAREZ)

10.GERRAD VS OKAZAKI (GERRAD)

11.PHIL COUTINHO VS SCHLUPP (COUTINHO)

Haya niambie kati ya mimi na wewe nani zuzu?
 
All in all usajili muhimu bado halafu kwa nini Firmino asirudi kiungo kama Left center midfield halafu huyo dogo Origi akapiga 9 ? Dah! kumbe tunaforce 9 ya mtu ambae hana mbio wala nguvu bila sababu tu!

Mkuu unaweza amini Origi ni Mzuri lakini Kumbuka Kuwa Huwezi beba EPL na average player aina ya Origi..

Shabaha yetu kwasasa si kuwa na wachezaji aina ya Origi Bali itakuwa tunarudi Nyuma tulikotoka, Bali ni Kuwa na Zaidi ya Origi.

Kwa sababu Origi Hata Klopp aliwahi Kumtumia Kama Striker Msimu wa 2016/17 lakini alifail kuOffer kile tunachokitaka.

Kwasasa Mkuu itakuwa kituko cha Karne Origi kucheza mbele ya Front 3 yeyote yule...

Kwasasa kila tunapopoteza tunahitaji Mchezaji bora zaidi ya tuliyempoteza!!

Origi, Solanke ni wachezaji wa timu kama Westham, Soton and the likes na si Liverpool.
 
Ishu inayoongelewa ni kua klopp hana uwezo wa kuchukua makombe.
Na ndo mana nimekukumbusha kua amechukua ligi na dortmund mara 2 mbele ya bayern.

Na kwa liverpool,klopp tum judge mwisho wa msimu huu. Sababu hamna kocha duniani angeweza kuchukua ligi na team aliyoachiwa klopp.

Klopp kaachiwa team mbovu kupindukia, na ukitaka ku prove hilo nitajie starter wa kikosi cha rodgers ambae yupo kwnye xi hii ya liverpool?jibu ni HAMNA.

CONCLUSION: KLOPP SIO HAWEZI KUCHUKUA MAKOMBE BALI KIKOSI ALICHOACHIWA KLOPP KISINGEWEZA KUCHUKUA KOMBE LOLOTE.

NOTE: NIKISEMA KOMBE NA MAANISHA LIGI NA UCL.

Mkuu usiwe kama Malafyale kuQuote kisichoandikwa!!

Hapa hatujazungumzia kuwa Klopp hana uwezo wa kushinda chochote!!!!..Tulichoongelea ni Kuwa Klopp hajashinda chochote ndani ya Liverpool!!!

Na chengine tumesema kuwa Klopp ni Kocha wa Kawaida na si World Class kama watu wanavyodai.

Chengine pia ni Kwamba Kama alirithi Kikosi kibovu sasa nani wa kukitengeneza kama si yeye?

Kwahiyo Kurithi kikosi kibovu na Kushindwa kukikarabati Bali unatumia wachezaji walewale wabivu uliorithi huo ndiyo udhaifu wenyewe..

Sidhani kama kuwatumia Kina Milner, Hendo, Lovren, Lallana aliowarithi (Kikosi kibovu) tunastahiki kumtupia lawama Jamhuri Kiwelu Bali ni yeye Klopp ndiye mwenye jukumu la kukitengeneza kiwe kizuri!!
Lakini mpaka Leo mwaka 4 kashindwa kukitengeneza.
 
Mkuu unaweza amini Origi ni Mzuri lakini Kumbuka Kuwa Huwezi beba EPL na average player aina ya Origi..

Shabaha yetu kwasasa si kuwa na wachezaji aina ya Origi Bali itakuwa tunarudi Nyuma tulikotoka, Bali ni Kuwa na Zaidi ya Origi.

Kwa sababu Origi Hata Klopp aliwahi Kumtumia Kama Striker Msimu wa 2016/17 lakini alifail kuOffer kile tunachokitaka.

Kwasasa Mkuu itakuwa kituko cha Karne Origi kucheza mbele ya Front 3 yeyote yule...

Kwasasa kila tunapopoteza tunahitaji Mchezaji bora zaidi ya tuliyempoteza!!

Origi, Solanke ni wachezaji wa timu kama Westham, Soton and the likes na si Liverpool.
Kwa hiyo ni sahihi aondoke Origi ambae ni mdogo na Anartovic aingie?
Everage player alicho changia Origi na alicho changia Solanke ni sawa?
Mana hawa wote ni back up tu sio kikosi cha kwanza.
 
Mkuu sijui umenielewa?
Mbona Mimi sijacomment chochote kuhusiana na usajili wa Anatovic?
Na wala sijasema kuwa Solanke ni bora zaidi ya Origi!!!

Ninachokifahamu Mimi ni Kuwa Both Solanke and Origi si wachezaji sahihi wa Liverpool.

Wote Wawili wanapaswa kuondoka.
 
Chanzo cha post hizi ni huyo Anartovic kuja Origi anauzwa.
Sasa akili kama hizi Kloop na manegment yake wapo sa hihi?
 
Kwa upande wangu nikiangalia uwezo wa Origi Hata kama ana umri mdogo basi kuuzwa kwake hakuiathiri Liverpool kwa chochote kile kwani Ni mchezaji wa kawaida sana ambaye kwa Timu kama Liverpool si wa Kumtegemea..

Na tukiangalia uwezo binafsi basi Arnatovic ni bora kuliko Origi kwani Arnatovic anOffer mambo mengi zaidi kuliko Origi..

Najua kama Tovic ana miaka 29 lakini atakachoOffer kwa Misimu 2 tu ya umri wake ni bora kuliko atakacoOffer Origi Kwa Miaka 10.
Si kila Mahali kuwa umri unaMatter mkuu!

Ivi Kwakuwa Messi ana miaka 31 ndiyo nimchague Rashford kwenye timu kwasababu ana miaka 19 ?

Sometime inawezekana ukachukua Mchezaji mwenye miaka 33 ukamuacha mwenye 20.
 
Mnaopiga kelele kuhusu klopp kubeba makombe wakati mkijua alivyoikuta team na hadi hapa ilipofika mlitakaje?
Jiulizeni

1.Alienda pale BVB akakaa mda gani kabla hajanyanyua kwapa?
2.Alikuta kikosi gani pale BVB na alifanya nn?

Kama yeye mwnyw alisema aulizwe baada ya miaka mi3 na club imeendelea kumpa mda na kumwamini nyinyi kinawashangaza nn?
 
Kwa upande wangu nikiangalia uwezo wa Origi Hata kama ana umri mdogo basi kuuzwa kwake hakuiathiri Liverpool kwa chochote kile kwani Ni mchezaji wa kawaida sana ambaye kwa Timu kama Liverpool si wa Kumtegemea..

Na tukiangalia uwezo binafsi basi Arnatovic ni bora kuliko Origi kwani Arnatovic anOffer mambo mengi zaidi kuliko Origi..

Najua kama Tovic ana miaka 29 lakini atakachoOffer kwa Misimu 2 tu ya umri wake ni bora kuliko atakacoOffer Origi Kwa Miaka 10.
Si kila Mahali kuwa umri unaMatter mkuu!

Ivi Kwakuwa Messi ana miaka 31 ndiyo nimchague Rashford kwenye timu kwasababu ana miaka 19 ?

Sometime inawezekana ukachukua Mchezaji mwenye miaka 33 ukamuacha mwenye 20.
Kila club ina mchezaji au wachezaji hao unaowaita wa kawaida, au tuambie kikosi kisicho na mchezaji wa kawaida kwenye ligi yoyote duniani
 
Mkuu dizaini kama umekurupukia post ya Ngwaba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom