eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,401
Hamna team ya kutwaa ubingwa wa EPL amini usiaminiUtani wa kawaida kwenye soka!
Lkn ubingwa wa EPL mwaka huu ni Liverpool na Man City tu
How far can you go buddy!?United, Gooners and Rent boys, the only unbeaten English teams in this year's UC!!!
Naunga mkono, jamaa kwnye sub huwa anabugi sanaaaMoja kati sifa za kocha mzuri ni pamoja na kujua who and when to substitute a player , naona kwa hili Klopp bado anakosea sana. Ukiachilia mbali kutofunga pia mchango wa Salah kwenye timu ni mdogo sana .Next match vs City tutaona kama Klopp anajifunza kutokana na makosa
Wewe unataka kuifanya chai iwe Coca. Acha kulinganisha mambo kila mechi inaenda na plan yake. Nimeifunga hiyo timu dkk za mwisho ndio lakini uliangalia mchezo mzima uluvyoenda, uliangalia kikosi kilichpangwa.? Unajua game plan yake kwa kuangalia kikosi.? Wewe game yako na Napoli umeonyesha uchovu na keshindwa toka mwanzo mpaka mwisho na ndio maana tunasema Man City anaweza kukupa tabu sana.Umemfunga Zinduna ya Lithunia kwa bao la Morata dakika ya 71 NDIYO unamcheka Liverpool kufungwa na Napoli?
Give me a break aisee
Kuichukia Liverpool hii utapata sana taabu na utakonda!
Sasa kama unaiona Liverpool ni mbaya kwa kufungwa na Napoli lkn huioni Man City mbaya iliyofungwa na trash Lyon kwake?
Man City hawezi nifunga Anfield,forget about that
Hii haina shida kabisa na hakuna mtu mwenye shaka juu ya hili. Sisi tunasubiri mwezi May ndio utatoa majibu.Utani wa kawaida kwenye soka!
Lkn ubingwa wa EPL mwaka huu ni Liverpool na Man City tu
Tunashukuru kwa kuelewa ukweliHii haina shida kabisa na hakuna mtu mwenye shaka juu ya hili. Sisi tunasubiri mwezi May ndio utatoa majibu.
Mchezo mzima ndiyo nn?Wewe unataka kuifanya chai iwe Coca. Acha kulinganisha mambo kila mechi inaenda na plan yake. Nimeifunga hiyo timu dkk za mwisho ndio lakini uliangalia mchezo mzima uluvyoenda, uliangalia kikosi kilichpangwa.? Unajua game plan yake kwa kuangalia kikosi.? Wewe game yako na Napoli umeonyesha uchovu na keshindwa toka mwanzo mpaka mwisho na ndio maana tunasema Man City anaweza kukupa tabu sana.
Basi utachukua ww na Morata wakoHamna team ya kutwaa ubingwa wa EPL amini usiamini
Tukicheza na nyie tabu tukicheza na wengine tabu vilevile, kwanini hamtulii na timu yenu?:au ndio blaza nipigie? Kwako kuna sherehe lakini kutwa kucha kuhangaika na sherehe za watu, sasa hamieni man city maana kilaIzo za marudiano unaweza shinda moja tu.
#Alhamisi_inakuhusu.
Kwani wewe ndio atakuacha?Klopp ana miaka mingapi? Na Sarri ana miezi mingapi? Tusubr. Yajayo yanafurahisha. #ManCity akuachii awamu hii
Aaaah kama ndo hivyo sishangai ni series ya mahaba ya waingereza na wachezaji wao inaendelea.Kuna Mfalme Muabudiwa Wa Mji Wa Liverpool anaitwa Jordan Henderson ambaye Wenyewe Scousers Hawataki Acheze Mchezaji Yoyote Mbele Yake Yeye.
HawapitiMi mwenyewe natamani mpite halafu mtolewe next stage.
Haufuzu ata ufanyejeSiyo unatamani
Liverpool hawezi shindwa vuka kwenda playoffs stage
Na huyo atakaye tutoa round ya pili ni nani?
Umefungwa na Chelsea seuze CityKuichukia Liverpool hii utapata sana taabu na utakonda!
Sasa kama unaiona Liverpool ni mbaya kwa kufungwa na Napoli lkn huioni Man City mbaya iliyofungwa na trash Lyon kwake?
Man City hawezi nifunga Anfield,forget about that
Sisi tunamefunga zinduna ata km goli moja na wewe imekuaje huko?Mchezo mzima ndiyo nn?
Tunahesabu matokeo sio pasi na chenga kaka
Zinduna kweli ndiyo wakusubiri hadi dakika ya 71?Yule Zinduna?Tena kwako?
Acha utani mkuu hauna team bado
Yule Anfield anapigwa 8-0,mechi inaisha dakika ya 20 tu
Hii Liverpool Ya Salah?Utani wa kawaida kwenye soka!
Lkn ubingwa wa EPL mwaka huu ni Liverpool na Man City tu
Mnashinda njaa mkuu?j2 tunashinda mbele ya man city tena! ...3+ points
Angewaanzisha akina sturrgeno panicking fellow Reds.
kwenye group stage msimu uliopita hata R Madrid alikung'utwa 3-1 na Spurs. sote tunajua kilichotokea come May 2018.
after all, tupo nafasi ya 2 kwenye group letu.
ninahisi Klopp aliwa instruct vijana wake wa conserve energy kwa ajili ya Sunday showdown vs Man City. criticism yangu kwake ni kufanya substitution very late and incorrectly bila kuzingatia flow ya game.
am sure na yeye hili atakuwa ameliona.