olakuya
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 337
- 446
Tuliza wenge jamaa....kwa hiyo unataka kuomba u'monitor !?
Ntakutoa kweny huu uzi.
Tuliza wenge jamaa....kwa hiyo unataka kuomba u'monitor !?
Torres hujamtendea haki mkuu, kwa miongo miwili hatujawahi kuwa na world class player level ya Torres akiwa Liverpool.
El nino alikuwa mnoma sana kipindi chake mkuu.Point yangu ilikuwa ni style ya uchezaji wa timu kocha anayotaka.Klopp hapendelei sana uchezaji wa mshambuliaji kuwa focal point(natural no.9) ambayo ndiyo Torres aliscore sana kwakucheza hiyo role.Ndomana nikapendekeza kama kocha ni Klopp basi i would HARDLY opt for Firmino over Tores.Mind the capital letter.
Miongo miwili who was our best striker ni debatable but to me its Diaz.His 82 goals in 133 appearances makes him the all time top scorer for liverpool in terms of goals to match ratio.
Pia during Suarez career at liverpool most of the players were just average.Cou was still growing while our fantastic was not at his peak.Lakini jamaa aliweza kufunga magoli yote hayo.Imagine angekuwa na Masch,Alonso na Fit Gerrad nyuma yake.Angefunga hata 100 aisee.I mean goal to match ratio ingekuwa zaidi ya moja.
....anza kutoa wenge ulilokuja nalo ndo unitoe mimiTuliza wenge jamaa

This is a joke man. Mchezaji anaweza kumzidi thamani Mane pale Chelshit labda ni Hazard pekee..Mane bado hajafikia thamani ya mchezaji yeyote wa Chelsea.![]()
Miaka miwili badae Mane na Ampadu wataweza kununuliwa/uzwa kwa bei moja.![]()
![]()
Nimemsoma juzi. Ila nilishindwa ku judge asee. Sawa EPL ni muhimu kwetu lakini "bora kukosa hata Carabao au FA au EUROPA lakini angalau gap na Man City liwe point 5 na sio 20"John Barnes: I would rather see the gap to Pep Guardiola’s men close than the team pick up a minor trophy.
“I was at Aston Villa and Gerard Houllier was the manager,” he remembers. “We had had a falling out and I had been bombed out of the side and told to train with the youth team.
“Then in the January [2011], Kenny Dalglish wanted to sign me on loan with a view to a permanent deal. I wanted to go, but whether I am right or wrong, I always felt [Houllier] made it very difficult for me to go back to Liverpool, almost like there was a jealousy that I was getting the chance and he wasn’t. It was like he got one over on me.
“That was one of my biggest regrets in football. I would have taken a pay-cut to go there, but my agent at the time never relayed that fact to Liverpool. He was just in it for himself.
Nimemsoma juzi. Ila nilishindwa ku judge asee. Sawa EPL ni muhimu kwetu lakini "bora kukosa hata Carabao au FA au EUROPA lakini angalau gap na Man City liwe point 5 na sio 20"
May be ana maana yake. Ni kitu tunaweza debate humu leo.
naah!!John Barnes: I would rather see the gap to Pep Guardiola’s men close than the team pick up a minor trophy.
Nipo Oklahoma City MkuuHahhhahahhahahahahaha
Suarez chuma cha pua kutoka Anfield
Anyway, Umereside ndani ya nchi gani ya latin America mkuu
Yupo alikataa kwenda Belgium kucheza sababu ya mshaharaHivi Lazar Markovic ameondoka? Sijamsikia muda
Under 23??Yupo alikataa kwenda Belgium kucheza sababu ya mshahara
Klopp nae kamtengeneza hajaweka jina lake kucheza EPL wala mashindano yyt yale
Jana kapelekwa kucheza na under 23
BR alimnunua mapesa kibao huyu mchezaji daaah
Talent yote ile, kuna tatizo lolote na management?Kudai kuwa hiyo ndiyo sababu Fabinho hajacheza ni kituko hasa!Jurgen Klopp demands that every one of his new signings speaks English, because it is "essential for the team."
Naturally this is a given for any English signings, but the Liverpoolboss has made this a demand for all foreign players too.
According to reports, it was one of the first things Klopp drilled into Alberto Moreno shortly after becoming Reds boss.
It has also been claimed that it is the very same reason as to why Fabinho has yet to feature in a Reds game so far this season.