SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
Hizo goli za penati zisikupe kiburi.
Futuhi ndio inatupa kiburi
Hizo goli za penati zisikupe kiburi.
man, huwezi compare El Fenomeno na Salah..,Haters gonna hateView attachment 909926
Salah anakosa bao za wazi sana!
Hii game ilitakiwa iwe imeisha kama Salah angekuwa wa mwaka jana
ile miamba ya Mertens na spidi ya kiIsigne vinanipaga shida sana..Hapana, ukiangalia game yetu wwlivyotukimbiza, na leo jinsi walivyowakimbiza PSG, nina wasiwasi kwamba inabidi game yetu na wao tukaze hasa.
Wana Mid nzuri, defense yao iko very calm!
Kaka hebu rudi kasome post upya alafu kama hujaielewa inamaanisha nini omba ueleweshwe please.kumaliza ubishi usio na faida, nimeiba simu ya baba.
R.I.P Bibi ya chaliifrancisco.
ila kama una hekima, huwezi mfananisha Salah na Ronaldo. "kama una hekima"
nimeisoma kwa makini sana rafiki.Kaka hebu rudi kasome post upya alafu kama hujaielewa inamaanisha nini omba ueleweshwe please.
Basi wewe umeilewa vibaya kwasababu hujataka kuisoma vizuri.nimeisoma kwa makini sana rafiki.
na nimetoka kuiona mitandaoni kwengine.
maelezo mepesi tu yanayoeleweka hivi rafiki, ukayaacha ukaamua kunijia na maneno mithili ya aloe vera kuhusu matope na akili na makalio.Basi wewe umeilewa vibaya kwasababu hujataka kuisoma vizuri.
Hiyo ni random fact ambayo pamoja na kuwa kweli Salah afikii bado kulinganishwa na De Lima lakini ukweli upo wazi kuwa
"Salah mpaka sasa amefunga magoli 14 katika Champions League sawa na aliyofunga De Lima katika Champions League, ingawa De Lima alicheza mechi 11 zaidi ya Salah kufikia idadi hiyo ya magoli"
Haya ndio maudhui ya hiyo picha wala hakuna anaemlingamisha Salah na De Lima.
Sijui kama bado hujaelewa?
Samahani mkuu.. Nafuta posts. Ili zisibaki kama ulini quote nawewe futa.maelezo mepesi tu yanayoeleweka hivi rafiki, ukayaacha ukaamua kunijia na maneno mithili ya aloe vera kuhusu matope na akili na makalio.
ahsante lakini.
nimeelewa vema zaidi.


Fabinho vs Red Star Belgrade
90% passing
2 chances created
5/5 aerial duels
9/12 tackles -
1 interception
1 shot
MOTM![]()
Hiki kijamaa kinakata umeme baraa klop anatakiwa amuamin jamaaTumepata Mchezaji Tuliyemlilia Kwa Misimu 3, Na Mchezaji Sahihi Kwa DM Since alipoondoka Mascherano.
View attachment 910022
Hapana, ukiangalia game yetu wwlivyotukimbiza, na leo jinsi walivyowakimbiza PSG, nina wasiwasi kwamba inabidi game yetu na wao tukaze hasa.
Wana Mid nzuri, defense yao iko very calm!
Naona mlima mzito kiasi bado ila si kama mlima walionao PSG,spirit hii ya timu ni nzuri,Fabinho ameonyesha kweli ni mpambanajiWale Waliotutabiria Kuwa Tunaenda Futuhi (Europa) naona Leo siwaoni.
"Attack wins you matches but defence wins you titles"our front three need to bring back the scoring mojo n really quick maana ubingwa msimu huu si wa kuukosa...wakati tuna struggle kufunga a "new"candidate kuchukua ubingwa wa EPl anakuja kwa kasi aka The Gooners...
We need to see the scoreboard with 2/3/4 goals caution sio haka kamoja ambako kakirudishwa in the dying seconds of any game we are done...
YNWA...
Naona mlima mzito kiasi bado ila si kama mlima walionao PSG,spirit hii ya timu ni nzuri,Fabinho ameonyesha kweli ni mpambanaji
"Attack wins you matches but defence wins you titles"
-sir alex fergerson
"If i have to choose between winning 6 goals in one match and winning six matches with one goal,il choose the later"