Utazani aliagizwa na mganga yani vina fanana tofauti la carabao liligonga mwamba.Naomba mwenye video ya shoot alilopiga sturridge kama lile la jana kwenye carrabao cup likagonga mwamba.
Hivi hazard unamchukuliaje mkuu,hawezekani klopp apange kikosi kisicho zui wachezaji wanao casuse more problems, hazard huwa anazunguka uwanja mzimaeti[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu Eden Kimario ........... Nasubiri post yako ya mechi ya jana ......... Chelsea walipiga pass mia ngapi ????? ......... Jorginho pia akuweka record nyingine ya pass kweli.Mpaka wakati huo tutakaporudiana hata chelsea itakuwa imeimarika zaidi na umiliki wa mpira kwa kiwango cha juu mbele ya team kubwa
Dah! Umemtusi mama yako aisee, kisa mpira, mamako mwenyewe sijui hata anajua habari za mpira, kwahiyo mamako ana mtindio wa ubongo?Yes, your right!
Kwa sababu wewe ndio mama yangu.
Naomba mwenye video ya shoot alilopiga sturridge kama lile la jana kwenye carrabao cup likagonga mwamba.
Maajabu huwa hayaishiKibaya kwa liverpool? [emoji23]
Unaongea nini wewe,umeanza kuangalia mpira leo?Mmepata ujasiri wa kujitokeza baada ya suluhu.
Klopp bila aibu ameshindwa kutamba mbele ya Sarri wakati yeye ana uzoefu na EPL.
mi sio mchambuzi sana wa kikosi ila nikahisi leo Milner hakuwa katika form bora kwamba mpira umemkataa, lakini nilikuwa namuona uwanjani ila huyo Handerson sikuwa namuona uwanjani akifight kabisa na nikawa napaona kati pamepwaya, kumbe ishu haikuwa kwa Milner bali huyo jamaa aliyotufanya mechi ionekane ngumu wakati PSG aliweza kusimamishwa kwa ustadi mzuri kabisa ambayo PSG huwezi kuifananisha na takataka hiyo ya chelshit...!!!
Sure, mpaka nikahisi ni kirusiLink inazungua
Kuna yule mtu atakwambia kocha anajua zaidi
Wenzetu huko hawamtaki Mou
Mk
Mkuu Eden Kimario ........... Nasubiri post yako ya mechi ya jana ......... Chelsea walipiga pass mia ngapi ????? ......... Jorginho pia akuweka record nyingine ya pass kweli.
unataka kuniambia pressure kutoka nje inaweza kumpangia kocha cha kufanya mkuu?Ni Kweli Kocha Anajua Zaidi Kuliko sisi..
Lakini Wakati Mwengene Makocha Wanasababu Tofauti Ya Kuwapanga Wachezaji.
1) Mapenzi binafsi
2) Pressure kutoka Kwa Wadau
3) Kukosea Kupanga Kikosi
Sasa Kuhusu Henderson Mimi Naamini Anampaka Kutokana na Pressure anayoipata Kutoka Kwa Wadau Wa Kiingereza na Top Reds.
hahahahahaJoginho Jana Alikumbana na Mziki Wa Gini na Milner alizurura tu Uwanjani Kama Mchezaji Wa Ndondo..
Tokea Jana Nazunguka Kwenye Uzi Wa Chelsea Kuvizia Zile Stats Zake Wanazoziweka Kila Mchezo za Pasi 180 naona Wamezitokomeza Porini.
HahahahahahahahahahahahahahahahaJoginho Jana Alikumbana na Mziki Wa Gini na Milner alizurura tu Uwanjani Kama Mchezaji Wa Ndondo..
Tokea Jana Nazunguka Kwenye Uzi Wa Chelsea Kuvizia Zile Stats Zake Wanazoziweka Kila Mchezo za Pasi 180 naona Wamezitokomeza Porini.
Anazurula na nakunyoosha mikono wezie anacho nishangaza mido gani inajificha badala ya kufungua na kutawanya mipira?Mkuu PSG imebeba Jina Kwenye Ushambuliaji tu Coz wapo Neymar, Cavani, Mbappe na Di Maria.
Lakini Kwenye Kiungo Ni Wepesi Sana Kina Rabiot na Ndiyomana Hendo Alikuwa anatamba.
Tofauti na Chelsea Kwenye Kiungo ilikuwa imara Kiasi Ya Kwamba Hendo aliishia Kuwa Mzururaji tu.
Anamharibia sana team anavumilia tu Keita alisha anza kujiamini kwenye ile nafasi kumueka bench ni kama kumvuruga kiakili.Ni Kweli Kocha Anajua Zaidi Kuliko sisi..
Lakini Wakati Mwengene Makocha Wanasababu Tofauti Ya Kuwapanga Wachezaji.
1) Mapenzi binafsi
2) Pressure kutoka Kwa Wadau
3) Kukosea Kupanga Kikosi
Sasa Kuhusu Henderson Mimi Naamini Anampaka Kutokana na Pressure anayoipata Kutoka Kwa Wadau Wa Kiingereza na Top Reds.
Gini jana nazani ndo alieng`ara nimependa sana anavyo zibit mpiraJoginho Jana Alikumbana na Mziki Wa Gini na Milner alizurura tu Uwanjani Kama Mchezaji Wa Ndondo..
Tokea Jana Nazunguka Kwenye Uzi Wa Chelsea Kuvizia Zile Stats Zake Wanazoziweka Kila Mchezo za Pasi 180 naona Wamezitokomeza Porini.
Nilikuambia Ukitaka kupata sare darajani umiliki mpira na ukafanya hivyo Hongera pia kwa hiloMk
Mkuu Eden Kimario ........... Nasubiri post yako ya mechi ya jana ......... Chelsea walipiga pass mia ngapi ????? ......... Jorginho pia akuweka record nyingine ya pass kweli.
unataka kuniambia pressure kutoka nje inaweza kumpangia kocha cha kufanya mkuu?