Keita na Hendo wanacheza same position kwani?Labda upo sawa.
Kwa wewe Keita na Hendo wewe unampanga nani?
Kocha hufanya hivyo kwamaana akimpanga Keita Gini anarudi 6 na ndo kocha huwafinyia sub kama nlivyo kuuliza.Keita na Hendo wanacheza same position kwani?
Kwa mtazamo wangu, wakicheza hao wawili, Hendo anakuwa defensive mid.
Hendo akicheza na Milner basi anacheza mbele ya Milner.
Kwa liverpool ya sasa, labda kumpanga Fabinho mbele ya Henderson ingawa ile game aliyocheza alisababisha fouls nyingi. #sijui
Kocha nguli na mwenye mafanikio Zaidi ligi kuu ya Uingereza Sir Alex Ferguson alipata kuandika kwenye kitabu chake kuwa Jordan Henderson sio mchezaji wa mpira
Kocha hufanya hivyo kwamaana akimpanga Keita Gini anarudi 6 na ndo kocha huwafinyia sub kama nlivyo kuuliza.
Kwa wewe utampanga nani?
Lengo langu acheze mmoja tu na hawajawahi kucheza wote ni jana tu baada ya Milner kuumiaKwa sasa Henderson nitamweka defensive kisha Keita na Wijnaldum wacheze mbele.
Unajihangaisha tu kumjibu mkuu!mkuu umekata tamaa mapema mno mbona hiyo foward kali ya kina aguero hawakufunga?hivi unadhani ilikuwa rahisi kumfunga kocha bora kama pep kwa mara ya 3 mfululizo?kumbuka na guardiola alipanga leo kutuua hapohapo home ground ili audhihirishie ulimwengu kuwa alifungwa na liver just by chance
Kwa maana hiyo kina Salah wamebaki kufuzifunga timu ndogo tu.Liverpool imeweza vuka salama ratiba ngumu kweli kweli!
Tunaenda International break na kurudi kucheza na HUDD,Fulham,Cardiff,Watford na Arsenal
Mechi hizi 5 akina Salah watafunga sana
Hwa watu wamecheza mechi 6 ngumu ndani ya mwezi tua very dull game... LFC vs M.City. so dreadful.
kinachotubeba tangu msimu huu uanze ni ile focus yetu tunapokuwa hatuna mpira pamoja na solidity kwenye defence.
naona front 3 yetu kweli bado haijakaa vizuri. ..poor first touch and, worse, poor final ball. but am sure soon watarejea kwenye kiwango cha msimu uliopita. hapo ndipo timu itakuwa ipo nearly 100% na sidhani kama kutakuwa na wa kutuzuia all the way.
sasa hivi performance ipo around 70% only lakini we dominated Chelsea at their own backyard (S/bridge) and we bullied a star-studded PSG...sasa imagine tukiwa 100% nani wa kutusimamisha?
Team kubwa ngapi wamezifunga?Kwa maana hiyo kina Salah wamebaki kufuzifunga timu ndogo tu.
100% mechi hizi na Cardiff tukishindwa wafunga 3-0 kuanzia ndiyo ulaumu mkuuHata Hivyo Tumepitia Kipindi Kigumu Sana From Spurs, PSG, Chelsea, Chelsea, Napoli mpaka Man City sio Kazi Ndogo.
Sisi Tunapambana Na Miamba Hiyo Huku Wenzetu Walikuwa Wakijipigia Vibonde.
Sasa na sisi Zamu yetu umefika kukipiga na Vibonde.
very true.Hwa watu wamecheza mechi 6 ngumu ndani ya mwezi tu
Kweli hivi vitimu ambavyo Arsenal anavipiga 5 vitamsumbua Liverpool?
Hizi Cardif na Hudd?
Liverpool ni team nzuri sana na mechi hizi ngumu back to back bado tunapata matokeo
Kabisa kabisavery true.
mimi sina mashaka msimu huu kwa kuwa tunacheza kikubwa zaidi - siyo ule utoto wa hii misimu 2 iliyopita!
Hakuna ata mmoja atakae fika 3 boraThese are the first nominees for the 2018 Ballon d'Or France Football!
[emoji1033]Sergio Agüero
[emoji1054]Alisson Becker
[emoji1022]Gareth Bale
[emoji632]Karim Benzema
[emoji1257]Edinson Cavani
5/30 #ballondor
It’s funny how Guardiola and Klopp have spent years coaching their respective clubs and spending 300m+ only to be level on points with Chelsea. Shows what an elite talent can bring to a club. Eden Hazard levels the playing field.
Yaani utadhani wewe hutakutana na huyo cty, kumbuka msimu uliopita alikupiga nje ndani,
Mzee baba una ichukuliaje arsenal!? hzi sio zama za wenger mzee, we kaa na kalamu na daftar karibu u note mambo ya lacazete mkamuambukize firmino afanye na yy, ule ugumu wa torreiara utapata kwa Nani pale liver msituchukulie poa timu kama PSG tangu lini ikatusumbua,. We ngoja November tukutane ndo mtatusoma kwa kichina100% mechi hizi na Cardiff tukishindwa wafunga 3-0 kuanzia ndiyo ulaumu mkuu
Liverpool alikuwa na ratiba ngumu mno ktk siku 23 tu
Team hizi alizo cheza nazo Liverpool hawa Arsenal wanaotamba kama hawajapoteza game mechi 8 anamfunga nani?
Arsenal anaweza pata point yyt kwa Man City,Chelsea,PSG,SPURS,Napoli?
Tuwe wakweli jamani,tumevuka salama kipindi kigumu sana