MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
Henderson Ni Mchezaji Mwenye Backup Kubwa than any other scouser.. That is why Hata kwenye game vs BHA Echo wamemrate higher Hendo Kuliko Mane, Keita na TAA.. Wamemrate 7 sawa na AB13, Robo, VVD, Milliy, Bobby, Gomez na Salah.
Hii wanaonesha ingawa Muda aloingia Ni mdogo lakini Kwa Mtanzamo wao he Dido more work Kuliko aliowakuta Uwanjani.
So, Kumdrop Huyu kunahitaji technique zaidi Kuliko Muda... One technique that I see in my eyes now practiced by Klopp Ni Kumfanya Squad player as a Backup Mid jambo ambalo litamfanya awe Frustrated na Kumuondoshea Confidence...
Then hapo atakuwa totally a Benchwarmer..
ratings za Echo huwa sizitilii maanani kabisa Aisee, wale jamaa wako biased na wana agenda sana..
i agree kuhusu kumfanya squad player, but kwasasa kina Doyle wamekaa kimya kwasababu wanajua wakiongea Klopp anaweza akasema Henderson hakuwa na pre season ndiyo maana anatokea bench kwenye hizi games za awali, lakini i guarantee you baada ya games tano tutaanza kusikia makelele ya kina Doyle na interview za Henderson zisizoisha.
this is why Klopp anajaribu kumpa muda Fabinho, ili akiingia kwenye first XI kusiwe na room ya kumdrop, because akim-rush na akafanya mistake au kuwa na game mbaya, the Echo, top reds, brexit lads watakuja na Henderson's propaganda za kutosha, kila siku kutakuwa na article mpya za kuaminisha watu kuwa Fabinho is not better than Henderson na hatakiwi kuanza.
Henderson anatakiwa kuondoshwa moja kwa moja kwa Club, na muda ukifika atajiondoa mwenyewe tu, reports zinasema kuwa Klopp promised VVD the captaincy but mpaka sasa bado hajampa, hii yote ni kwasababu Klopp anajua akimvua Hendo ucaptain now kutakuwa na backlash kubwa sana kwenye media, na hii inaweza ikasababisha morali ya team kushuka hasa kwenye dressing room.