Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Naona Leo Xhaqiri anapiga Mido!

Confirmed Line Up: Alisson, Alexander-Arnold, Matip, Van Dijk, Robertson, Wijnaldum, Henderson, Shaqiri, Mane, Salah, Firmino.

Subs: Mignolet, Fabinho, Milner, Keita, Gomez, Sturridge, Moreno.
 
Hii Ni 4-2-3-1 kweli????

IMG_20180922_161326.jpg
 
Sijapendeza kwa Matip kuanza!
Combo ya Gomez na VVD ni nzuri sana sio vyema kuibadirisha na huyu Matip na Lovren sasa wawe wanacheza FA na Catabao cups tu!
Sijapenda kwa kweli,Milner kupumzika is OK
 
Homes anaanza bench. Dogo yuko strong sana na pair yake na VVD haina mshindani.
All in all we wish them lucky.
 
Naona Leo Xhaqiri anapiga Mido!

Confirmed Line Up: Alisson, Alexander-Arnold, Matip, Van Dijk, Robertson, Wijnaldum, Henderson, Shaqiri, Mane, Salah, Firmino.

Subs: Mignolet, Fabinho, Milner, Keita, Gomez, Sturridge, Moreno.
Hivi Origi ndo hafai kabisa hata benchi?

Alitufaa sana kabla ya kuumizwa
 
Sijapendeza kwa Matip kuanza!
Combo ya Gomez na VVD ni nzuri sana sio vyema kuibadirisha na huyu Matip na Lovren sasa wawe wanacheza FA na Catabao cups tu!
Sijapenda kwa kweli,Milner kupumzika is OK
Ana mrefresh ngoja asimtumie saaana akachoka mapema keshakua mtu muhimu tayar
 
Sijapendeza kwa Matip kuanza!
Combo ya Gomez na VVD ni nzuri sana sio vyema kuibadirisha na huyu Matip na Lovren sasa wawe wanacheza FA na Catabao cups tu!
Sijapenda kwa kweli,Milner kupumzika is OK

Hizi Rotation ndiyo Chanzo Cha Kututoa Katika Mstari
 
Rotation zina umuhimu wake jamani tusiwe tunalalamika tu. Wakicheza hao hao kila siku hao wengine watapaje fitness na tuna mashindano mengi??
 
Hivi Origi ndo hafai kabisa hata benchi?

Alitufaa sana kabla ya kuumizwa

Sio Hafai Hata Bench! Ni Kwamba Tuna Striker 3 (Bobby, Sturridge na Origi)..
Mmoja Kati yao Anaanza Na Mwengine Anakaa Bench..
Hawezi Kuanza Mmoja na Wawili Wakakaa Benchi.
Kwahiyo Kaanza Bobby, Sturridge yupo Bench... Origi hatokuwa na Nfasi tena kwenye Bench.
 
Msimu uliopita rotation zilitusaidia sana January japo tulikuwa na kikosi kidogo
 
Rotation zina umuhimu wake jamani tusiwe tunalalamika tu. Wakicheza hao hao kila siku hao wengine watapaje fitness na tuna mashindano mengi??

Kuna FA na Carabao huko Wanaweza Kupata Match Fitness, Si Lazima wapate Kwenye EPL.
 
Msimu uliopita rotation zilitusaidia sana January japo tulikuwa na kikosi kidogo

Kaangalie Matokeo Yetu ya EPL ya December na January halafu utafsiri Kuwa Rotation ilitusaidia au ilituCost.

Ujue Kama Sisi Tunapokomaa na Rotation, Wenzetu Wanaingiza Full Mtiti kwa Kila Game huko Kutofuta Points 3
 
Hata Hivyo Kikosi Sio Kibaya Sana Kulingana na Uzito Wa Mechi ya Leo..
Naamini 3 points Tunaweza Kuzipata.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom