Jamani Napoli wanajua mpira aisee, inabidi wakija home tukomae nao vilivyo.
Sio kwamba PSG ni wabovu?
Leo Kuna Kitu Nimegundua hapa!! The real Captain yupo Uwanjani.
#VVD
Tatizo lako mahaba yamekuzidi Mpaka mapungufu ya team yako huyaoni mkuu
Liverpool kwa match ya juzi na hudds mnasikitisha sana mmechoka mapema namna hii
Tatizo lako una ushabiki maandazi sana jaribu siku moja moja kuwa mwana michezo Toa pongezi panapo stahiliHizo goli za penati zisikupe kiburi.


Sio kwamba PSG ni wabovu?