Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Naona unaelekea kuwa sawa na kina Ollachuga Oc , eden kimario na Malafyale...
Jilindie heshima yako katika Forums za Soccer kwa kupost vitu vinavyomake sense.

Khe khe khe kheeeee wakati wa mechi nitaongea point. Sasa hivi ni mwendo wa kuwakera mpaka tutakapohamishia matanga Manchester baadaye usiku.

Halafu angalia hata source niliyoweka. Najua una machungu lakini kunitishia heshima yangu hakutosaidia mimi kukaa kimya.
 
Endelea kuchochea moto
 
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahah unajivunjia heshima yako
 
Endelea kuchochea moto

Mwisho saa 4 usiku tu haya, kuanzia hapo mutatupokea kijiti coz wote hawa waliojenga kambi hapa watahamishia Maturubali mtaani kwenu.

Mimi sitokuja mtaani kwenu lakini Malafyale ataniwakilisha huko.
 
Kwenda zako huko Liverpool tunawajua miaka yote mmekuwa joka la kibisa hamnaga sumu ya kuchukua kombe la Epl hadi kuku wanajua hilo.
 
Another Evidence ya Kuprove Kuwa Klopp anawafavor Waingereza.

• Fabinho won 9 tackles at Anfield vs Red Star Belgrade.
Lakini kucheza vibaya kwa mechi moja tu v/s Arsenal Waingereza wakamlalamikia basi Klopp kaamua kumuhukumu na kumueka juu game ya jana.

• Gini Wijnaldum, James Milner and Adam Lallana won a combined Zero tackle in the reverse fixture.
Lakini hapo hutoona Klopp kuwahukumu hao kina Gini, Lallana na Milner kwasababu Waingereza Wenye timu wamepiga kimya.
 
well said...nothing more nothing less...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…