Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wacha Niangalie What will happen Kwa Hizi Set-pieces zetu baada ya Uteuzi Wa Specialist throw in coach Thomas Gronnemark
 
Kwa Markovic alikuwa sawa, the kid had huge potential sema baada ya blunder za Rogers akaanza badilisha wachezaji namba.

Markovic alitoka kwenye CAM mpaka wingback kwenye tenure ya rogers na dogo ndo akapotea kabisa ila kama Rogers had been patient basi dogo angekuwa vizuri saaaana

agree 100% kuhusu Markovic huge potential, i was a big fan pia...

but kwa upande wa biashara, Markovic ni hasara kwa LFC, we invested 20m, na siyo kwamba alitokea Academy.

Rodgers is to blame kwa kuharibu career ya Markovic, but again
Kwa Markovic alikuwa sawa, the kid had huge potential sema baada ya blunder za Rogers akaanza badilisha wachezaji namba.

Markovic alitoka kwenye CAM mpaka wingback kwenye tenure ya rogers na dogo ndo akapotea kabisa ila kama Rogers had been patient basi dogo angekuwa vizuri saaaana

Agree on his huge potential.

but kwa upande wa biashara, Markovic ni failed project.

everybody at the club can be blamed kwa kushindwa kusimamia maendeleo ya Lazar (hasa Brendan), but its clear kuwa we threw 20m in the water and tumeshindwa kuirecover kabisa.

you can tell, the Lazar deal was one of the disappointing deal in LFC history kibiashara.
 
utoto ni kama vile kuendesha gari na kusahau kuwa kuna rear view mirror, side mirrors na break.

ona yule mtoto Guendouzi (midfielder mpya wa Arsenal)... ile style yake ya uchezaji ndiyo utoto wenyewe ule!

hahaha

your thoughts on Guendouzi man?

looks a player
 
Van dijk anamchezesha sana allison.., inabidi apunguze kidogo

Allison is confident with his feet..

yeah, anakuwa slow at times, but bila ya Allison, tungepoteza game ya Palace na Kudraw game ya Brighton.

mtu wako Peter Drury anakwambia "66m and you get points for those 66m"
 
hahaha

your thoughts on Guendouzi man?

looks a player
i know what you're saying, chief......but look - the kid's impressive bravery doesn't match the intelligence that needs to go with it.

he reminds me of our own Lallana who always leaves my heart in my mouth whenever he does those "Johan Cruyff" turns near our own 18-yard box. madness!!
 
Man, said i wont talk about Fekir mpaka TW ya January itakapofunguliwa, but.........

ile game plan ya Brighton, nadhani inaendelea kutukumbusha why Klopp tried for Fekir.

its very clear kuwa bado tunastruggle against compact teams ambazo zinadefend so deep, Hughton siyo defensive manager kabisa, but baada ya vile vipigo vya last season, akaona this time aje na approach ya kuzuia zaidi, lengo kuu likiwa ni kutokuruhusu more goals and credits kwake kwasababu alifanikiwa kwa kiasi kikubwa.

but, kwa upande wa LFC ni kwamba tumeshindwa kuonesha utofauti wa kukabiliana na compact teams kwa mara nyingine tena, people were expecting Keita to fill the void ya "playmaker", but tuliona pia alivyostruggle kwenye ile game, we needed a primary creator, a player who can break the lines with his passes and vision.

you cant believe it, but ile game japokuwa tulikuwa tukiongoza kwa goal Moja kwa muda mrefu, sikuwa na wasiwasi sana because i knew Allison, VVD and Gomez wangetusaidia kusee out the game.
 
hahahahahahahahaha

nadhan atadevelop kuwa mchezaji decent, he's only 19 and Emery anaweza kumsaidia sana.

plus Torreira anaweza kumsaidia kuadjust vizuri kidogo kwenye Midfield.
 
well.... wish him all the luck that he may need, but at the moment he's not cut out for it.
 
