Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
vipo viashilia kwamba bila Hazard akiwa kwenye kiwango cha juu ushindi kwenu hua hafifu vile vile hao washambuliaji uliowasema ndio chagua la kwanza la kocha kwa sasa na kazi yao kuu ni kuleta magoli na kunyakua poiniti 3 sasa wasipo perfom kwa kutumia vyema nafasi wanazopata za kufunga magoli unadhani ushindi unapatikana aje...Kwa iyo mkuu Salah, Mane na Firmino wasipo pafom furesh kama unavyotaka wewe, timu haiwezi kushinda?
Sasa wasipokuwepo kabisa itakuwaje?
Yes your right.!vipo viashilia kwamba bila Hazard akiwa kwenye kiwango cha juu ushindi kwenu hua hafifu vile vile hao washambuliaji uliowasema ndio chagua la kwanza la kocha kwa sasa na kazi yao kuu ni kuleta magoli na kunyakua poiniti 3 sasa wasipo perfom kwa kutumia vyema nafasi wanazopata za kufunga magoli unadhani ushindi unapatikana aje...
bila Salah uwanjani tumempiga PSG na kutoa draw Chelsink hivyo ushindi hauwategemei wao muda wote unavyosema...
Huyu atatimkia Madrid soon.
Wakifika bei zaidi ya C10 na yeye akaonyesha nia ya kuodoka na klabu ikaona kumuuza ni maslahi zaidi ya kuliko kumbakisha nae atauzwa tu...hongereni kwa kumbakisha Hazard ni moja kati ya wachezaji wanaosisimua EPL..Huyu atatimkia Madrid soon.
Liverpool kamili dakika ya 45 anamaliza game Anfield
Kaka ule moto pale mbele utakuwa umeisha changanya kwa 100%
Mechi ya marudiano ANFIELD mmeisha poteza
vipo viashilia kwamba bila Hazard akiwa kwenye kiwango cha juu ushindi kwenu hua hafifu vile vile hao washambuliaji uliowasema ndio chagua la kwanza la kocha kwa sasa na kazi yao kuu ni kuleta magoli na kunyakua poiniti 3 sasa wasipo perfom kwa kutumia vyema nafasi wanazopata za kufunga magoli unadhani ushindi unapatikana aje...
bila Salah uwanjani tumempiga PSG na kutoa draw Chelsink hivyo ushindi hauwategemei wao muda wote unavyosema...
VVD atawapa taabu sana...hata hivyo hachezi peke yake hivyo kama akiwa uwanjani hatupotezi mechi ni kazi kwa timu nzima uwanjani na si yeye peke yake...Vipi na nyie bila VVD timu inabugizwa ngapi vile
Chelsea ana record ya kumnyanyasa Liverpool anfield zaidi a darajani. soma stats
Hii wakiona wanaruka Kama hawaoni vile.
Ahsante kwa kuwakumbusha mkuuNawakumbusha tu ..mzee Sarri ana mwezi mmoja tu EPL ..wakati Klopp ana misimu mitatu complete ( miaka mitano). Na huu ni msimu wa nne (mwaka wa Sita)
#TutaheshimianaTu.....
Mliyoyakana mnaanza kuyatapika wenyewe. Kila siku mnasema Chelsea ni timu ndogo kwenu. Iweje Leo iwe timu ngumu kwenu? Na kufanya mechi kuwa ngumu?Ni kweli Keita ana problem ya Consistency lakini Kumuanzisha Hendo katika Mechi Ngumu Kama Ya Leo na Kumueka Benchi Keita niseme Wazi Kuwa Klopp anatudisappoint.
Keita Anadrive Mipira vizuri Na Kuichezesha Foward Line Huku yeye Mwenyewe Akiwa na Uwezo Wa Kudribble Na Kuingia Ndani Ya Box.
SIYO Liverpool hii ya VVD na ya golini AllsonChelsea ana record ya kumnyanyasa Liverpool anfield zaidi a darajani. soma stats
SIYO Liverpool hii ya VVD na ya golini Allson
Pale EPL na CL hatoki mtu
Haa haa! Kwa hiyo Liverpool ni VVD and Allson! poleni sana na kazi mnayo kweli kweliSIYO Liverpool hii ya VVD na ya golini Allson
Pale EPL na CL hatoki mtu
AlhadjView attachment 853295
Mnamkumbuka huyu mdomo mrefu?
Maneno meengiii lakini vitendo zero!
Ama kweli tuliishiwa sana miaka ile.
Hii Ndiyo Sifa Ya Mtu Kuwa Captain!!!! [emoji123] [emoji109]
Virgil van Dijk declares that any Liverpool players unhappy with Jurgen Klopp’s ruthless rotation policy can leave.