OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Kwa mpira uliocheza leo, basi mwezi huu ndo utakuwa mwisho wako wa kutamba.
#SeptemberIsComing
Sent using Jamii Forums mobile app
#SeptemberIsComing
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha dah mmeponea chupu chupu ..
Kuna watu apa walitabiri ushindi wa goli tano.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu kwa ushindi huu mwembamba wa leo ..September hii utachomoka kweli? Hahaha dah! Liverpool ni moja ya timu inayotia huruma sana aise.Tumemaliza Game zetu Zote za EPL za Mwezi Wa August na Mrejesho wetu Ni Huu:
• 3 Games
√ 3 Wins
√ 9 Points
√ 7 Goals Scored
√ 7 Goal Difference
√ 0 Goals Conceded
√ 1st Position in a Table
Wacha Tujiandae na Ratiba Ya September ambayo Ni:
√ 1 – Leicester City (A)
√ 15 – Tottenham Hotspur (A)
√ 22 – Southampton (H)
√ 29 – Chelsea (A)
Mechi ngumu sana lakini tutatoboaTumemaliza Game zetu Zote za EPL za Mwezi Wa August na Mrejesho wetu Ni Huu:
• 3 Games
√ 3 Wins
√ 9 Points
√ 7 Goals Scored
√ 7 Goal Difference
√ 0 Goals Conceded
√ 1st Position in a Table
Wacha Tujiandae na Ratiba Ya September ambayo Ni:
√ 1 – Leicester City (A)
√ 15 – Tottenham Hotspur (A)
√ 22 – Southampton (H)
√ 29 – Chelsea (A)
Hahaha dah mmeponea chupu chupu ..
Kuna watu apa walitabiri ushindi wa goli tano.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mpira uliocheza leo, basi mwezi huu ndo utakuwa mwisho wako wa kutamba.
#SeptemberIsComing
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu kwa ushindi huu mwembamba wa leo ..September hii utachomoka kweli? Hahaha dah! Liverpool ni moja ya timu inayotia huruma sana aise.
Bado huna kikosi cha ushindani maana idadi ya magoli inazidi kushuka ..ulianza na 4 ukaja 2 na sasa 1 ..inayofata ni dro ya bila bila then kufungwa...![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu kwa ushindi huu mwembamba wa leo ..September hii utachomoka kweli? Hahaha dah! Liverpool ni moja ya timu inayotia huruma sana aise.
Bado huna kikosi cha ushindani maana idadi ya magoli inazidi kushuka ..ulianza na 4 ukaja 2 na sasa 1 ..inayofata ni dro ya bila bila then kufungwa...![]()
![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
YapWakuu Tusiangalie VVD na AB13 tu!! Kuna Dogo Mmoja Ni Underrated lakini Tunapaswa tumpe Credit zaidi kuliko Mchezaji yoyote Kwa Leo.
Ni Joseph Gomez sio siri huyu dogo Kapiga Kazi Mara mbili ya VVD.
Another recordMo Salah: 29 goals in 29 Anfield appearances
Vipi zile goli tano imekuwaje tena? Au leo mmepanga kikosi cha pili?Ni kwamba unatimiza Ubashiri tu! Tulijuwa Mutakuja Kuyasema Haya.
Falsafa ya Sarri ni kushinda tu.Subiri Kesho Ukimaliza Mechi Yako Njoo tena hapa.
Falsafa ya Sarri ni kushinda tu.
Kumbuka kila kocha mpya anayekuja Chelsea msimu wa kwanza lazima abebe kombe...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Benitez si alibeba Europa? Au na hili unajisahaulisha tu mkuu.! Kwa makusudi kabisa!Kila Kocha Mpya Kweli Ni Lazima Msimu Wa Kwanza Abebe Kombe Manake Mpaka Villa Boas, Scolari na Benitez Wote Walibeba Kombe Msimu Wa Mwanzo tu Walipowasili.
Kwani Benitez si alibeba Europa? Au na hili unajisahaulisha tu mkuu.! Kwa makusudi kabisa!
Sent using Jamii Forums mobile app