Yo! is it me? au kila mtu amegundua kuwa kwanzia ile game ya Westham, kila henderson akiingia tu, Midfield yote inakuwa sloppy?

na Klopp huwa anamuingiza kwaajili ya kwenda kucontrol things na kujaribu kusee out the game from the midfield, but huwa inakuwa vice-versa,

and you can tell kuwa Klopp anamtafutia tu timing jamaa, i remember nishawahi kuandika kuwa Klopp wont ask Wijnaldum to play as a 6, kutokana na ile pre season, na pia nikifikiria kuwa Hendo will be competing with Fabinho kwenye hiyo role, but Wijnaldum is killing it kwenye 6 role now na tayari ipo clear kuwa atakuwa 2nd choice kwenye hiyo role nyuma ya Faby. and inafikirisha zaidi kuona kuwa Klopp anaprefer kumchezesha Milner (32) upande wa LCM kwasasa, so it seems Hendo atakuwa ni chaguo la pili kwenye upande wa LCM, pia chaguo la pili kwenye eneo la B2B, na pia chaguo la tatu kwenye DM role, because nadhani every LFC fan will want to see a mid-3 of Faby (Gini)/Naby and Milner.

Klopp hawezi kumuondoa Henderson moja kwa moja kwenye first XI, because akifanya hivyo the Echo lads watamuua kwa maneno, its so easy kwa Klopp kum-drop mchezaji yeyote yule kwenye Club bila kujustify chochote but siyo kwa Henderson, because mpaka sasa kina Ian Doyle na wafuasi wao wanaamini kuwa Henderson is better than Fabinho and Keita. juzi niliona poll flani twitter, iliyokuwa inauliza who is better between Henderson and Didi Hamann, and Henderson won that poll. you can see jinsi brexit lads wanavyompenda Henderson, hahah.

said to many LFC fans kuwa Klopp hajawahi kum-rate Henderson, ni kwamba hakuwa na options za kutosha na he needed time (bado anahitaji time), ya kumuondoa kwenye first XI completely.

its evidently kuwa Klopp rates Milner and Lallana (Yes Lallana, and i used to hate Klopp kwa hilo), but hajawahi kumkubali Henderson hata kidogo na watu wameshaanza kuliona hilo na after one year itakuwa ni very clear.
 
Man, said i wont talk about Fekir mpaka TW ya January itakapofunguliwa, but.........

ile game plan ya Brighton, nadhani inaendelea kutukumbusha why Klopp tried for Fekir.

its very clear kuwa bado tunastruggle against compact teams ambazo zinadefend so deep, Hughton siyo defensive manager kabisa, but baada ya vile vipigo vya last season, akaona this time aje na approach ya kuzuia zaidi, lengo kuu likiwa ni kutokuruhusu more goals and credits kwake kwasababu alifanikiwa kwa kiasi kikubwa.

but, kwa upande wa LFC ni kwamba tumeshindwa kuonesha utofauti wa kukabiliana na compact teams kwa mara nyingine tena, people were expecting Keita to fill the void ya "playmaker", but tuliona pia alivyostruggle kwenye ile game, we needed a primary creator, a player who can break the lines with his passes and vision.

you cant believe it, but ile game japokuwa tulikuwa tukiongoza kwa goal Moja kwa muda mrefu, sikuwa na wasiwasi sana because i knew Allison, VVD and Gomez wangetusaidia kusee out the game.
hata mimi nilikuwa na same confidence kuhusu ku see out a result, hasa ukizingatia ile system ilionekana zaidi kama more of a 4-2-1-3 (Milner & GW both appeared to be sitting) than a 4-3-3.

kwenye ile mechi nilichokiona kama udhaifu mkubwa ni lack of patience pale mbele. front 3 wetu walikuwa na papara za kutaka kupiga penetration passes na flicks wakati ambapo wakati mwengine ilihitaji kuwa patience with possession passing just outside and/or around the box.

Fekir? well not so sure about his impact (needless to mention uwezekano wa yeye kucheza full throttle kutokana na uselule wake). i recall we had a Coutinho tulipocheza na Burnley 2016 and we got trounced 2-0. sometimes we will have to just grind out results tu.

but generally, man, with that compactness and maturity, we played like champions-elect!
 
