kweli mkuu. apart from ile pasi iliyozaa goli la PSG, Salah alicheza game nzuri. 7/10 i will rate him - which is not bad.MO Salah ana umuhimu sana kila mechi coz team nzima inamchungulia yeye tu, team haiendi mbele kwa kumuogopa mtu mmoja MO Salah [emoji12]
Hongereni kwa ushindi
-kwa bahati mbaya anayenambia nijifunze kuujua mpira hajanambia ni kigezo gani kinaifanya team iitwe kubwa?
mkuu hata kiswahili kwako ni tabuDuh hii wiki hatutoongea asee
-kwa mala ya kwanza liver ameifunga timu kubwa duniani.
mzee wa futuhi, msalimie NtuzuNice one, hongereni.
hahaha!Hii Hongera inatoka Moyoni kweli?
Kitendo cha Salah kutupa chupa nimeshindwa kukitafsiri kama alikuwa anashangilia au ni hasira za Firmino kufunga wakati yeye kashindwa.
Ila facial expression yake ilikuwa siyo ya furaha kabisa, naomba isiwe sawa na ninavyowaza.
Mkuu hakuwa Negative, Alikuwa Positive...
Hule Ni Mdadi tu Kushangiria.
Mkuu hakuwa Negative, Alikuwa Positive...
Hule Ni Mdadi tu Kushangiria.
Kumbe nilitakiwa niandike mara na sio mala?mkuu hata kiswahili kwako ni tabu
yeahKumbe nilitakiwa niandike mara na sio mala?
sawa mkuu.yeah
kweli mkuu. apart from ile pasi iliyozaa goli la PSG, Salah alicheza game nzuri. 7/10 i will rate him - which is not bad.
am a bit puzzled watu wako concerned na form ya Salah msimu huu. wamesahau kuwa hata msimu uliopita alianza kwa kusuasua hivi hivi. alikuwa ana miss sitters within the box and from even 6 yard off!
kama mmeangalia vizuri msimu huu anakuwa very tightly marked na opposition - and for obvious reasons of course.
lakini pamoja na kuwa marked hivyo bado katika 6 games amefunga 2 goals. last season wakati hakabwi sana alikuwa na 3 goals for the same number of games.
Salah will come good.... am pretty sure of that.
the beauty of it all ni kwamba we're winning difficult games this season while we're not even on the second gear.
sasa hivi tunabebwa na defensive resilience na blend nzuri ya "ujihadi" & "ufundi" pale katikati ya dimba. sasa, imagine Salah & co watakapoanza kufanya vitu vyao, nani wa kutuzuia treble ya EPL, UCL & FA?
food for thought for Gareth Southgate - nenda kampigie magoti Milner walau aisaidie England kwenye Euro. kwa sasa i can dare say Millie is the best English midfielder!
what else to say? am over the moon after last night!!
Liverpool na uhakika kwenye ECL mtaishia raundi ya pili, .. Hii Liver sio ya kufika mbali jana ni bahati tu imewatembelea....Hii Hongera inatoka Moyoni kweli?
Ebu toa hongera ya dhati na siyo iyo ya kinyongeNice one, hongereni.
Liverpool na uhakika kwenye ECL mtaishia raundi ya pili, .. Hii Liver sio ya kufika mbali jana ni bahati tu imewatembelea....
Nipo Kiongozi...Mambo yalikua mengi!!It's our seasonlong time no see