Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kabisa mkuu.
Yaani jana gemu ile tungekuwa makini kwenye umaliziaji, basi tulikuwa tunaizika since first half!


Salah na Mane wanazingua, ili kuirudisha Liverpool hadhi yake inabidi usajili uendelee kufanyika. Hivi sasa Salah anawaste chance kama Lukaku au Martial tu! Sio yule tuliemuona mwishoni mwa msimu uliopita!

Hiyo jana Chelsea walimuwezea Mane aisee, and that proved kuwa Chelsea wana beki na kiungo cha kueleweka. All in all Forward zetu wamekalia magoli, tunastahili kunet in more
 

Hata Hivyo Salah Jana Kaonesha Some improvement ukilinganisha na Michezo iliyopita this season...

Alichokosa Kwa sasa Ni Finishing tu bado ana tatizo kwenye hili.
 
Dah mbona mkuu unajaribu kuaibisha timu yako?

Kwa iyo jana Klopp hakupanga fest XI tena?

VVD, Gomez, Milner, Firmino, Salah, Mane, Allison, nk... Hao ni thed XI au!!!!!!

Kwamba mlocheza below your level..! Level yenu ni ipi mkuu????

Acha kuchekesha watu bana.
 
Kapanga first 11 kwako na hujashinda!
Angepanga akina Minyoo golini ungeshinda'
Huna uwezo wa kumfunga Liverpool kamili na majigambo yako bure kabisa
 
Salah anaanza kuwa saafi
Aendelee kupangwa tu,mechi baada ya Man City tutacheza na Hudd,Fulham,Cardiff
Atarudisha confo zake kwa hizo mechi
Tuna team nzuri sana,tuombee tu majeruhi wasiwepo
Salah.Mane,Shaqiri na Boby walikuwa wanaua ile mechi mapema tu
 
mkuu level ya liverpool pale mbele bado hawajachanganya ipasavyo wanacheza chini ya kiwango na hilo wewe umeliona japo utabisha..
ishu sio first eleven mbali ni ile perfomance ya mchezaji mmoja...Salah kwa mfano ule moto wa msimu uliopita bado hajauwasha nwa bado mapema ndio kwanza mechi zinaanza kuchanganya...
 
Kapanga first 11 kwako na hujashinda!
Angepanga akina Minyoo golini ungeshinda'
Huna uwezo wa kumfunga Liverpool kamili na majigambo yako bure kabisa
Hata jana tungepanga kile kikosi cha Carabao...

Sijui mngeshindia wapi.
 
Mkuu Nakuomba Kitu Kimoja! ili kubalance hii post Yako unaweza Ukanicalculetia Kuwa imemchukua Muda gani Kwa Sturridge Kufunga goli?
Nakujibu. Nadhani ilimchukua kama dakika mbili.

Narudi kwenye post yangu. Mlisema aliwafunga kina Moreno, hawezi kuwafunga kina VVD, Gomez na Allison. That is according to my post.
 
Ndiyo nilikuwa Nataka Nimuoneshe Yeye Kuwa Si kila anachokikuta Insta au Twitter achukue tu!
Kwani Kama anajisifia Kuwa Hazard ilimchukua dakika 25 kufunga goli, Sturridge yeye imemchukua dakika 2 tu Kufunga...
Ielewe post yangu ilichomaanisha. Hatukuwahi kumdharau sturridge wala timu yenu hatukuwahi kuidharau. Ila nyie ndio mlikua mnatubeza sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…