Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tumemaliza Game zetu Zote za EPL za Mwezi Wa August na Mrejesho wetu Ni Huu:

• 3 Games
√ 3 Wins
√ 9 Points
√ 7 Goals Scored
√ 7 Goal Difference
√ 0 Goals Conceded
√ 1st Position in a Table

Wacha Tujiandae na Ratiba Ya September ambayo Ni:

√ 1 – Leicester City (A)
√ 15 – Tottenham Hotspur (A)
√ 22 – Southampton (H)
√ 29 – Chelsea (A)
 
Toka ligi imeanza nimewaangalia liver. Nini kimetokea ktk pressing game? Hawachezi tena hii kitu au ndio mabadiliko? Mpira wao unaboa kiasi fulani ingawa matokeo yanapatikana.
ukitaka kuchukua EPL trophy, lazima ku balansisha mambo kwenye hii marathon.... la sivyo come January you're out of steam!

mimi msimu huu ninamuelewa sana Klopp. ameanza kuacha mambo ya kitoto.
 
ukitaka kuchukua EPL trophy, lazima ku balansisha mambo kwenye hii marathon.... la sivyo come January you're out of steam!

mimi msimu huu ninamuelewa sana Klopp. ameanza kuacha mambo ya kitoto.
Mambo ya kitoto alikuwa nayo ni yapi?
 
Mbona tumecheza vizuri tu Mkuu na tumefanya Mashambulizi mengi tu.
Si kwamba Kila Siku tutashinda 5 au 4. Kuna Siku Kama hivi tunashinda 1, Siku nyengine Tutadraw, Na Luna Siku tutafungwa hasa.

I know mkuu
Tatizo I’m so used to 3 goals and above
 
ukitaka kuchukua EPL trophy, lazima ku balansisha mambo kwenye hii marathon.... la sivyo come January you're out of steam!

mimi msimu huu ninamuelewa sana Klopp. ameanza kuacha mambo ya kitoto.

Hata Mimi nimegundua Msimu huu tupo vizuri, Kidogo Shortage ipo kwenye Bench tu.
 
Anyways. When you play an opponent whose formation is 4-5-1, then you have to work extra hard to unlock the defense
 
Mbona tumecheza vizuri tu Mkuu na tumefanya Mashambulizi mengi tu.
Si kwamba Kila Siku tutashinda 5 au 4. Kuna Siku Kama hivi tunashinda 1, Siku nyengine Tutadraw, Na Luna Siku tutafungwa hasa.
true. lazima kuwe na balance katika uchezaji.

within a match or from one match to another you do like slow tempo kidogo and fast tempo kidogo. do this... EPL trophy kibindoni come May.
 
Sub za Klopp huwa sizielewi kabisa!!

but yeye ndo Coach so,, tactics zake anazjua mwenyewe

Leo kwakwel nlshtuka kumuona Hendo.. i thought goli lingerud
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom