Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Kuna siku nilimwona kazungukwa na washabiki mpaka nikajiuliza swala la usalama wake likoje?
Benfica ndio kitu gani sasa
to be th super best you got to beat th best...in Klopp we trust..Tupo Group C
Group C
🇫🇷 Paris
🇮🇹 Napoli
🏴 Liverpool
🇷🇸 Crvena zvezda
#UCLdraw
Watu wa mkeka tunaliita Chama hili"Jeshi" linanipa pesa nyingi Kwenye mkeka lakini CL ni maji marefu sana4.Red Star Belgrade
Mabingwa wa zamani wa CL
King Ngwaba naona safari yako ile ya makundi. Napoli amekwisha pita hapo labda mpambane kumtoa PSG kama mtashindwa basi kwaherini.
PSG
Napoli
Narudia tena kama liverpool wanategemea kupita kwa mgongo wa Napoli basi wasahau 16 bora msimu huu.Hakuna timu from Serie A ya kuifunga Liverpool msimu huu
King Ngwaba naona safari yako ile ya makundi. Napoli amekwisha pita hapo labda mpambane kumtoa PSG kama mtashindwa basi kwaherini.
PSG
Napoli
Narudia tena kama liverpool wanategemea kupita kwa mgongo wa Napoli basi wasahau 16 bora msimu huu.