Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Jana nilikuwa nasoma article ya one of the soccer pundits in UK
Amewalaumu sana ManCity fans kwa kutojaza uwanja na kutoshangilia (turning it up) during European nights na akaonyesha jinsi uwanja ulivyokuwa haukujaa kabisa na washabiki wamepooza walipocheza mechi na Lyon.
Akamalizia kwa kusema wajifunze jinsi european nights zinavokuwa special pale OT na Anfield