Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sadio Mane anaweza kunet-in magoli zaidi ya ishirini EPL kama akiendelea na makali haya!

Lei 0 vs Liv 1 dakika ya tisa
 
Na ni kweli umeprove we jamaa kuwa huwa hauuchukulii mpira seriously
haha sasa mkuu ukiwa siriyasi kwenye kila sekta utapata tabu sana.[emoji12] [emoji12]

Unatakiwa usiwe siriyasi sana.

Kama jinsi ambavyo Klopp hatokuwa siriyasi na game ya leo.

Nina imani Leicester city hawatotuangusha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kuiona tu lineup yetu ya leo nikaahirisha na kuicheki game yenyewe ingawa niliitamani sana. Makocha na wachezaji wetu vichwa vyao ndio vinatupa ukame wa mataji pale Anfield

Hivi Hujui Kuwa Ratiba Ya CL tayari imeshatoka?
Basi Mambo Kama Haya Ya Rotation Ndiyo Yameshaanza Na Uyategemee Sana tu.
Usijeshangaa Mechi ijayo Mane na Salah Wanaaniza Benchi.
 
Priority yetu ni UCLna EPL tu
Kama unaijua history ya Liverpool toka 1970s utaelewa hilo
Hizo Carabao na FA tunawaachia nyie
Iyo priyority yenu ndo itafanya mkose kila kitu msimu huu na misimu inayofuata.

Timu yenu bado haina uwezo kwnye izo trophies. Kama una amin mna uwezo basi mtaendelea kushiriki tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
it's early doors yes...but our legend looks a real deal as a manager.

miaka 5 ijayo baada ya Klopp kutuletea 3 EPL & 1 UCL trophies, SG8 aje achukue mikoba yake na kui "Zinedine Zidane" UCL!!
Hahaha una ota ndoto za mchana mkuu. Siamin kama Liverpool watabeba kombe lolote miaka ya hivi karibuni.

Huyu Klopp ataondoka hapo anfield bila kubeba kombe lolote, labda aje KloppJr[emoji3] [emoji3] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…