Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Joe Gomez's game by numbers vs. Brighton:

√ 114 touches
√ 104 passes
√ 88.5% pass accuracy
√ 7 aerial duels won
√ 5 clearances
√ 0 fouls conceded
√ 0 goals conceded
 
Georginio Wijnaldum misplaced just one pass against Brighton:

• 98.7% accuracy
• 76 attempted
• 75 completed
 
Kwakweli Distribution ya Alisson Ni quality na sina wasiwasi anaposimama golini lakini dah Apunguze Kujiamini sana anapochezea Mpira mguuni, Sometimes Overconfidence inaweza kuzaa Problem Kwani EPL kuna Strikers Kama Harry Kane, Vardy na Aguero wanakuwa Karibu na Kipa Kuvizia Mistakes tu zitokee.

Kuna incidences 2 jana kama ni strikers wazuri tungelia jana.

Nina uhakika makocha wata address hiyo kitu, na kwa kikosi kinavyozungumzwa sasa hivi watu wanaangalia makosa ambayo yanajirudia.

Hope mchezo ule wa kukaa na mpira wa kurudishiwa ataacha.
 
Klopp amesisitiza Kuwa Hatokurupuka tu Kumuingiza Fabinho uwanjani mpaka pale atakapoendana Kikamiligu na Mfumo Wa Liverpool Wa Uchezaji.

“It is about players understanding the position & who else is available as well, otherwise Fabinho would have been involved in the squad as he was in the first week. That is it"

Alifanya hivyo kwa ox na robertson

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kuna incidences 2 jana kama ni strikers wazuri tungelia jana.

Nina uhakika makocha wata address hiyo kitu, na kwa kikosi kinavyozungumzwa sasa hivi watu wanaangalia makosa ambayo yanajirudia.

Hope mchezo ule wa kukaa na mpira wa kurudishiwa ataacha.

Kuna hile moja naweza sema Sema Ni Kosa la VVD alimrudishia Mpira ukiwa Hakuwa na Nguvu za Kumfika Moja Kwa moja huku Alisson akiwa yupo Karibu na Opponent player.

Ni Kweli sasahivi tayari Mastrikers wanamwangalia jinsi Style Yake ya Uchezaji na mistakes anazoweza kufanya.

Lakini Naamini Atajirwkebisha Kwani Washabiki Wameshalizungumza sana Katika Mitandao kwahiyo atayaona tu yanayozungumzwa kuhusu Yeye.
 
To Be Honest Kwa Mechi Ya Jana Basi ilikuwa Ni uhakika Kwa 100% Kuwa Ni Mechi ya Draw Kwa Msimu uliopita! Nani anabisha?

Kwahiyo Alisson Jana Katupa Points 2 za kutunusuru na Draw walizokuwa wakitupa Karius na Mignolet.
 
Kwakweli Distribution ya Alisson Ni quality na sina wasiwasi anaposimama golini lakini dah Apunguze Kujiamini sana anapochezea Mpira mguuni, Sometimes Overconfidence inaweza kuzaa Problem Kwani EPL kuna Strikers Kama Harry Kane, Vardy na Aguero wanakuwa Karibu na Kipa Kuvizia Mistakes tu zitokee.
Wabrazil Wabrazil tuu, Hivi huko Brasil kuna football academies?? Jamaa wako soo natural kwenye kuujua ufundi wa mpira, waiting for Fabinho kuonyesha skills zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumemaliza August vyema tu! Lakini Wakuu tujiandae Kipindi cha September sio Siri tuna Ratiba Ngumu Sana Kwa Mechi zote 4.

√ 1 – Leicester City (A)
√ 15 – Tottenham Hotspur (A)
√ 22 – Southampton (H)
√ 29 – Chelsea (A)
Hao wote wanaiogopa Liverpool. Wanaujua mziki wetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu habari za siku nyingi sana, mimi ni Gwamahala yule wa miaka dahari toka 2009 hapa JF, but kuna sababu zilizo nje ya uwezo wangu nilishindwa ku access account ndipo leo nimeamua kufungua hii mpya kwa kuongeza neno Jr mbele ya jina langu.

Nafurahi sana kuona LFC tupo vizuri sana msimu huu, I hope moto tuliouwasha tutaendelea nao hivi hivi.
YNWA!
 
To Be Honest Kwa Mechi Ya Jana Basi ilikuwa Ni uhakika Kwa 100% Kuwa Ni Mechi ya Draw Kwa Msimu uliopita! Nani anabisha?

Kwahiyo Alisson Jana Katupa Points 2 za kutunusuru na Draw walizokuwa wakitupa Karius na Mignolet.

Hii ni kweli tupu...
 
Kuna hile moja naweza sema Sema Ni Kosa la VVD alimrudishia Mpira ukiwa Hakuwa na Nguvu za Kumfika Moja Kwa moja huku Alisson akiwa yupo Karibu na Opponent player.

Ni Kweli sasahivi tayari Mastrikers wanamwangalia jinsi Style Yake ya Uchezaji na mistakes anazoweza kufanya.

Lakini Naamini Atajirwkebisha Kwani Washabiki Wameshalizungumza sana Katika Mitandao kwahiyo atayaona tu yanayozungumzwa kuhusu Yeye.
Van dijk anamchezesha sana allison.., inabidi apunguze kidogo
 
Alisson Becker vows to carry on dribbling – as Liverpool boss Jurgen Klopp issues warning

“I try my best to help the team in the build-up,” said Alisson. “If sometimes there is a situation where there is dribbling, I do it carefully.

“It could be too risky, but it's part of the game, we are a team that plays from the back with the ball on the ground.

“That's part of the team's characteristics. Mistakes may happen, but we work hard during the week to everything correctly during the matches.”
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom