Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwa upande wangu msimu huu iwapo tutaendeleza kasi hiihii, na Man City & Chelshit wataendeleza kasi walizonazo mpaka mwisho Wa msimu! Basi Hata tukamate nafasi ya tatu sitolalamika kwani tumekutana na Upinzani mkali kwakweli kwenye msimu huu.
Inaitwa Chelsea sio shit
Unaona wivu kwa vile tumekushusha Mpaka ya tatu [emoji3]
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu unafurahisha sana yaani wenzio wanautamani ubingwa wa EPL we unaona kawaida tu
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] king ngwaba [emoji739] malafyale msiuane tu wote mnatamani kuiona timu yenu ikichukua EPL
 
Uko sawa malafyale
 
Uko sawa malafyale
Ubingwa mwaka huu ni teams tatu
Chelsea,Man City na Liverpool
Hamna team itakayo chukua ubingwa hata na mechi moja mkononi kama upuuzi ule wa mwaka jana!
Teams hizi 2 zimeimarika sana na tayari kabisa kum challenge City
City HANA uhakika wowote wa kutetea kiti chake
Mwaka jana mechi ya 8 tu mm nilijua City ni bingwa
Mwaka huu no way
Tunashuhudia EPL bora kabisa
 
Msimu uliopita ulituambia majogoo yanachukua ubingwa
 
WEWE HEBU TOA HIYO TAKATAKA LOSERFOOL KTK MBIO ZA UBINGWA WEKA GUNNERZ
 
Kaka malafyale naona unapambana kutetea unachokiamini. Ila honestly mm ni Liverpool fan lkn sioni epl ikiwa upande wetu mwaka huuu. Bado tuna safari ndefu sana kuutwaa ubingwa.
 
Kaka malafyale naona unapambana kutetea unachokiamini. Ila honestly mm ni Liverpool fan lkn sioni epl ikiwa upande wetu mwaka huuu. Bado tuna safari ndefu sana kuutwaa ubingwa.
Kwa sababu tumetoa sare na Man City,Chelsea na Arsenal?
Au una points zipi mkuu za kuitoa Liverpool kwenye ubingwa?
 
Wamepotea kivipi?
Mbona ndiyo takwimu zinawabeba zaidi?
Tumetoka sare na big teams tu Man City,Chelsea ugenini na Arsenal ugenini
Team ipo sawa sana,sasa tunacheza na Fulham,Watford na akina Newcastle
Hapo akina Mane watafunga tu

Msimu ulioisha hatukuwa tunahitaji kukutana na timu mbovu ndo tufunge, tulikuwa tunakiwasha popote na kwa yeyote. Bahati mbaya tulikuwa tunafunga na tunafungwa pia.

This time tatizo la kufungwa limedhibitiwa, flow ya game siyo ile tuliyokuwa nayo, ndo maana kila siku tunazungumzia winning ugly.

Winning ugly, winning ugly...
 
Kwa sababu hadi sasa hakuna wa kumzuia Manchester city mkuuu
Kwa sababu tumetoa sare na Man City,Chelsea na Arsenal?
Au una points zipi mkuu za kuitoa Liverpool kwenye ubingwa?
 
Mkuu na nyie Arsenali mnamatumaini??? hahahha
loserfool habebi kombe lolote msimu huu niamin.kwanza timu yenyewe sio pana kikosi kinachotegemewa ni kimoja tu hao walio nje huko ni ushuzi mtupu..................salah huyu sio yule wa msimu uliopita amedrop kidogo ,,,,hivyohivyo kwa mane na filminokagere...............hao walio nje ndio wale miguu ya glasi lalana,sturridge,moreno nk hao kina shaqiri na fabinho ni fropper yani hii ligi ikifika katikati ndio mtaelewa nini nazungumza
 
Nakubali mkuuu. swali ni kwamba nyie asenane mna mpango wa kubeba kombe gani???
 
Go check the archives mkuu
Mwaka jana mechi ya 11 Man City tayari bingwa kaka
Mwaka huu ni neck-neck
Mwaka jana mechi za kwanza hata Watford na Burnley walitusumbua
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…