Yo! is it me? au kila mtu amegundua kuwa kwanzia ile game ya Westham, kila henderson akiingia tu, Midfield yote inakuwa sloppy?

na Klopp huwa anamuingiza kwaajili ya kwenda kucontrol things na kujaribu kusee out the game from the midfield, but huwa inakuwa vice-versa,

and you can tell kuwa Klopp anamtafutia tu timing jamaa, i remember nishawahi kuandika kuwa Klopp wont ask Wijnaldum to play as a 6, kutokana na ile pre season, na pia nikifikiria kuwa Hendo will be competing with Fabinho kwenye hiyo role, but Wijnaldum is killing it kwenye 6 role now na tayari ipo clear kuwa atakuwa 2nd choice kwenye hiyo role nyuma ya Faby. and inafikirisha zaidi kuona kuwa Klopp anaprefer kumchezesha Milner (32) upande wa LCM kwasasa, so it seems Hendo atakuwa ni chaguo la pili kwenye upande wa LCM, pia chaguo la pili kwenye eneo la B2B, na pia chaguo la tatu kwenye DM role, because nadhani every LFC fan will want to see a mid-3 of Faby (Gini)/Naby and Milner.

Klopp hawezi kumuondoa Henderson moja kwa moja kwenye first XI, because akifanya hivyo the Echo lads watamuua kwa maneno, its so easy kwa Klopp kum-drop mchezaji yeyote yule kwenye Club bila kujustify chochote but siyo kwa Henderson, because mpaka sasa kina Ian Doyle na wafuasi wao wanaamini kuwa Henderson is better than Fabinho and Keita. juzi niliona poll flani twitter, iliyokuwa inauliza who is better between Henderson and Didi Hamann, and Henderson won that poll. you can see jinsi brexit lads wanavyompenda Henderson, hahah.

said to many LFC fans kuwa Klopp hajawahi kum-rate Henderson, ni kwamba hakuwa na options za kutosha na he needed time (bado anahitaji time), ya kumuondoa kwenye first XI completely.

its evidently kuwa Klopp rates Milner and Lallana (Yes Lallana, and i used to hate Klopp kwa hilo), but hajawahi kumkubali Henderson hata kidogo na watu wameshaanza kuliona hilo na after one year itakuwa ni very clear.

Ni OX ndiyo anayekuja Kum-register Henderson Kuwa Benchwarmer Cuz OX atakuwa yupo ahead of Hendo.
 
hata mimi nilikuwa na same confidence kuhusu ku see out a result, hasa ukizingatia ile system ilionekana zaidi kama more of a 4-2-1-3 (Milner & GW both appeared to be sitting) than a 4-3-3.

kwenye ile mechi nilichokiona kama udhaifu mkubwa ni lack of patience pale mbele. front 3 wetu walikuwa na papara za kutaka kupiga penetration passes na flicks wakati ambapo wakati mwengine ilihitaji kuwa patience with possession passing just outside and/or around the box.

Fekir? well not so sure about his impact (needless to mention uwezekano wa yeye kucheza full throttle kutokana na uselule wake). i recall we had a Coutinho tulipocheza na Burnley 2016 and we got trounced 2-0. sometimes we will have to just grind out results tu.

but generally, man, with that compactness and maturity, we played like champions-elect!

Mane was so poor siku ile...

and Firmino bado hajarudi kwenye his fitness level

i think ni Salah tu ndiyo alikuwa anajitahidi kumake things happen (klopp atakuwa alimkalisha kitako)

Robertson was poor too, hence movements zilikuwa ndogo sana upfront.

Fekir angekuwa ni PC replacement, but game play yao ni tofauti kabisa, PC is more of a winger, (creating from wide areas), to complement PC unahitaji mfumo wa 442, mfumo ambao Klopp hatumii, hence he decided to move Coutinho katikati, na kumchezesha Lallana wide. Fekir anaoffer vyote hivyo, he's a complete playmaker. we need a creator who can force the ball through the middle, kwasababu tayari tuna fullbacks ambazo wana uwezo wa kucreate chances kutokea pembeni, Hughton managed to shut down Robertson completely na ndiyo maana left side yote ilikufa (Mane and Keita struggled a lot), Klopp knew this, na kwasababu hatuna a primary creator na bado anajaribu kumuonesha Shaqiri jinsi tunavyocheza, akamuingiza Henderson (subbed off Keita) ili kwenda kuretain possession na kucontrol the the midfield using triangle passes, at this point Klopp alishajua kuwa Hughton kamuweza na akaona the safety way ni kulinda midfield area ili kuzuia kabisa Counters za Brighton, naweza sema kuwa alifanikiwa kwa hilo.

The only thing ambacho kinamu-hold Fekir back ni his knee history, but he's a very complete player.

agree on the last part.
 
