Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwa taarifa yako tu! Liverpool ndiyo Club pekee ya uingereza inayoshika record ya kuongoza kubeba Vikombe vingi vya EPL, ikifuatiwa na Man U, Pia Liverpool ndiyo Club inayoongoza kubeba UEFA kwa club za Uingereza.

Kutokuona Liver ikibeba kombe basi utakuwa ni mtoto wa juzi, Ila kwa taarifa tu hapo 2005 Liver ilibeba UEFA na 2006 ilibeba FA.

Kwahyo pengine umezaliwa kuanzia miaka ya 2010, sad news mwaka huu Liver inaenda kubeba EPL na UEFA.
Utabebaje wakati unapigwa na Zuwena Zveda!? Labda kama utabeba mimba! Maana matokeo ya magoli ndo hayo
 
Mentor usitafute kuvuliwa vyeo bana kwa ushabiki kama madogo wengine. Kuna troll lakini at least do your home work and photoshop things forehand. Hiyo tukio ilitokea Belgrade? Seriously huonu hata logo ya PL?
Hawapendi tu majogoo..
Sometimes u should allow this when ur rival has being afflicted accordingly
 
Lazar ameshafikia PONR
IMG-20181108-WA0000.jpeg
 
Fact ni

Fact ni kwamba Liverpool ndiyo Club inayoongoza kwa kubeba EPL mara nyingi kuliko club zote uingereza huku ikifuatiwa na Man U ya pili.

Shock news, Mwaka huu liver anabeba EPl na UEFA. Hutak kufa
toka uanze kufuatilia soka au toka uijue liverpool lini uliwahi kuishuhudia ikibeba EPL sema ukweli wako MUNGU anakuona.........mara ya mwisho kuchukua ligi kuu ya england EMMANUEL OKWI ,MBWANA SAMATTA hawajazaliwa
 
Nashukuru tu kuwa unakubali kocha anaweza badilisha formation wakati wa sub.From 4-3-3 to 4-2-3-1 tayari hiyo ni form nyingine
Nakubali kuwa formation inaendana na wachezaji lakini pia opponent anaweza force kubadili formation

So what was your genuine point on "formations are not necessary in footie?"

kama teams zingekuwa zina-switch formation, kulingana na opponent anavyocheza uwanjani, basi tungekuwa tunashuhudia formation zikibadilika kila baada ya dakika10,

understand the meaning of "tactical shape" kabla ya kung'amua formation.

again as i've explain earlier, a sub can not impact the formation, but it can if a core-player of the team is subbed on. you cant just sub off a winger kwenye 4-4-2 na kwenda kwenye 4-5-1, unless unamuingia midfielder (s), ambaye ni core master wa hiyo formation.

you dont just change formations just because opponent team inatawala, unless una player (s) capable wa hiyo formation, if not you will be forced to change the defensive shape eg, 1-2 to 2-1 or 1-4 kama alivofanya pep against us this season.
 
Sikusema hivyo
Nilisema unamtoa striker unamuingiza kiungo tena kwa tactical approach na formation inachange kwa sababu sasa kuna viungo watano katikati na kufanya iwe 4-5-1 badala ya 4-4-2, rudia soma maandishi yangu ya kwanza
 
Kwa taarifa yako tu! Liverpool ndiyo Club pekee ya uingereza inayoshika record ya kuongoza kubeba Vikombe vingi vya EPL, ikifuatiwa na Man U, Pia Liverpool ndiyo Club inayoongoza kubeba UEFA kwa club za Uingereza.

Kutokuona Liver ikibeba kombe basi utakuwa ni mtoto wa juzi, Ila kwa taarifa tu hapo 2005 Liver ilibeba UEFA na 2006 ilibeba FA.

Kwahyo pengine umezaliwa kuanzia miaka ya 2010, sad news mwaka huu Liver inaenda kubeba EPL na UEFA.
Tangu EPL ianzishwe 1992 hamjawahi kuchukua kombe, hata nafasi ya pili mmeshika mara tatu tu tangu 1992. Sasa haya majigambo yametoka wapi mkuu wa kwenye swamps?
  • Man u wanaongoza kwa mara 13
  • Chelsea mara 5
  • Arsenal mara 3
  • Man city mara 3
  • Hata Blackburn Rovers kawashinda mkuu
 
Fact ni

Fact ni kwamba Liverpool ndiyo Club inayoongoza kwa kubeba EPL mara nyingi kuliko club zote uingereza huku ikifuatiwa na Man U ya pili.

Shock news, Mwaka huu liver anabeba EPl na UEFA. Hutak kufa
Labda epl ya vigwaza,mtaendelea kuwa washiriki tu, full stop!
 
Sikusema hivyo
Nilisema unamtoa striker unamuingiza tena kwa tactical approach na formation inachange kwa sababu sasa kuna viungo watano katikati na kufanya iwe 4-5-1 badala ya 4-4-2, rudia soma maandishi yangu ya kwanza

Dude, Viungo watano katikati? how can that work and whats kinda formation is that?

maybe im too slow, can you care to explain how 5-man midfield works in football, especially kwenye hiyo 4-5-1?

4-5-1 use a V-shape style, how can a manager deploy that mandatory shape for this formation with viungo watano katikati..

4-4-2, use diamond shape, with one destoyer in the team, shape inakuwa ni 3-5-2, assuming you have sub off a LCAM in 4-4-2 na kuingiza "kiungo", here utakuwa tayari na 2 destroyers, atakaeingia anakuwa na jukumu la kusit just infront ya 4 defenders, hivyo coach lazima aende kwenye defensive shape ya 5-3-2, bila kuathiri formation.

do you understand kuwa every formation ina special "roles" kwa players?

so how 4-5-1 deploy five midfielders katikati? enlighten me man.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom