mashabiki wa arsenal, Chelsea na man u wana furaha kuliko wewe, wewe haujawai kuona Liverpool imebeba ubingwa wa ligi kuu live labda you tube, Maisha yako yote ya kuishangilia Liverpool yamkini umeona Liverpool ikibeba kombe 2006 na vi Fa kadhaa havizidi 3,carling sijui 1 sikumbuki lini maana team yenu yah makumbusho. Povu ruksa.Mashabiki wa Arsenal, Chelsea na Man U wamefunguliwa midomo leo ajabu, yaani utazani michuano imeisha jana wakati ndo kwaaaanza ligi imechanganya na kuna marudiano, acheni uzwazwa komaeni na vitimu vyenu ambavyo mnapambana kuvikwamua kutoka kwenye matope
Hahahaha This is OctoberNdiyo soka,Napoli walikuwa wazuri sana uwanjani zaidi yetu
Tumefungwa pia bao dakika za mwisho sana
Hakukuwa na muda wa ku respond
Tunarudi nyumbani Anfield kwa mechi ya Jumapili
WE WILL BOUNCE BACK
Uyo mwarabu mabeki wameshamjulia kitambo tu ..msimu huu sidhan kama atafikisha hata goli kumi.Hiki ndo kiwango cha salah last season ilikuw suprise package
Izo za marudiano unaweza shinda moja tu.Ni mapema mno kusema Liverpool ni wasindikizaji, at least sio katika group stage
Bado mechi nne, moja ya kukamilisha mzunguko na tatu za marudiano.
Hahaha lazima wale maneno yao..Nyie haya makombe ya mbuzi si size yenu. Komaeni na makombe ya wakubwa wenzenu. The so called MICKEY MOUSE CUP are ain't on your level anymore.
Better not even think about that big fella.
Wasiwasi wako tu kumsema marehemu si vizuri tusubir 40 zipite mwili bado haujaoza.Mashabiki wa Arsenal, Chelsea na Man U wamefunguliwa midomo leo ajabu, yaani utazani michuano imeisha jana wakati ndo kwaaaanza ligi imechanganya na kuna marudiano, acheni uzwazwa komaeni na vitimu vyenu ambavyo mnapambana kuvikwamua kutoka kwenye matope
Salah ni aina ya wachezaji wanaotamba msimu mmoja tu,Mimi nilivyoiangalia hii game almost kipindi cha pili chote sikuwa na shaka na haya matokeo, jamaa wamecheza kwa nia ya kutafuta ushindi.
Then kingine jamaa mbona Salah amekuwa mtu wa kupoteza mipira hivi ? Mpira ukiwa kwake hauna matumaini ya kubaki kwetu lazima watauchukua tu maadui .
Povu ruksa.
Leo mtasema timu mbovu
Kesho mkishinda timu yetu imekamilika hamtuwezi
Tukutane Anfield Tar 7
Khe khe khe khe khe khe khe khe khe [emoji1787] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Umeua bendi timu ikifunga imekamilika ikifungwa mbovu. Khe khe khe khe [emoji1787] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sijawahi ona timu yenye mashabiki wa kinafiki kama hii.
Hahaha unajaribu kufananisha kufungwa kwa Madrid na wewe kufungwa jana?no panicking fellow Reds.
kwenye group stage msimu uliopita hata R Madrid alikung'utwa 3-1 na Spurs. sote tunajua kilichotokea come May 2018.
after all, tupo nafasi ya 2 kwenye group letu.
ninahisi Klopp aliwa instruct vijana wake wa conserve energy kwa ajili ya Sunday showdown vs Man City. criticism yangu kwake ni kufanya substitution very late and incorrectly bila kuzingatia flow ya game.
am sure na yeye hili atakuwa ameliona.
Hapa umegonga poiti.......ligi kuu currently ni ya Chelsea na man city...wanabadilishana since 2012 Hadi leomashabiki wa arsenal, Chelsea na man u wana furaha kuliko wewe, wewe haujawai kuona Liverpool imebeba ubingwa wa ligi kuu live labda you tube, Maisha yako yote ya kuishangilia Liverpool yamkini umeona Liverpool ikibeba kombe 2006 na vi Fa kadhaa havizidi 3,carling sijui 1 sikumbuki lini maana team yenu yah makumbusho. Povu ruksa.
Nashindwa kuelewa mbona ligi ya EPL ni ligi bora zaidi kwanini UEFA timu hizi zinasuasua
Nashindwa kuelewa mbona ligi ya EPL ni ligi bora zaidi kwanini UEFA timu hizi zinasuasua
Mkuu samahani huo ubora zaidi wa EPL unatoka wapi? Na unaupimaje?Nashindwa kuelewa mbona ligi ya EPL ni ligi bora zaidi kwanini UEFA timu hizi zinasuasua