Think every manager in the world would pick 2008/09 Torres over Firmino,
Torres was at his peak msimu ule, he was so complete.
and Torres and Firminp wote wana same style of play, ni kama Benzema, Young Lewandowski, Van Persie, Suarez, Kane etc, hawa ni strikers ambao wanaweza kucheza eneo lolote upront and wanapenda sana kucreate chances for others and so good at pressing and also wana very good foot work. hawa STs ukimpa Klopp wote atawachukua.
Torres na Firmino wanafanana kwa mambo mengi sana, but Torres was more clincal infront of goal, he was more matured and complete than Firmino.
Torres behind SG, Salah and Mane ingekuwa ni deadly, in 2008.09. apart from SG, he had Kuyt and Benayoun ambao nao pia walikuwa wanamtegemea SG kuwatengezenea nafasi mara kwa mara, and Benitez ni coach anayelimit sana mashambulizi kwasababu anapenda zaidi kuzuia. but Peak Torres angecheza kipindi cha BR (attacking MG) and Klopp, angekuwa na records nyingi sana kwenye his locker.
kwangu mimi, Torres ni the best ST to ever played for LFC,