Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Cheo hicho duh
 

Kwa taarifa yako tu! Liverpool ndiyo Club pekee ya uingereza inayoshika record ya kuongoza kubeba Vikombe vingi vya EPL, ikifuatiwa na Man U, Pia Liverpool ndiyo Club inayoongoza kubeba UEFA kwa club za Uingereza.

Kutokuona Liver ikibeba kombe basi utakuwa ni mtoto wa juzi, Ila kwa taarifa tu hapo 2005 Liver ilibeba UEFA na 2006 ilibeba FA.

Kwahyo pengine umezaliwa kuanzia miaka ya 2010, sad news mwaka huu Liver inaenda kubeba EPL na UEFA.
 
Liverpool mnasikitisha sana, yani pale mbele akikamtwa mo salaha timu haipumui
 
Reporter: "Can you put your finger on what went wrong tonight?"

Jurgen Klopp: [emoji854] I only have 10 fingers
 
Unalijua EPL wewe
 
Poleni majogoo napoli atamaliza na point 7 Pia nyinyi mtamaliza na point Saba, psg 11 mtatoka kwa H2H na Napoli
 
Hahaa.. Mkuu nimechelewa ila kwa hakika maturubai mmepata. Natuma na vijana wayalete. Hapana shaka tutaomboleza pamoja na wafiwa
 
Hahaa.. Hii ya msiba kuwa postponed sijawahi isikia. Msiba msiba tu [emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…