Kuna tetesi za Pavard huyu wa France kuja Liverpool ni bora aje tu binafsi sijawahi kumuelewa Trent kabisaa
Waingereza hao achana naoHaha wasikusikie wenye Trent wao.
Kumbe sipo peke angu asee huyu chalii simwelewiKuna tetesi za Pavard huyu wa France kuja Liverpool ni bora aje tu binafsi sijawahi kumuelewa Trent kabisaa
Huyu ndie aliempa rashford magoli mawili that match ot kama mnakumbuka msimu uliopitaKumbe sipo peke angu asee huyu chalii simwelewi
Kwa soko lipi mkuu?
Huyu ndie aliempa rashford magoli mawili that match ot kama mnakumbuka msimu uliopita
Mane bado hajafikia thamani ya mchezaji yeyote wa Chelsea.Mane ana thamani ndogo lakini si Kwa Willian.. Bei ya Mane unanunua Willian Watatu na Giroud mmoja.

Mane nje ya uwanja thamani yake bado ni ndogo sana.....Coutinho aliuzwa mil 140, beki bora sokoni anauzwa mil 75, Mane anafuatia kwa mabao baada ya Salah na baada ya mechi nne za ufunguzi anaongoza kwa magoli na ni mchezaji bora wa mwezi. Bado hana thamani !?
Kuna watu wanamfananisha na Azp. Tuacheni ushabiki maandazi jamani.Kumbe sipo peke angu asee huyu chalii simwelewi
.....basi sawa tutamuuza kwa thamani ya ndani ya uwanja !Mane nje ya uwanja thamani yake bado ni ndogo sana.
Hili jukaaa watu wanapiga soga sana .
Mbna majukwaa yetu yemetulia hatuna presha
Ila huku kwa majiran full kelele.
GGMU
Tukutane may 2019.Man Utd unampigia nani kelele? Ukiongea watu wanakuona kichaa tu wanaachana na wewe.
Halafu angalia huku mmejaa wageni, Chelsea, Man Utd na Arsenal.
Tukutane may 2019.
kelele zitakua zimeisha.
Shuwaini
Hili jukaaa watu wanapiga soga sana .
Mbna majukwaa yetu yemetulia hatuna presha
Ila huku kwa majiran full kelele.
GGMU
Napita kuangalia kwa majiran kunaendeleaje
....kwa hiyo unataka kuomba u'monitor !?Hili jukaaa watu wanapiga soga sana .
Mbna majukwaa yetu yemetulia hatuna presha
Ila huku kwa majiran full kelele.
GGMU