Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wakuu fabinho ni kiraka niliangalia game ya brazil na USA alichezeshwa RB
 
Dah totenhum wanatakiwa wapangiwe kikosi nondo kuliko kitakacho cheza na PSG maana naamin PSG sio tishio kama Walivyo TOTENHUM
 
Lucas Paqueta the kid is sensational but i don't think kama liverpool wata bid considering his realese clause halafu his experience in europe and how liverpool transfer activities are being done these days under Michael Edwards

what is his Release Clause bro?
 
Nimeona kua lloris na dele hawatokuwepo kweny hyo game xo kaz imepungua kwa gomez
 
Kama umemuangalia Klopp recently, tempo ya game yetu ina slow. Na anafanya maksud ili kupunguza fatigue kwa wachezaji.
Do u blieve that Mwl ndio huwa anashusha tempo au our opponents wanatusoma our style of play tu ivyo kila opponent ajae anajua aje vipi?
 
Hendo asianze maana Dembele huwa anamficha sanaa so aanze keita na MILNER na GINI

Mbele mane,salah,boby

Nyuma TAA,VIRGIL,GOMEZ,ROBO

Hiko ndo kikosi kilichoanza game tatu za mwanzo, game ya mwisho ndo alianza Hendo.

Nadhani atarudi benchi tena, tunaendelea kuwa wavumilivu kwa Fabinho, hope hii September kuna games atacheza.
 
Jack Robinson gonna be our goalkeeping coach??????
Ha ha ha ha ha! I Can smell the end of John Achterberg...
This man coached David de Gea & Edwin van der Sar alipokuwa Manure.
Best news I've heard in all Fvcking Decade....
Tatizo anaanza kuwa chini ya John kwanza naye asije akaharibiwa

Akiondoka MosDef atafanya sherehe
 
Hahaha, mkuu wakati mwingine jukwaa kama hili linanoga kwa kukumbushana na kujadili issue kama hizo, umemtaja Heskey nikamkubuka Titi Camara, jamaa wa visigino.

Spurs wananipa wasiwasi sana, hasa nikiangalia tulivyoyumba kwenye Mid game 2 za mwisho, na Fabinho ndo sijamwona akitia maguu.

Kesho kuna press, nina hamu ya kumsikia Klopp.
Mkuu nafikiri Big games zetu tunabadilika sana regardless performance yetu ya wakati husika.

Ki ukweli kwa spurs mechi hii ni ngumu sio nyepesi kama tufikiriavyo
 
Suarez was better than Torres. Yule angekuwa mtulivu akapata kocha kama Jurgen tungekuwa hatari sana. Yule ni fighter. Nina uhakika Suarez angebaki Liverpool tukajenga the team around him angebeba Balon d or. He was a beast.
Suarez ndiyo namba ONE mtu wa mbele kama yy lkn collectively hawa watatu wanacheza kitimu zaidi
Torres hata NUSU hafiki kwa Suarez,hata nusu
 
Suarez ndiyo namba ONE mtu wa mbele kama yy lkn collectively hawa watatu wanacheza kitimu zaidi
Torres hata NUSU hafiki kwa Suarez,hata nusu

Suarez atakuwa Bora hasa ukiangalia kuwa Yeye Kadumu Kwenye Best Performance Kwa Muda Mrefu tofauti na Torres ambaye hasa alikuwa on Fire Kwa One Season tu (2008/09)..

Lakini Wote Walikuwa Wanauwezo Wa Kutupatia Ushindi From Nowhere.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom