Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Soma vizuri point ya kwanza ina majibu yako.

1) CHELSEA ain't got history but they are making history for the next generation WHILE liverpool are comfortable with their outdated history

Brand Ya Liverpool Si Suala La Kihistoria Bali Ni Suala La Wakati Huu! Jifunze Kufahamu.
 
Wakati huu mmeshafanya kitu gani mpaka sasa.?
 
7 DIFFERENCES BETWEEN CHELSEA AND LIVERPOOL

1) CHELSEA ain't got history but they are making history for the next generation WHILE liverpool are comfortable with their outdated history

2) CHELSEA wants to reach Real Madrid's level WHILE liverpool feels they are Real Madrid's level when they are actually Real sociedad's level

3) CHELSEA looks forward to the future WHILE liverpool looks backward to the history

4)CHELSEA'S FEW trophies put together worth millions of pounds WHILE liverpool's PLENTY trophies put together worth tens of dollars

5) At CHELSEA Hazard's one goal a season wins trophy WHILE at liverpool salah's 100 goals a season win nothing

6) At CHELSEA they sack their manager because of second position cos it's not permitted WHILE at liverpool they celebrate second position as trophy

7) CHELSEA fans will like this post cos it's a fact WHILE liverpool fans will hate this post cos it's a bitter truth

I saw it somewhere
Umeipost hii kule kwenye uzi wenu umeona hakuna mtu hata mmoja aliechangia kwsbb wote wameona ni pointless ukaona uje utafute comments huku, ok get your comments
 
Wewe hujaelewa. Unajiona tayari umeshafika level ya Real Madrid while mimi nahangaikia kufika level hiyo. Nacheza Futuhi na kina Samatta ndiyo inanisaidia kuweka rekodi zangu na atleast mimi sijikwezi kuliko wewe ambaye umefananishwa na Real Sociedads.
wewe ni kichaa huwezi kuhangaika kumfikia real madrid kwa kucheza futuhi lini umeona madrid akicheza futuhi? eti nimefananishwa na real sociedads, haya na mimi nakufananisha na club brugge
 
Dah! Wewe Ni Mwepesi Wa Kufikiria Kwelikweli!! Mimi sijawahi lifikiria Jibu Kama hili.

• Chelsea anacheza Futuhi, Halafu Mshabiki Wake anawaza Kufika Level Ya Real Madrid ambaye hajawahi Kumuona Akicheza Futuhi.

• Liverpool Kacheza Fainali na Real Last Season (atasema historian), Lakini Pia Mara Hii (sio historian) Liverpool Anacheza Michuoni Ya CL pamoja na Real Madrid, Basi Mshabiki Wa Chelsea anasema Liverpool ipo Level Moja na Real sociedad.

Lakini Nina Wasiwasi Huyu Mshabiki Yeye Anaishi Mwaka 2020 ndiyomana Liverpool inayocheza CL 2018 anaona Ni Historia.
 
hii game naweza kuiona kupitia compyuta? Maana nshazoea kuangalia game kupitia mobdro

Unaweza Kuiona Sana tu Kupitia Computer! Lakini Kutafuta Hiyo Link Sahihi Ya Kustream Ndiyo Shuhuli.. Itakubidi Ugoogle Mpaka Upate Link.
Mimi Mwenzio Nakomaa na Mobdro tu Kiaina na Bando langu la Halotel la Chuo.
 
Dah! Wewe Ni Mwepesi Wa Kufikiria Kwelikweli!! Mimi sijawahi lifikiria Jibu Kama hili.

• Chelsea anacheza Futuhi, Halafu Mshabiki Wake anawaza Kufika Level Ya Real Madrid ambaye hajawahi Kumuona Akicheza Futuhi.

• Liverpool Kacheza Fainali na Real Last Season (atasema historian), Lakini Pia Mara Hii (sio historian) Liverpool Anacheza Michuoni Ya CL pamoja na Real Madrid, Basi Mshabiki Wa Chelsea anasema Liverpool ipo Level Moja na Real sociedad.

Lakini Nina Wasiwasi Huyu Mshabiki Yeye Anaishi Mwaka 2020 ndiyomana Liverpool inayocheza CL 2018 anaona Ni Historia.

FUTUHI - Huu msamiati ulitokea wapi?
 
Wewe hujaelewa. Unajiona tayari umeshafika level ya Real Madrid while mimi nahangaikia kufika level hiyo. Nacheza Futuhi na kina Samatta ndiyo inanisaidia kuweka rekodi zangu na atleast mimi sijikwezi kuliko wewe ambaye umefananishwa na Real Sociedads.

Hivi wewe umeshavuuka Above 18 years kwezi? isijekuwa tunachati na Juvenile hapa!!!!

√ Chelsea Tokea ianziwe Kama Club ya Chandimu Mwaka 1905 sasahivi ina Miaka 113 imetwaa CL Moja tu.

Sasa Kwa Miaka 113 imebeba CL 1 wakati Real Madrid ana CL 13.

Kwahiyo iwapo Kila baada ya Mika 113 unabeba CL moja, unahitaji Mika 113 × 13 = 1469 Kufika Level Ya Real Madrid ya Makombe 13 huku Yeye Asibebe Chochote Katika Miaka Hiyo (Haitowezekana).

• Sasa wewe unaehitaji Miaka 1.4K kufikia Level ya Real bado unawaza level hiyo?

Hebu Kwanza Fikia Level Ya Young Boys ya Kucheza Champion League na Uwachane la Level za Kina Mbwana Samata za Kacheza Futuhi Ndiyo Hapo uwaze angalau Level za Kuifikia Real Madrid B.

NOTE:

• Chelsea imeanzishwa 1905 kama Club ya Chandimu.

• Na Mwaka 2004 ikaanzishwa Kama Club ya Football.
 
Naanza kupata mashaka na uchambuzi wako. Kama kuchambua ni kulingana na miaka timu ilipoanzishwa nyie iliwachukua muda gani kuja kuchukua CL na mmekaa miaka mingapi mtakuja kuchukua tena.

Ni heri ungenihesabia kwa kutumia kigezo cha misimu ambayo nimeshiriki CL na siyo miaka ambayo timu imeanzishwa. Chambua upya.
 
Nimemcheki yule dogo Cornet wa Lyon juzi na nimependa sana uchezaji wake.

Lyon wana talents nyingi sana.

Academy yao ni nzuri na ipo well structured kuliko ya LFC.

ukiachana na Fekir pamoja na Cornet, kuna talents ambazo ningeweza kuzichukua bila hata kujiuliza mara mbili;

Tanguy Ndombele, Auoar, Ferland Mendy and even Tousart,

i'd take Depay too.
 
wewe ni kichaa huwezi kuhangaika kumfikia real madrid kwa kucheza futuhi lini umeona madrid akicheza futuhi? eti nimefananishwa na real sociedads, haya na mimi nakufananisha na club brugge
Yan hii timu ina mashabiki wenye vichwa vizito kama maturubai ya jeshi.

Nimetoa mfano Real kwa maana nahangaika niweke rekodi kwa angalau kila msimu nitoke na kakombe walau kamoja. Na siyo kukaa kihasara hasara kama nyie.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom