Hahahhahahaha daaaaaahhhhhhhhhhhh😂😂😂😂😂😂😂.Habari zilizopo tutaondoka midaa ya saa nne usiku uelekeo jijini Manchester.
Watakaosafiri wajiandikishe kwa cute b.
Mnaombwa kuhakikisha hatujaacha kitu huku maana vifaa vyote vitahitajika huko.
Mkuu southern highlands tutaomba uendelee kutuazima maturubai yako.
Mkuu eden kimario yale masufuria tafadhali.
Mkuu titration tutaomba uandike historia/wasifu wa marehemu.
Mkuu Goodluck Mchika utashughulikia ulinzi tuwapo msibani
Wakuu Malafyale, mosdef, AdvocateFi kama mtakuwa na nguvu tutawaomba kwa huduma ya kulia.
Mkuu Jasho La Kuku tutaomba uratibu PA systems.
Msiba wa leo utakuwa mkuu kuliko wa jana, tunaomba tujipange vyema kupepea na kumwagia maji wafiwa.
Hahahhahahaha😂kuwa na huruma mkuu....wenzio wamefiwa kweli unawapa majukumu mengine kabla ya tatu kuisha?
Hahahhahahaha daaaaaahhhhhhhhhhhh😂😂😂😂😂😂😂.
"Unategemea urithi mshua kapata nafuu"😂😂😂
Mkuu watangazie kabisa wale washibe maana kuna uwezekano mkubwa sana mgonjwa akapona, na msiba ikawa postponed.
We are UNITED💪💪💪💪💪💪💪💪
ukisikia maiti inapiga chafya ndio leoHabari zilizopo tutaondoka midaa ya saa nne usiku uelekeo jijini Manchester.
Watakaosafiri wajiandikishe kwa cute b.
Mnaombwa kuhakikisha hatujaacha kitu huku maana vifaa vyote vitahitajika huko.
Mkuu southern highlands tutaomba uendelee kutuazima maturubai yako.
Mkuu eden kimario yale masufuria tafadhali.
Mkuu titration tutaomba uandike historia/wasifu wa marehemu.
Mkuu Goodluck Mchika utashughulikia ulinzi tuwapo msibani
Wakuu Malafyale, mosdef, AdvocateFi kama mtakuwa na nguvu tutawaomba kwa huduma ya kulia.
Mkuu Jasho La Kuku tutaomba uratibu PA systems.
Msiba wa leo utakuwa mkuu kuliko wa jana, tunaomba tujipange vyema kupepea na kumwagia maji wafiwa.
Make sure simu yako haiishi chaji.Aaa wapi leo lazima tuimbe mapambio tu.
"Tuonane paradiso.."
Habari zilizopo tutaondoka midaa ya saa nne usiku uelekeo jijini Manchester.
Watakaosafiri wajiandikishe kwa cute b.
Mnaombwa kuhakikisha hatujaacha kitu huku maana vifaa vyote vitahitajika huko.
Mkuu southern highlands tutaomba uendelee kutuazima maturubai yako.
Mkuu eden kimario yale masufuria tafadhali.
Mkuu titration tutaomba uandike historia/wasifu wa marehemu.
Mkuu Goodluck Mchika utashughulikia ulinzi tuwapo msibani
Wakuu Malafyale, mosdef, AdvocateFi kama mtakuwa na nguvu tutawaomba kwa huduma ya kulia.
Mkuu Jasho La Kuku tutaomba uratibu PA systems.
Msiba wa leo utakuwa mkuu kuliko wa jana, tunaomba tujipange vyema kupepea na kumwagia maji wafiwa.
😀 😀 😀Wapo mkuu,kina Damushin Yodoki II Darmian na The Great Emanuel ni waaminifu,hawatokula rambirambi zitawasaidia wafiwa.
Msiba mzito huu,marehemu pamoja na tambo zake za kupiga mtaa mzima leo anakufa kwa kupaliwa na wali kweli?
Huo sasa ni urozi wa waziwazi.Habari zilizopo tutaondoka midaa ya saa nne usiku uelekeo jijini Manchester.
Watakaosafiri wajiandikishe kwa cute b.
Mnaombwa kuhakikisha hatujaacha kitu huku maana vifaa vyote vitahitajika huko.
Mkuu southern highlands tutaomba uendelee kutuazima maturubai yako.
Mkuu eden kimario yale masufuria tafadhali.
Mkuu titration tutaomba uandike historia/wasifu wa marehemu.
Mkuu Goodluck Mchika utashughulikia ulinzi tuwapo msibani
Wakuu Malafyale, mosdef, AdvocateFi kama mtakuwa na nguvu tutawaomba kwa huduma ya kulia.
Mkuu Jasho La Kuku tutaomba uratibu PA systems.
Msiba wa leo utakuwa mkuu kuliko wa jana, tunaomba tujipange vyema kupepea na kumwagia maji wafiwa.
Majogoo lazima wabebe ndoo mwaka huu.Swala la muda tu,ila lazima wawili wadondokee FUTUHI.
Europa League.......... Kuanzia kesho nianze kuitazama sasa niizoee mapema kwa sababu hakuna namna tenaPoleni sana bado mna safari ndefu komaeni la sivyo mtakuja huku europa league mtakutana na wababe na mtapigwa tu na mtakufa kabisa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] pambaneniEuropa League.......... Kuanzia kesho nianze kuitazama sasa niizoee mapema kwa sababu hakuna namna tena
Habari za mchanaWe unaota ndoto za mchana rafiki yangu na labda hujui mpira ila wewe ni mshangiliaji wa mpira tu.sasa kwa kundi lipi hilo Liverpool ashindwe kufuzu au kufungwa na Napoli away ndo tatizo
Ww jamaa mdomo utakuja kukuponzaUtawafunga hao hao.
Kwa hiyo Fekir hakusajiliwa sababu ya Lalana?
Na Jana mmefungwa sababu Lalana kacheza
SahauKinachonifurahisha kwa hii thread.
Washabiki ambao team zinacheza mechi za alhamis (Europa) Hahahaha ndio wamekazania sana liver kupigwa jana.
Wanasahau kwamba mbali na madoido yao bado liver ana nafasi kubwa ya kuvuka hatua ya makundi, na zaid wanasahau kwamba katika team zao ambazo ni Oil chafu, hata huko EPL tumewaacha mbali, kiufupi hawafui dafu kwetu.
Jamani hapa tunajadili sababu za kufeli ili tufanye vyema next matches, sisi hatujazoea kufungwa ndomana mechi moja inatutoa roho.
Wacha uongo wewe hata mpira huujui labda umeanza kufuatilia janahakuna Top manager anayetumia hiyo formation kwasasa.
ni outdated, kama ilivyokuwa 4-4-2 back in 2008's
besides Klopp plays that formation to accomodate Milner/Hendo/Lallana, because Keita and Fabinho ni pivot oriented mids so 4-3-3 haiwafai hata kidogo.
and its funny because he won a lot of trophies at Dortmund akicheza na 4-2-3-1.
i understand, alipokuja LFC alikuta mids ambao siyo wazuri kwenye pivot, but then Club imenunua two pivot merchants, na wapo kwenye club kwa miezi 4 or so, na bado hatujui watacheza lini pamoja.
he reverted back to 4-2-3-1 and we scored eight goals in two games, then went back to 4-3-3 to accomodate milner and we drew against Arsenal and lost against Red star.