Mane, milner, Henderson, Keita, wanacheza kikosi Cha pili?Umekifunga kikosi cha pili, especially backline yote haikuwa na match fitness. Jumamosi ndiyo shughuli itakuwa shughuli pale darajani kwenu.
Get prepared ndugu yangu
Umechanganya Mafile nahisi, Curtis ni Midfielder/ Wide-forward wakati Matip ni Centreback[/QUO
aaaa thanks nitafuatilia yupo ndogo mmoja under23 nimemchanganya na Jones...
Mane, milner, Henderson, Keita, wanacheza kikosi Cha pili?
yaani Moreno ni janga pengine hata Markovic angebadilishwa namba acheze left back angecheza vizuri kuliko Moreno, jana ndio alikua weak link ya timu..Kikosi kina Moreno .Mignolet unategemea nini hapo
subiri mlichukue kombe lenyewe ndio urudi hapa na majigambo ndugu...Mi mtu akisema liverpool anashinda ubingwa huwa namuangalia sana kama yupo timamu kocha mwaka wa nne hata carabao hawezi kupigania kocha wa chelsea kaja juzi tu anakufumua liverpool mnajivunia mpira wa spidi basi makombe hapa msahau
Moyes ametoa mtazamo wake kwa jinsi anavyoiona Liverpool....
Haina wachezaji wa kuchukua ubingwa.
Mi sio chelsea mzee timu yangu ipo hovyo sana manchester united ila kwa nyie upande wa ubingwa na klopp kidogo inafikirisha rekod zake hazipo vizur japo mnacheza soka la kuvutia sana lakin mkipata mpinzani makini mtafumuliwa.subiri mlichukue kombe lenyewe ndio urudi hapa na majigambo ndugu...
Moyes huyu huyu asie na timu kwa sasa....not credible info na pia maoni yake...Moyes ametoa mtazamo wake kwa jinsi anavyoiona Liverpool....
Haina wachezaji wa kuchukua ubingwa.
pole sana ndugu Traford kuna upepo umewakomalia hausomeki utawaachia lini all the best mrudi kwenye kiwango..Mi sio chelsea mzee timu yangu ipo hovyo sana manchester united ila kwa nyie upande wa ubingwa na klopp kidogo inafikirisha rekod zake hazipo vizur japo mnacheza soka la kuvutia sana lakin mkipata mpinzani makini mtafumuliwa sana
Pole mkuu. Ila uache majigambo wewe pamoja na rafiki yako malafyale. Mpira huwa ni dakika tisini 90.
Nawashangaa visingizio vingMoreno na Mignolet! Mbona hujasemea kikosi cha Chelsea kuwa na Cabarello, Cahill, Christensen, Emerson, Moses, Barkley, Fabrigas?