Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,816
- 33,487
50-50 kivipi mpira ulikuwa unaangalia au umesimuliwa? kaangalie match statistics liverpool kamzidi chelsea karibu kila kitu,basi tu mpira na bahati ina play part liver leo hakuwa na bahati kivileDean05. Kitu unachotakiwa kutwmbua kwenye mpira ni kwamba mpira ubadilika kila sekunde kila dakika. Kipindi Cha kwanza Chelsea wamecheza vizuri wakapata goli la kuongoza. Kipindi Cha pili liver wamecheza vizuri atimaye wamesawazisha. So kwangu Mimi husiseme sariball haijafanikiwa....ndani ya dakika tisini 90 uwanjani huwa Kuna kushinda ama kudrow ama kuloose pia.
Sisi Chelsea fans ndiyo tungesema mmeshindwa kufunga Kama mlivyokuwa mnasema Leo ni Leo mnaenda kushinda zaidi ya magoli 3....lakini mmeona kilichotokea.
Kwangu Mimi nachukulia Kama
Chelsea vs Liverpool ni 50 50 hakuna mbabe. Tusubiri next game.
nilisema watakimbia kimya kimya..Huu ndiyo Ulimbukeni Wa Washabiki Wa Chelsea! Mambo Yakiwaendea Kombo Huwaoni hapa.
mkuu kwani nyie si mlisema hatuchomoki hata na draw sasa mmechemka na Hazad akiwa fire bado tu mnaona sisis ndio tumebahatika...Si ndio mkuu hawa leo wamepata ka haueni kidogo.
Sasa tutaheshimiana, maana walisema kwa hii Sarriball wangetupiga tano.
Two games walichoambulia ni point moja tu ..tena ya tundu la sindano..
Top scorer wenu Mo Michu hakucheza Leo?hawa chelsea hawana mpira wowote ni kukimbia kimbia tu ovyo na hazard wao, strikers zetu zingekua makini tungetoka na points 3 zote.
tuliwazidi kila idara umaliziaji ndio ulikua tatizo. ila gini na milner wanapiga mpira mkubwa sana
Au kwa lugha nyingine unaweza kusema Mo Michu hakuwa na bahati kama msimu uliopita50-50 kivipi mpira ulikuwa unaangalia au umesimuliwa? kaangalie match statistics liverpool kamzidi chelsea karibu kila kitu,basi tu mpira na bahati ina play part liver leo hakuwa na bahati kivile
1-1 kaka
sasa kama viungo wa Chelsea ni bora sana mbona 1-1 tena kwao kaka?
Daniel Sturidge underrated, magoli yake machache lakini so clinical tangu akicheza na Suarez 2012
Ni striker wa kawaida but we have to applaud him for what he did yesterday. Kilichotucost jana ni kwamba Forward zetu jana zimeharibu sana nafasi za magoli zilizotengenezwa kiasi kwamba nao wamekuwa kama yeye tu; mfano Salah kwa kipindi hiki jinsi anavyowaste chances almost equal ya huyo Sturridge, Mane nae sikuona alichokifanya labda labda Firmino ambae hajaharibu chjances lakini ametucost sababu ya uzito wake kukimbia