Brexit lads huwa wana msemo wao kuwa Henderson led us to the CL final.

naweza nikawa sijui maana ya "kuongoza", but ukiwa unaongelea mfano wa kuiongoza team kwenye CL final, as a Liverpool fan mfano mkubwa tunao kwa SG, msimu wa 2004/2005, he was just 23 at that time, he went to produce MOTM perfomances and scoring important goals, and most of all captained the average side kwenye the most memorable CL final of all Time.

meanwhile, Captain Hendo was dropped in the group stages games for Wijnaldum and produced a disasterclass show against ROMA in Italy, and made a dissapearance act in Kiev against Madrid.
 
hahaha..wee jamaa na Henderson wako!!
 
MosDef With Pique and Ramos careers coming to an end soon, I can see Barca and Madrid tabling £££m for VVD soon. We will have to win big trophies to be able to keep him. We’ve proved to be a selling club to the likes of Barca and Real. If a right offer came along I think our American owners would consider it.
 
Think Barca have bought Lenglet tayari, so sidhani kama watakuwepo kwenye market kwa ajili ya CB hivi karibuni...

think Madrid will go for the likes of De Ligt, Skriniar, Pavard and wont be surprised kama wakijaribu kwa Gimenez too..

Sidhani kama VVD will leave anytime soon, and naona kabisa kuwa he'll be our long term Captain.

my only worry ilikuwa ni Allison, but Madrid washasort hilo eneo kwa kumnunua TC, and Barca wana Stegen.

ishu ya Mane tu, ndiyo inaumiza kichwa, hii delay yake ya kusign an extension na zile links za Madrid na pia madrid kutosign any winger mpaka sasa, hili jambo linafikirisha zaidi. lets hope atasign mkataba soon.
 
Brexit lads huwa wana msemo wao kuwa Henderson led us to the CL final.

naweza nikawa sijui maana ya "kuongoza", but ukiwa unaongelea mfano wa kuiongoza team kwenye CL final, as a Liverpool fan mfano mkubwa tunao kwa SG, msimu wa 2004/2005, he was just 23 at that time, he went to produce MOTM perfomances and scoring important goals, and most of all captained the average side kwenye the most memorable CL final of all Time.

meanwhile, Captain Hendo was dropped in the group stages games for Wijnaldum and produced a disasterclass show against ROMA in Italy, and made a dissapearance act in Kiev against Madrid.

Henderson Ni Mchezaji Mwenye Backup Kubwa than any other scouser.. That is why Hata kwenye game vs BHA Echo wamemrate higher Hendo Kuliko Mane, Keita na TAA.. Wamemrate 7 sawa na AB13, Robo, VVD, Milliy, Bobby, Gomez na Salah.
Hii wanaonesha ingawa Muda aloingia Ni mdogo lakini Kwa Mtanzamo wao he Dido more work Kuliko aliowakuta Uwanjani.
So, Kumdrop Huyu kunahitaji technique zaidi Kuliko Muda... One technique that I see in my eyes now practiced by Klopp Ni Kumfanya Squad player as a Backup Mid jambo ambalo litamfanya awe Frustrated na Kumuondoshea Confidence...
Then hapo atakuwa totally a Benchwarmer..
 
Think Barca have bought Lenglet tayari, so sidhani kama watakuwepo kwenye market kwa ajili ya CB hivi karibuni...

think Madrid will go for the likes of De Ligt, Skriniar, Pavard and wont be surprised kama wakijaribu kwa Gimenez too..

Sidhani kama VVD will leave anytime soon, and naona kabisa kuwa he'll be our long term Captain.

my only worry ilikuwa ni Allison, but Madrid washasort hilo eneo kwa kumnunua TC, and Barca wana Stegen.

ishu ya Mane tu, ndiyo inaumiza kichwa, hii delay yake ya kusign an extension na zile links za Madrid na pia madrid kutosign any winger mpaka sasa, hili jambo linafikirisha zaidi. lets hope atasign mkataba soon.

Sasahivi Nimemuelewa Klopp pale ninapoangalia PC - K8 & Can - Fabiy nabelieve Kuwa Klopp before losing a Player huwa ameshafocus kwenye Kugain Player Mwengine with the same or near his Caliber.
So, naamini Klopp tayari ameshamsoma Mane Kuwa Delay hii ya Contract extension Ni Kwamba Sade Mane atasaini au Hatosaini! So, tayari as a Klopp amesha focus somewhere to make sure he will not lose for nothing.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom