MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
Lucas Brazilian,??? skirtel ????
Lucas hajawahi kuwa CB brother.
Peak and Young Skrtel alikuwa ni "good" CB, but he wasnt better than Daniel Agger or even Jamie Callagher.
Lucas Brazilian,??? skirtel ????
2 na 4 nilikuwa nawaelewa sana
Mkuu niliona kama umetususa kwa siku kadhaa uwepo wako ni wa muhimu aisee kuna vitu adimu unaviachia huku vinatupa hamasa sana.My Top FIVE Liverpool Centre-backs of all time.
1. Alan Hansen
2. Sami Hyppia
3. Virgil Van Djik
4. Daniel Agger
5. Stephane Henchoz
Alipata kiburi na mafanikio ya last season akakacha kusajili, acha yamkute. Always naamini katika kusajili kila dirisha kubwa ili kuongeza quality na suala lingine kwa mtazamo wangu strikers wa Man City (Aguero na Gabriel) ni strikers wa kawaida (sio cream natural) , huwezi kutishia club kubwa duniani eti nina Aguero/Jesus. Kuna Club zina strikers sio wa kubahatisha; Man Utd wana Rashford Bayern wana Lewandowski, Barca wana Suarez, PSG wana Cavani, Tottenham wana Kane, Atletico wana Diego Costa n.k
I agree with you that VVD is the best defender so far in EPL if not Europe!My Top FIVE Liverpool Centre-backs of all time.
1. Alan Hansen
2. Sami Hyppia
3. Virgil Van Djik
4. Daniel Agger
5. Stephane Henchoz
Mkuu niliona kama umetususa kwa siku kadhaa uwepo wako ni wa muhimu aisee kuna vitu adimu unaviachia huku vinatupa hamasa sana.
I agree with you that VVD is the best defender so far in EPL if not Europe!
Even in the last game LFC v/s PSG, Stastically VVD was quickest player on the pitch with speed of 32.4km/h kwa upande wa Liverpool aliwazidi Salah, Mane na Sturridge/ Fimihno na kwa upande wa PSG alimzidi Kylian Mbappe na Neymar!
VVD yupo sharp aisee!
aliyefuatia kwa mwendokasi ni Robertson (32km/h), Mbappe (32km/h), Neymar (31km/h), Gomez (30.8km/h)
Bila VVD Liverpool defence is crap!
Thanks a lot for sharing hizi details mdau mwenzangu wa Melwood.Thank you Chief.
Liverpool ni very interesting Club, na kizuri ni kuwa ukubwa wa Club yetu unafanya tuwe na mengi ya kuzungumza.
Thanks a lot for sharing hizi details mdau mwenzangu wa Melwood.
Kwa kuongezea
LFC is more than a football club.
It’s a tradition
And for the folks living in the city of Liverpool, LFC is an institution that has a profound influence and impact to the aspects of their daily lives
LFC ni more than Family, ni utamaduni ambao huleta karibu watu wa pande zote duniani.
Utamaduni huu, ulianza tangu Club inaanzishwa, despite mabadiliko makubwa ya uendeshaji wa Clubs duniani, LFC ilibaki na utamaduni ule ule, na kuto-kukubali kuhama katika misingi yake, na ndiyo maana kuna kipindi tuliyumba sana na kufikia kiasi ambacho tungeweza kuitupilia mbali misingi ya CLUB ili kuendana na mpira wa kisasa, but tulistick na misingi ile ile na tumekomaa na kuweza kurudi tena tukiwa na misingi ile ile. na hiki kitu ndiyo kinachotofautisha LFC na Clubs nyingine duniani.
Sounds like a music to me, mkuu!
The credit should go to the great Bill Shankly without forgetting others who had contributed immensely to this great club I.e. Bob Paisley, Fagan and Daglish
Sounds like a music to me, mkuu!
The credit should go to the great Bill Shankly without forgetting others who had contributed immensely to this great club I.e. Bob Paisley, Fagan and Daglish
hapa kwenye hizi picha klopp na mbappe kuna agenda gani maana sielewi zimekua zikitrend sana online!
naona km kuna kitu mbappe kapewa na klopp!!!View attachment 873274View attachment 873275View attachment 873277
Ukiachana na wenzetu Utd na Arsenal, you cant find Legends kama hawa kwenye Clubs nyingine.
Bill Shankly ametengeneza precedents nyingi sana kwenye soccer la ulaya na dunia nzima kwa ujumla, ame-ispire generation kwa generation, ndiye aliyefanya mashabiki wa LFC kuwa na unique passion kuhusiana na Club.
he built a dynasty na Legends waliofatia wakaipokea na kuiendeleza katika misingi ile ile ambayo imeifanya Club iweze kujizatiti katika tamaduni ya kipekee iliyokusanya true and passionate fans.
View attachment 873307
Well understood mate! but again is there any message in that piece of paper in which KM received from JK? if the answear is YES! what was that message? or it is private issue?its widely known now, Mbappe alikuwa anakaribia kuja Anfield wakati yupo Monaco.
Klopp himself spoke to him na akafanikiwa kumconvince kuja LFC, but at the end of the day FSG failed to match Monaco asking price (well. its FSG so hakuna suprise).
they maintained a very good relationship mpaka leo.
Baada ya Daglish kuondoka nashindwa kuelewa kulitokea ujinga gani wa kutuletea utitiri wa makocha ovyo up until kiduchu Gerrard Houlier, Benitez and now Klopp
Akina Souness na Roy Evans siwakubali hata kidogo
Well understood mate! but again is there any message in that piece of paper in which KM received from JK? if the answear is YES! what was that message? or it is private issue?