Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,897
- 11,292
Hamna anaye abudu,lkn kumponda kocha mwenye 9W na 3D toka kwa Chelsea,Man City na Arsenal ni umbumbumbu wa soka!Hahaha, mimi binafsi sijakwazika, na natamani uendelee kutukumbusha jinsi ya kusifu na kuabudu timu yetu pendwa.
Hivi vitimu vidogo vilikuwa vinaondoka na points Anfield sasa vimeisha patiwa dawa bado tunalaumu
Tukipoteza points basi ni kwa wakubwe wenzetu tena hatufingwi lkn bado tunalaumu
Tumefikia kusema sasa mwaka jana eti tulicheza vyema sana na points zetu 20 mechi 12
Ngachoka mm!
King Klopp for life,huyu kama Ferguson ataondoka akipenda
Liverpool hata wachezaji walikuwa wanaikataa,huyu Shaqir aliikataa Liverpool,Willian na wengine sababu tulikuwa hovyo sana!
Nani sasa ataikataa kuja kucheza Liverpool?
VVD au OX walisema wao kama kucheza ni kwa Klopp tu
VVD anataka kufundishwa na Klopp lkn kajamaa kapo kwake Ubungo-Maji huko mashenzini anamponda KLOPP